Skip to main content

Posts

Israel yashambulia ghala ya silaha Syria

Serikali ya Syria bado haikusema kitu kuhusu taarifa kutoka wakuu wa Marekani kwamba ndege za Israel zimefanya mashambulio katika ardhi ya Syria, ambako inaarifiwa ghala ya silaha imeshambuliwa. Wakuu wanasema makombora yalifyatuliwa kutoka ndege za Israel ambazo ziliruka kwenye anga ya Libnan, nchi ya jirani. Huku nyuma kuna taarifa za mauaji zaidi katika miji ya pwani ya Syria kukiwa na tuhuma kuwa raia wengi wamechinjwa na wanajeshi wa serikali na wanamgambo. Wanaharakati wanaripoti kuwa mauaji ya pili yamefuatia yale ya kwanza katika eneo hilo-hilo la mwambao kaskazini-magharibi mwa Syria. Wanasema mauaji ya kwanza yalifanywa kwenye kijiji cha al-Beida cha Wasunni, ambacho kilivamiwa na wanajeshi wa serikali siku ya Alkhamisi. Wanaharakati wamewataja watu 50 ambao wanasema walichinjwa kati yao wakiwemo wanawake ...

HIZI HAPA PICHA ZA UCHI ZA MSANII SAPNA WA STEVE R &B

WAKATI mabinti wengi hasa mastaa wa Bongo wakijuta baada ya picha zao za utupu walizopigwa na wapenzi wao kuvuja, kwa msanii mrembo aliyepamba video ya wimbo wa Bongo Fleva uitwao Jambojambo wa msanii Steve R&B, Aisha Firozi ‘Sapna’ ni kawaida kwani hujifotoa mwenyewe. Chanzo makini cha Risasi  kimewasilisha folda lenye picha za kutosha za mrembo huyo akiwa mtupu huku kikieleza kwamba ni mchezo wake kujipiga mwenyewe picha hizo.   Kwa sharti la kutochorwa jina lake , chanzo hicho ambacho kipo  aribu na Sapna kilisema: “Yule ni mtu wangu wa karibu sana, lakini tabia yake kwa kweli huwa siipendi kabisa. Anajipiga picha chafu mwenyewe, kwake ni starehe kubwa, huwezi kuamini.”   Kikiendelea  ufunguka zaidi, chanzo hicho kilipasha kuwa, picha hizo amejipiga hivi karibuni nyumbani kwa rafiki yake aitwaye Doreen, Tabata - Magengeni jijini Dar es Salaam, ambapo alikuwa akiishi naye. KAULI YA  SAPNA..... Ukistaajabu ya Musa ...

"NINA UHURU WA KUTOA PENZI KWA MTU YEYOTE NINAYEMPENDA.....WANAODAI NATEMBEA NA WAUME ZA WATU NI WANAFIKI".......AGNESS MASOGANGE

MWANADADA anayejipatia umaarufu kupitia video za wasanii wa muziki wa kizazi kipya,  Agness Masogange , ameuambia mtandao huu kuwa hatumii mwili wake kama chombo cha kuwakamata wanaume bali hutoa penzi lake kwa yule anayempenda na ishu zinazozungumzwa mitaani kuwa anaongoza kwa kuiba wanaume za watu si kweli na wanaodai hivyo hawamtakii mema. Mwandishi wetu alizungumza na mwanadada huyo juu ya ishu kadhaa zinazongumzwa juu yake, ndipo alipofunguka kuwa hatumia uzuri wake au umbo lake kama njia ya kuwavuta wanaume kwani angeamua kufanya hivyo basi angekuwa na wanaume wengi sana. “Mwili wangu si chombo cha kuwakamata wanaume na hao watu wanaosema kuwa naongoza kwa kutembea na wanaume za watu ni wale wenye nia ya kunichafua kwani mi si demu wa hivyo,” alidai

" MAKALIO YANGU BADO YANALIPA..."AGNESS MASOGANGE

Mrembo  asiyeishiwa  na  vituko  maarufu  kwa  jina  na  Masogange  ameamua  kuvunja  ukimya   wa  muda  mrefu  kwa  kuyanadi  makalio  yake.......   Kumbukumbu  zetu  zinaonesha  kwamba Masogange  ni  miongoni  mwa  wasanii  waliopata  umaarufu  nchini  Tanzania  kwa  kupiga  picha  za  uchi  na  kucheza  movie  za  Uchi  mithili  ya  wacheza  XXXXX.... Mwaka  jana  alianza  hivi  hivi.Alivyoona  watu  wamekupotezea   aliamua  kuvua  nguo  zote  na  kujianika  mtupu,tena  katika  VIDEO  ambazo  zipo  mtandao  hadi  leo.... Kwa  mbwembwe  tena  mwaka  huu  kaanza  kwa  staili  ileile  ya  k...

MWANAFUNZI WA CHUO CHA IFM -DAR AFARIKI DUNIA KWA KULISHWA SUMU NA MKE WA MTU.....

Habari   zilizotufikia  toka  IFM- Dar es salaam  ni  kwamba  mwanafunzi  mmoja ambaye  bado  hatujafanikiwa  kulipata  jina  lake  amefariki  dunia  kwa  kulishwa  sumu  katika  chakula  alicholetewa  na  mpenzi  wake  ambaye  ni  mke  wa  mtu...... Taarifa  zaidi  zinadai  kwamba Mwanafunzi huyo alikuwa na uhusiano wa karibu sana na mke  wa mtu  ambaye  mbali  na  starehe  za  kimapenzi  alikuwa  pia  anampekea  chakula  cha  jioni Baada ya  mchezo  huo  kudumu  kwa  muda, mume wa  mwanamke  aliusoma  mchezo  mzima  na  kuandaa  tego  la  kuwaangamiza  wote.... Habari  zinadai  kwamba  Siku ya jumatano jioni mwanaume  huyo aliwahi  kurudi ...

HII HAPA MAJIBU YA RUGE MTAHABA KWA LADY JD!

Kwenye kipindi cha Power Breakfast kitakacho rushwa siku ya jumatatu saa mbili asubuhi Ruge Ataongelea issue ya Jay Dee ,Lady Jay Dee ameingia kwenye vita kali na Clouds Fm huku akimshambulia Joseph Kusaga na Ruge Mutahaba kwa madai kuwa ndio wanaokula jasho la wasanii

JE WAJUA KUWA ULIMI WAKO KABURI LA MAPENZI YAKO!

  Kwa kuanzia pale tulipoishia wiki iliyopita, tukiwa katikati ya mfano wa uhusiano wa kimapenzi kati ya Raja na Jane, tulishaona jinsi ambavyo Raja alishangazwa na majibu ya Jane akimjibu rafiki yake: “Nikipata mimba ‘naflash’ wala hakuna mgogoro kabisa.” Siku zilivyokwenda mbele, Raja alimzoea Jane. Sasa akawa na ujasiri wa kuhoji baadhi ya vitu. Siku moja Raja aliumwa na kulazwa kwenye hospitali moja iliyopo Kinondoni, Dar es Salaam.  Jane alipokwenda kumwona, akamwambia: “Baby hii hospitali wanatoa sana mimba.” Raja akashtuka kusikia kauli hiyo kutoka kwa mwenzi wake, akaiunganisha na ya siku ile alipokuwa anataniana na rafiki yake: “Nikipata mimba ‘naflash’, mbona kitu rahisi!”   Vilevile  Raja akayakumbuka maneno ya yule rafiki wa Jane: “Umezoea eeh, shauri yako!” Hapohapo, Raja akamwuliza Jane: “Wewe umejuaje kama hapa wanatoa mimba?” Jane akajibu: “Najua tu, si unajua mimi ni mwanamke?” Raja: “Ukiwa mwanamke ndiyo ujue sehemu za kut...