Skip to main content

TANZANIA YASHIRIKI KATIKA MAONYESHO YA KIMATAIFA YA BIDHAA ZA CHAKULA DUNIANI! BOFYA HAPA KWA UNDANI ZAIDIII

USHIRIKI WA TANZANIA KATIKA MAONYESHO YA KIMATAIFA YA BIDHAA ZA CHAKULA DUNIANI YANAYO ANZA LEO TAREHE 17 /03/ 2013 KWENYE UKUMBI WA MAONYESHO WA EXCEL, LONDON
620-Ipex-ExcelHABARI ZA LEO NDUGU ZANGU, MATUMAINI YETU KWA UWEZO WA MWENYEZI MUNGU NYOTE MPO SALAMA KABISA. KUTOKA UBALOZI WA TANZANIA HAPA NCHINI UINGEREZA, TUNA TAARIFA NDOGO YA KUSHARE NA WATANZANIA WOTE.
KITUO CHA BIASHARA, LONDON (TANZANIA TRADE CENTRE) KINAPENDA KUWAFAHAMISHA WATANZANIA WAISHIO NCHINI UINGEREZA, KUWEZA KUFIKA KATIKA JUMBA LA MAONYESHO LA EXCEL CENTRE, LONDON, KWENYE MAONYESHO MAKUBWA YA KIMATAIFA YA BIDHAA ZA CHAKULA, MAONYESHO HAYO YAJULIKANAYO KAMA INTERNATIONAL FOOD FESTIVAL (IFE 2013).
KWENYE MAONYESHO HAYO, MAKAMPUNI YAPATAYO SITA (6), YANAIWAKIRISHA NCHI YETU TANZANIA.
BIDHAA ZINAZO ONYESHWA NA MAKAMPUNI KUTOKA TANZANIA NI:-
CHAI, KAHAWA, VIUNGO MBALIMBALI VYA CHAKULA, MAFUTA YA KUPIKIA, MVINYO (WINE) ZA AINA MBALIMBALI.
MADHUMUNI MAKUBWA YA MAONYESHO HAYO KWA UPANDE WA TANZANIA, NI KUTANGAZA BIDHAA ZA TANZANIA KATIKA SOKO LA KIMATAIFA, NA KUWEZA KUINGIA MIKATABA NA MAKAMPUNI YA ULAYA, KWA MFANO, TESCO, SAINSBURY, MORRISON, ASDA, NA MENGINEYO MENGI NA HATIMAYE BIDHAA ZETU KUPATA SOKO KIMATAIFA. KIINGILIO KWENYE MAONYESHO HAYO NI £30.00 .
WATANZANIA WOTE MNAKARIBISHWA KUYAUNGA MKONO MAKAMPUNI KUTOKA TANZANIA KATIKA MAONYESHO HAYO.
ASANTENI SANA,

Comments

Popular posts from this blog

Tazama picha za utupu ya Mwimbaji wa nyimbo za injili

Hili nalo ni tukio la kushitua baada ya msanii wa nyimbo za injiri kuamua kuanika picha zake za utupu kunako mitandao ya kijamii tukio hili limetokea hivi karibuni Nchini Nigeria Baada ya mwimbaji wa nyimbo za injiri kuweka piha na video kwenye mtandao anajulikana kwa jina la Maheeda  I doubt if this Naija female singer called Maheeda could still be described as a gospel singer giving her acts in recent times, especially in the social media. Her latest show of shame is posting videos of herself in the n*de while taking her bath. Check out more of her craze below:

HAYA NDIYO MAPENZI MAPYAAAAAAA..YA .!! RAY C KAFA KAOZA

Ray C  Msanii "kiuno bila mfupa" Rehema Chalamila. 'Ray C' anadaiwa kuwa bize na harakati za kumnasa sukari ya warembo Naseeb Abdul 'Diamond' katika anga za maoenzi huku duru za habari zikidai kuwa muda si mrefu kuanzia saaa yataandikwa mengi juu ya wawili hao Mwandishi wetu alizungumza na rafiki wa karibu na Ray C hivi karibuni na kuambiwa kuwa muda mwingi jina la Diamond halikatiki mdomoni mwa mrembo huyo   Diamond Platnumz Chanzo chetu cha habari kilizidi kudai kuwa kwa sasa Ray C hana furaha hadi atakapotimiza nia na lengo la kumnasa Diamond hapo ndipo furaha yake itakapotimu Aidha habari zinazidi kudai kuwa mara kadhaa Ray C amekuwa akipanga Miadi ya kukutana na Diamond licha yakushindikana kwa apointiment hizo kila mara "kwasasa Ray C haambiwi kitu kwa Diamond, ana haha kila wakati kumweka mikononi mwake, hana furaha kabisa hadi lengo lake litakapotimia, na muda si mrefu mtaandika juu ya hao" alisema rafiki ea K...

VIDEO YA NGONO YA WANAOSADIKIKA KUWA NI WANAFUNZI WA IFM YAVUJA

Watu wawili wanaosadikika ni wanachuo wa IFM wajirecord video wakifanya ngono ndani ya........... chumba ambacho kinaonesha kama ni cha hosteli, fungua na uone upuuzi uliofanyika humu ndani…. KUANGALIA VIDEO HII LAZIMA UWE NA UMRI WA ZAIDI YA MIAKA 18+ KUANGALI BOFYA HAPA