Skip to main content

Posts

Rais Jakaya Kikwete ametembelea eneo lilipoanguka jengo la ghorofa 16

          MUENDELEZO WA HABARI:Rais Jakaya Kikwete mchana huu ametembelea eneo lilipoanguka jengo la ghorofa 16 katika makutano ya Barabara ya Zanaki na Indra Ghandi na kuhimiza juhudi za uokoaji ziongozwe ili kuokoa maisha ya watu wanasadikiwa kuwa wapata 60 waliofukikwa ndani ya Kifusi.Tayari askari wa Jeshi la kujenga Taifa(JKT) na lile la Wananchi(JWTZ) wapatao 500 wako eneo la tukio katika juhudi za uokoaji.  

MTANGAZAJI WA KIPINDI CHA ALAZA ROHO CHA CLOUDS RADIO,AJUTIA KUWA NA MAHUSIANO NA MWANAMZIKI MO RACKA! HABARI KAMILI BOFYA

  Mtangazaji wa Kipindi cha Ala za Roho cha Clouds Radio, Loveness Malinzi ‘ Diva’ juzikati amefunguka kuwa, kosa kubwa alilowahi kulifanya kwenye maisha yake ni kummegea penzi mwanamuziki anayefahamika kwa jina la Mo Racka. Diva alifunguka hayo ikiwa ni mara ya pili baada ya kufanya hivyo mwaka jana kupitia mtandao wa Twitter ambapo aliandika : “Kutoka kimapenzi na Mo Racka ni kosa kubwa ambalo nimelifanya, nilikuwa mdogo na nilitokea kumpenda mvulana mtanashati Dar, na kila msichana aliyekuwa akituona aliishia kusema ‘Mungu wangu’, ilikuwa balaa. Hata hivyo, sasa hivi tuko poa na ni marafiki sana.”…

HII NDIYO MAANA HALISI YA PASAKA

HII NDIYO MAANA HALISI YA PASAKA       P-   POKEA    A-  AMANI S-   SASA             A-     AMBAYO         K-    KRISTO                    A-         AMETUPA.    Moshono media blog, inawatakia wasomaji wote wa blog hii pasaka njema na mungu awatangulie katika kuelekea siku hii ya pasaka amen. by C.E.O AMANI JAMES

HAZARD, DEMBELE, FELLAINI, KOMPANY, NA MASTAA WENGINE WATAISHANGAZA DUNIA WAKIFUZU KWENDA BRAZIL 2014

HAZARD, DEMBELE, FELLAINI, KOMPANY, NA MASTAA WENGINE WATAISHANGAZA DUNIA WAKIFUZU KWENDA BRAZIL 2014 Kuna miezi 14 imeba ki m paka kuanza kwa kombe la dunia nchini Brazil na kutoka kwenye matokeo ya michezo ya kufuzu mpaka sasa, tunaweza kutabiri timu mbili za juu kutoka kwenye kila kundi la brani ulaya. Katika kila msimu wa kombe la dunia, kumekuwa kukiwepo na timu ambazo hazipewi nafasi kabla ya mashindano ambazo huja kufanya vizuri. Uruguay ilisafiri kwenda South Africa wakiwa kama underdog mwaka 2010 lakini uwezo walionyesha uliwashangaza wengi. Wakiwa kwenye kiwango bora kabisa katika hatua za mwanzo, na hatimaye wakaishi mikononi wa Uholanzi kwenye nusu fainali. Swali la kawaida ambalo l naulizwa ni timugani isiyopewa nafasi itakayowa sumbua vigogo ka tika kombe la dunia lijalo. Kuna timu nyingi kama vile Colombia, mabingwa wa AFCON Nig eria, labda Japan, lakini timu ambayo inaaminika italeta usumbufu mkubwa bila shaka ni Ubelgiji. Mapinduzi ya...

HII HAPA RATIBA YA JUMAMOSI MACHI 30 NA MSIMAMO WA LIGI KUU TANZANIA BARA

RATIBA: Jumamosi Machi 30 JKT OLJORO v JKT RUVU [SH. AMRI ABEID, ARUSHA] RUVU SHOOTINGS v AZAM FC [MABATINI, PWANI] AFRICAN LYON FC v COASTAL UNION [AZAM COMPLEX, KAGERA] POLISI MOROGORO v YOUNG AFRICANS [JAMHURI, MOROGORO] KAGERA SUGAR v MTIBWA SUGAR FC [KAITABA, KAGERA] TOTO AFRICANS v SIMBA SC [CCM KIRUMBA, MWANZA] MSIMAMO: NA TIMU P W D L GD PTS 1 YANGA 20 15 3 2 25 48 2 AZAM FC 20 12 4 4 19 40 3 SIMBA 20 9 7 4 11 34 4 KAGERA 21 9 7 5 5 34 5 COASTAL 21 8 8 5 4 32 6 MTIBWA 21 8 8 5 4 32 7 RUVU SHOOTING 19 8 5 6 3 29 8 JKT OLJORO 21 6 7 8 -3 25 9 MGAMBO 21 7 3 11 -6 24 10 PRISONS 21 4 8 9 -9 ...

MSIMAMO WA LIGI KUU YA TANZANIA BARA NA RATIBA YA MECHI ZA WIKIENDI HII - RUVU YATAMBA KUICHINJA AZAM! kwa habari zaidi pitia hapa

MSIMAMO WA LIGI KUU YA TANZANIA BARA NA RATIBA YA MECHI ZA WIKIENDI HII - RUVU YATAMBA KUICHINJA AZAM Maafande wa jeshi la kujenga taifa, Ruvu Shooting ya mkoani Pwani wametamba kuwamaliza Azam Fc, Lambalamba katika mchezo wa ligi kuu Tanzania bara unaotarajiwa kupigwa uwanja wa Mabatini Mlandizi mkoani Pwani jumamosi ya wiki hii. Ruvu Shooting wenye pointi 29 ,nafasi ya saba ya msimamo watashuka katika dimba lao la nyumbani kusaka ushindi ili kumaliza msimu huu wa ligi wakiwa nafasi nne za juu. Akizungumza na mtandao huu, Afisa habari wa Ruvu shooting, Masau Bwire, amesema kuwa maandalizi ya mchezo huo yanakwenda barabara huku kocha mkuu wa klabu hiyo Charles Boniface Mkwasa “Master” akirekebisha makosa yaliyojitokeza mechi iliyopita ambayo walifungwa 1-0 na vinara wa ligi hiyo, klabu ya Yanga. Masau alisema Azam fc jana walishinda 3-0 dhidi ya wapiga kwata wenzao wa Tanzania Prisons hali ambayo imewapa nguvu kubwa ya kuwania ubingwa, lakini mchezo wao wa J...

PICHA YA BINTI WA MIAKA 16 ALIYELAZIMISHWA KUNYWA MKOJO NA MAMA YAKE MDOGO HUKO IRINGA

PICHA YA BINTI WA MIAKA 16 ALIYELAZIMISHWA KUNYWA MKOJO NA MAMA YAKE MDOGO HUKO IRINGA Vituko mjini Iringa haviwezi kuisha kama jamii haitakubali kwa moyo mmoja kupambana na ukatili wa kijinsia. Huyu ni Binti ZAWAD KARIM miaka 16 mkazi wa mshindo nyuma ya banki ya NBC manispaa ya Iringa amepigwa na hatimaye kunyweshwa mkojo na mama yake mdogo aitwaye Ever ubamba. Tukio lilikuwa hivi: Zawadi kimsingi anaishi na mama yake mzazi ambaye kwa kipindi hicho dada mtu huyo alikuwa anaumwa. Ever alikuwa nje na marafiki zake ndipo mama yake mdogo huyo akamwiita ndani ya nyumba yao hiyo wanayoishi mtaa wa mshindo. Baada ya kumwita na kisha mtoto huyo kushindwa kusikia baadaye aliitika na kuingia ndani na ndipo alipo ambiwa avue nguo zote na huyo mama yake mdogo Ever .Baada ya muda mfupi Zawadi alianza kupokea kipigo kikali kutoka kwa mama yake mdogo. Katika kipigo hicho Zawadi alipigwa pamoja na kunyweshwa mkojo kutoka kwa mama yake mdogo huyo.Zawadi ambaye ni mto...