Skip to main content

Posts

KALAPINA AELEZEA SABABU ZA KUMCHAPA CHIDI BENZ JUKWAANI

Kalapina kulia akiwa na fan wake Baada ya muasisi wa harakati za hip hop Tanzania Kalapina kumchapa Rapper Chidi Benz katika jukwaa la maisha club alfajiri ya kuamkia leo, Kalapina ameelezea sababu za kutoa dozi hiyo kwa msanii mwenzake, namnukuu " ukweli ni mambo fedheha, mdogo wetu chidi benzi cocaine au heroin / unga anaovuta unampeleka pabaya, tena mimi kama kaka yake namshauri aachane na matumizi ya madawa kulevya, kwa sababu mwisho wake utakua m'baya, mimi nilikua back stage na ikafika zamu yangu kupanda jukwaani nikawa naskia sauti mtu anatamba jukwaani kwa dakika saba ama nane, alikua ananichelewesha kupanda, na ananiharibia show yangu, huyu mtu si adui, nikatoa amri mara tatu kama F.F.U aka kaidi ndipo nikamfata na kumpa dozi, siku akaanguka chini na mimi nikaendelea na show yangu, hakuna hata mtu mmoja atakaye kubali kuharibiwa kazi, hata rais Kikwete ukimharibia utaishia jela."   Nash Mc a....

HII HAPA MISTARI YA WIMBO MPYA YA KALLA JEREMIAH

  hABARI INAANZA NDO HABARI YA MWISHO HABARI GANI? HABARI KWA MISTARI YA WIMBO HABARI TOKA R CHUGA NDO KIPONDO CHA FIMBO HILI NI JANGA WE MPUNGA MI NI PANGA LA SHINGO ACHA HIZO MINGO ZIONGEZE MANDINGO MIMI NI BABA WE KAHABA MWENYE PENZI LA BINGO NATOKEA MWANZA ANAYEKALISHWA NI TEMBO MSHALE WA RAMBO UNATUA JUU YA MAMA WA KAMBO. hii ni mistari yangu katika ngoma tuliyofanya na machizi kibao wa arusha na video tumesha shoot so kaaa mkao wa kula.

HIKI NDICHO ALICHOKISEMA ZITTO KUTOKANA NA MLIPUKO WA BOMU ARUSHA

Februari 20, 2013 niliandika kwenye gazeti la RaiaMwema suala fulani, kufuatia matukio ya kulaaniwa ya #Arusha Leo. Pia kufuatia mijadala inayoendelea kuhusu #Udini nimeona vema nirejee sehemu ya Makala ile; "Viongozi wamekuwa wakitoa kauli za kugawa wananchi. Kiongozi wa CCM kwa mfano anaposema CUF ni chama cha Waislam, anawaambiwa waislam nendeni huko ndio chama chenu. Kiongozi wa CCM anaposema CHADEMA ni chama cha kikristo, anawaambia wakristo nendeni huko ndio chama chenu. Mwanachama wa CHADEMA anapotoa taarifa kuonyesha kuwa CCM inapendelea waislamu, anadhihirisha kuwa kweli chama chake hakipendi waislamu. Viongozi wa kisiasa wanatoa kauli majukwaani bila kuzipima na kugawa wananchi. Baadhi ya taasisi za kidini zimekuwa zikutumiwa na vyama vya siasa kusambaza chuki hizi kwenye jamii. Mimi ni Mtanzania. Taifa ambalo limejengwa kwenye misingi ya usawa na haki. Misingi ya Umoja na mshikamano. Tunu zetu ni hizo na sio dini zetu. Viongozi wanapoendelea kulea upu...

Chid Benz : "Neema wa Mitego acha kunitukana kwenye Facebook" HABARI KAMILI HIIHAPA

Ki design kama lile beef la Chid Benz na Ney wa mitego halijaisha maana Chid Aliandika kwenye Account yake ya Facebook akidai kutukanwa na Ney wa mitego na haya ndio maneno aliyasema....

Israel yashambulia ghala ya silaha Syria

Serikali ya Syria bado haikusema kitu kuhusu taarifa kutoka wakuu wa Marekani kwamba ndege za Israel zimefanya mashambulio katika ardhi ya Syria, ambako inaarifiwa ghala ya silaha imeshambuliwa. Wakuu wanasema makombora yalifyatuliwa kutoka ndege za Israel ambazo ziliruka kwenye anga ya Libnan, nchi ya jirani. Huku nyuma kuna taarifa za mauaji zaidi katika miji ya pwani ya Syria kukiwa na tuhuma kuwa raia wengi wamechinjwa na wanajeshi wa serikali na wanamgambo. Wanaharakati wanaripoti kuwa mauaji ya pili yamefuatia yale ya kwanza katika eneo hilo-hilo la mwambao kaskazini-magharibi mwa Syria. Wanasema mauaji ya kwanza yalifanywa kwenye kijiji cha al-Beida cha Wasunni, ambacho kilivamiwa na wanajeshi wa serikali siku ya Alkhamisi. Wanaharakati wamewataja watu 50 ambao wanasema walichinjwa kati yao wakiwemo wanawake ...

HIZI HAPA PICHA ZA UCHI ZA MSANII SAPNA WA STEVE R &B

WAKATI mabinti wengi hasa mastaa wa Bongo wakijuta baada ya picha zao za utupu walizopigwa na wapenzi wao kuvuja, kwa msanii mrembo aliyepamba video ya wimbo wa Bongo Fleva uitwao Jambojambo wa msanii Steve R&B, Aisha Firozi ‘Sapna’ ni kawaida kwani hujifotoa mwenyewe. Chanzo makini cha Risasi  kimewasilisha folda lenye picha za kutosha za mrembo huyo akiwa mtupu huku kikieleza kwamba ni mchezo wake kujipiga mwenyewe picha hizo.   Kwa sharti la kutochorwa jina lake , chanzo hicho ambacho kipo  aribu na Sapna kilisema: “Yule ni mtu wangu wa karibu sana, lakini tabia yake kwa kweli huwa siipendi kabisa. Anajipiga picha chafu mwenyewe, kwake ni starehe kubwa, huwezi kuamini.”   Kikiendelea  ufunguka zaidi, chanzo hicho kilipasha kuwa, picha hizo amejipiga hivi karibuni nyumbani kwa rafiki yake aitwaye Doreen, Tabata - Magengeni jijini Dar es Salaam, ambapo alikuwa akiishi naye. KAULI YA  SAPNA..... Ukistaajabu ya Musa ...

"NINA UHURU WA KUTOA PENZI KWA MTU YEYOTE NINAYEMPENDA.....WANAODAI NATEMBEA NA WAUME ZA WATU NI WANAFIKI".......AGNESS MASOGANGE

MWANADADA anayejipatia umaarufu kupitia video za wasanii wa muziki wa kizazi kipya,  Agness Masogange , ameuambia mtandao huu kuwa hatumii mwili wake kama chombo cha kuwakamata wanaume bali hutoa penzi lake kwa yule anayempenda na ishu zinazozungumzwa mitaani kuwa anaongoza kwa kuiba wanaume za watu si kweli na wanaodai hivyo hawamtakii mema. Mwandishi wetu alizungumza na mwanadada huyo juu ya ishu kadhaa zinazongumzwa juu yake, ndipo alipofunguka kuwa hatumia uzuri wake au umbo lake kama njia ya kuwavuta wanaume kwani angeamua kufanya hivyo basi angekuwa na wanaume wengi sana. “Mwili wangu si chombo cha kuwakamata wanaume na hao watu wanaosema kuwa naongoza kwa kutembea na wanaume za watu ni wale wenye nia ya kunichafua kwani mi si demu wa hivyo,” alidai