Skip to main content

Posts

Tundu Lissu amezungumza na Wahariri wa vyombo vya habari

  Mgombea wa Urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu amesema wamemaliza awamu ya kwanza ya Kampeni za Uchaguzi Mkuu katika kanda kumi za Chama hicho. Hata hivyo uzoefu katika Kanda hizo umeonesha kwamba wananchi wana kiu kubwa ya uwepo wa mabadiliko ya kisiasa nchini. “Hatujidanganyi itakuwa rahisi kuishinda CCM sababu chaguzi zetu sio huru Tume huru ya Uchaguzi inapendelea waziwazi, wasimamizi wote ni wateule wa Rais, muda wowote anaweza kuwaondoa muda wowote kwa sababu yoyote ile” Tundu Lissu “Kesho tunaanza kampeni awamu ya pili baada ya kumaliza awamu ya kwanza ya uzinduzi kwa kanda 10, tumeona matamanio ya Watanzania, wanataka mabadiliko na tumeona nguvu yetu” Tundu Lissu “Tumejipanga vizuri, tutakuwa na vituo vya kukusanya matokeo, kama CCM walivyofanya 2015, kituo chetu kikavamiwa na watu wa usalama , hakuna sheria inayokat...

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI DISEMBA 16, 2017

Magazetini leo Jumamosi December 16, 2017

WABUNGE HAWA WAMEPOTEZA SIFA ZA KUWA WABUNGE

HAYA HAPA MAJINA YA WAGOMBEA WA UBUNGE WA Chama cha Mapinduzi (CCM)

 Chama cha Mapinduzi (CCM) imepitisha majina matatu ya wagombea ubunge watakaopeperusha bendera ya chama hicho katika uchaguzi mdogo utakaofanyika Januari 13, mwakani. Taarifa iliyotolewa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho Humphrey Polepole leo Desemba 15, imewataja

ZAIDI ya mawakili 80 wamehitimu mafunzo na kuapishwa

Baadhi ya mawakili wapya walioapishwa leo wakiwa sehemu yao iliyoandaliwa. Mmoja wa mawakili akitoa nasaha kwa mawakili hao. ZAIDI ya mawakili 80 wamehitimu mafunzo na kuapishwa kuanza kazi ya kuhudumu kama watetezi wa kisheria katika mahakama mbalimbali hapa nchini huku

Tazama jinsi Askari Magereza alivyomuua askari mwenzie kwa risasi

TWAWEZA: TUMEWANUFAISHA WANAFUNZI ZAIDI YA 48,000

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Twaweza, Aidan Eyakuze akizungumza katika kongamano hilo. Baadhi ya washriki katika kongamano hilo. TAASISI ya utafiti ya Twaweza imesema kuwa, kuwalipa walimu bahshishi kumewanufaisha wanafunzi zaidi ya 48,000 katika kujifunza stadi za Kiswahili na Hisabati. Baada ya miaka miwili ya majaribio, Twaweza, kwa kushirikiana na

YATAZAME MAGAZETI YA LEO IJUMAA DESEMBA 15, 2017

Rais Magufuli: Wanaosema Vyuma Vimekaza Waweke Grisi la Sivyo Vitavunjika

Rais John Magufuli amesema vyuma vikikaza vinatakiwa kuwekwa grisi vilainike, vinginevyo vitavunjika kabisa. Amesema hayo  alipofungua mkutano mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT). Rais Magufuli amesema waliokuwa wanapata fedha kwa njia

Mwanamke adaiwa kumuua mke mwenza na kumzika shambani

Mwanamke mkazi wa Kijiji cha Mayenzi wilayani Ngara anatuhumiwa kumuua mke mwenza na kumzika shambani. Kifo hicho kinachodaiwa ni kutokana na

Hizi ndizo sababu zilizompelekea ,Mbunge wa jimbo la Siha Kupitia chadema Godwin Mollel kujiuzulu Ubunge na ajiunga na Chama cha mapinduzi.

Mbunge wa jimbo la Siha Dk Godwin Oloyce Molle Mbunge wa jimbo la Siha Kupitia chadema Godwin Mollel aachia ngazi na

Serikali yatoa Agizo kwa Umoja wa Mataifa kuhusu wanajeshi wa JWTZ waliouawa DRC

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Tanzania inautaka Umoja wa Mataifa kufanya uchunguzi wa kina, ulio wazi na wa ukweli juu ya vifo vya Wanajeshi 14 wa Jeshi la Wananchi waliouawa huko Jamhuri ya Congo December 8, 2017. Amesema hayo leo December 14, 2017 wakati

Hivi ndivyo wanajeshi wa Tanzania waliouawa DRC walivyowaagwa

Tukio la  kuwaaga wanajeshi 14 wa Tanzania waliokuwa walinda amani wa Umoja wa Mataifa waliouawa nchini Jamhuri ya Demokrasia ya Congo zime

TAZAMA New Video: AKA & Diamond Platnumz – Make Me Sing [Official Music Video]

Diamond na Aka wameachia video yao

soma Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Jumapili Ya Leo Januari 24

Lowassa Apata Mapokezi Makabuwa Dakawa Wakati Akiwa Njiani Kuelekea Dodoma

Aliyekuwa mgombea Urais  katika uchaguzi wa Oktoba mwaka jana kwa tiketi  ya  UKAWA, Edward Lowassa jana alipata mapo

IDEO: JWTZ Yafafanua Kuhusu Rais Magufuli Kuvaa Mavazi ya Kijeshi

January 22, 2016 akiwa njiani Kutoka Arusha Mjini kwenda Monduli kufunga  "Zoezi Onesha Uwezo Medani"  lililofanywa na

Medeye na Guninita Wamvaa Benard Membe Baada ya Kusema Hujisikia Kichefuchefu Akionana na Makada Walioihama CCM

Siku moja baada ya aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe kusema akionana na waliokuwa wanachama wa CCM na kuhamia upinzani anajisikia kichefuchefu, waliokuwa

Hivi ndivyo Nuh Mziwanda na Shilole walivyotifuana live kwenye kipindi cha TV

Shilole na Nuh Mziwanda walikua wanabongofleva walio mapenzini ambapo Shilole alishavishwa pete ya uchumba zaidi ya mwaka mmoja uliopita, kwenye Interview na Millard Ayo December 2015 alisema yuko tayari kwa ndoa na Nuh, japo alishawahi kusema hatoolewa tena… alimsifia Nuh kama Mwanaume wa kipekee lakini mdudu mbaya akaingia wakaachana mwishoni mwa mwaka 2015. Baada ya kuona pande zote mbili zinazungumza kwa nyakati tofauti na kuonyesha kama kuna uwezekano wa kurudiana, show ya  D’Wikend   CloudsTV  ikawafanyia suprise kuwakutanisha bila wenyewe kujijua…. tazama hii video hapa chini