Skip to main content

Posts

Watu 10 wakamatwa msikitini wakiwa na milipuko, sare za jeshi, bendera ya Al Shabaab

Morogoro. Watu 10 wanashikiliwa na polisi mkoani Morogoro baada ya kukamatwa msikitini wakiwa na milipuko 30, sare za jeshi na bendera nyeusi inayodaiwa kutumiwa na kundi la wapiganaji wa Al Shabaab wa nchini Somalia. Akizungumza na waandishi wa habari leo, Kamanda wa polisi mkoani Morogoro, Leonald Paul alisema tukio hilo limetokea jana (Aprili 14 mwaka huu) majira ya saa 3.30 usiku katika kitongoji cha Nyandero, tarafa ya Kidatu wilayani  Kilombero. Aidha alisema siku ya tukio polisi walipata taarifa kutoka kwa raia wema kuhusu watu hao na kwamba walitaarifiwa kuwa wanajihusisha na matukio mbalimbali ya uhalifu na polisi waliamua kufatilia nyendo zao. Kamanda huyo alisema walianza kuwasaka watu ambao walipata taarifa wapo katika Msikiti wa Suni uliopo Kidatu. “Polisi walipofika katika msikiti huo waliuomba uongozi wa msikiti huo kuwatoa watu wote waliokuwa msikitini ili kuweza kubaini watu ambao wanatiliwa mashaka,” Alisema polisi waliendelea na ukaguzi na kuwaka...

KOCHA MARSH AFARIKI DUNIA

Aliyekuwa kocha msaidizi wa timu ya Taifa, Taifa Stars, Sylvestre Marsh enzi za uhai wake. Na Mwandishi Wetu ALIYEKUWA kocha msaidizi wa timu ya Taifa, Taifa Stars, Sylvestre Marsh, amefariki dunia asubuhi ya leo. Marsh alikuwa amelazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kuungua maradhi ya saratani ya koo kwa muda mrefu, awali alilazwa hapo akapata nafuu na kupelekwa kwao Mwanza, lakini wiki iliyopita alirudishwa tena na ndipo umauti ulipomkuta. Sylvestre Marsh enzi za uhai wake akiwa na Kim Poulsen. Marsh ambaye aliwahi kuipa mafanikio makubwa klabu ya Kagera Sugar, amewahi kufundisha soka kwa mafanikio makubwa sana hapa nchini kuanzia mwaka 2003, alipokuwa kocha msaidizi wa timu ya vijana, chini ya Abdallah Kibadeni. Mwaka 2006, alipandishwa timu ya wakubwa na kuwa kocha msaidizi chini ya Mbrazil Marcio Maximo na baadaye akawa chini ya Wadenish, Kim Poulsen na Jan Poulsen. Hata hivyo, tangu mwaka jana kocha hu...

Mhe. Zitto akiongoza kikao baina ya Kamati ya PAC ya Bunge la Tanzania na PAC kutoka Bunge la Sudani Kusini. Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya PAC (Tanzania) wakifuatilia kikao 

SOMA KAULI NZITO YA UCHUNGU ALIYOANDIKA MHE.MWIGULU NCHEMBA KWA ZITO KABWE BAADA AYA KUFUKUZWA CHADEMA

IMENISIKITISHA,Nimesikia taarifa za kuenguliwa uanachama kwa Mh.Zitto Kabwe ndani ya Chama alichoanzia siasa,alichokitumikia kwa Jasho na mali,alichowekeza muda na akili yake kwa zaidi ya miaka 19. Zitto amekuwa/anaendelea kuwachachu ya mabadiliko kwa Vitendo kwa Taifa letu.Uwezo wa kisiasa wa Kabwe adhabu yake sio kumfukuza,Demokrasia ni lazima itumike. Nakusihi kijana Mwenzangu,Mwanasiasa Mwenzangu na Mchumi Mwenzangu kuwa,Taifa linakuhitaji sana wakati huu tunapopambana na ufanyaji kazi kwa mazoea na kuleta "MABADILIKO KWA VITENDO"Hivyo usikate tamaa watanzania watakuhesabia mema kwa yote unayoyafanya kwaajili ya Taifa letu..... ''Mwigulu L.Nchemba (Mb)'', Naibu katibu mkuu CCM bara, Naibu waziri wa Fedha,Mjumbe wa kamati kuu CCM na Sekretarieti ya chama cha mapinduzi.

KAMATI YA BUNGE YA PAC YAPATA UGENI KUTOKA BUNGE LA SUDANI KUSINI