Skip to main content

Majambazi wavamia kituo kikuu cha Polisi Mwanza




 
Wizi huo wa ajabu ulitokea Julai 18, mwaka huu, ambapo majambazi hao walivunja kituo hicho ambacho ndani yake kuna Ofisi ya Mkuu wa Polisi Mkoa wa Mwanza (RPC).

Mwanza. Majambazi wamevunja ofisi za Makao Makuu ya Polisi Mkoa wa Mwanza na kuiba mali mbalimbali vikiwemo vielelezo vya watuhumiwa walio na kesi mahakamani.


Wizi huo wa ajabu ulitokea Julai 18, mwaka huu, ambapo majambazi hao walivunja kituo hicho ambacho ndani yake kuna ..........
Ofisi ya Mkuu wa Polisi Mkoa wa Mwanza (RPC).
Taarifa zilizolifikia gazeti hili zilibaini kuwa majambazi hao walivunja ghala la vielelezo vya washtakiwa, chumba cha ghala la vipuri vya magari ya polisi, zikiwemo ofisi za Wapelelezi wa Makosa ya Jinai na Waendesha Mashtaka.
Majambazi hao wanadaiwa kuiba majalada ya kesi, begi lililokuwa na vielelezo vya washtakiwa, kompyuta ndogo mbili (Laptop) za ushahidi na kutoweka.
Wizi huo uliotokea usiku na kubainika asubuhi, ambapo watu hao ambao idadi yao haijajulikana wanadaiwa waliweza kufanikiwa kuingia ndani ya ofisi hizo za polisi, kwa kuvunja madirisha mawili ya chumba cha ghala la ofisi za Mkaguzi wa Elimu Kanda ya Ziwa ambazo zinapakana na Kituo Kikuu cha Polisi cha Kati cha Jijini Mwanza, kisha kufanikisha wizi huo.
Habari zilizopatikana kutoka ndani ya Jeshi la Polisi zinaeleza kwamba wizo huo ambao ulilenga ofisi ya vielelezo na mashtaka, ulipangwa kwa umakini na kutekelezwa bila ya polisi waliokuwa zamu usiku huo kubaini lolote.
Kwa mujibu wa maelezo wezi hao inadhaniwa ni watu wenye uzoefu na jengo hilo, wakiwa na nia ya kuchukua vielelezo mbalimbali pamoja na mafaili muhimu ya kesi kubwa.
Hili ni tukio lingine kubwa kutokea kwa Jeshi la polisi Mkoa wa Mwanza sambamba na tukio la kuuawa kwa aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Liberatus Barlow, Oktoba 13, mwaka jana ambaye alipigwa risasi na watu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi saa nane usiku wakati akitoka katika kikao cha harusi.
Kauli ya Kamanda Mangu:
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Evarist Mangu, amethibitisha kutokea kwa wizi huo na kusema jeshi lake linafanya uchunguzi wa kina kubaini waliohusika, na kusisitiza kuwa kama ni askari wake ama watu toka nje hatua kali zitachukuliwa dhidi yao.
Alisema wezi hao waliingilia katika ofisi ya Ukaguzi Elimu Kanda ya Ziwa ambako walivunja madirisha mawili, moja likiwa ni kuingia ndani ya ghala la ofisi za elimu na dirisha lingine la kutokea nje ya ghala hilo, kisha kuvunja dirisha la ndani ya majengo ya polisi na kufanikisha wizi huo.
“Wezi hao walipiga jeki nondo za madirisha hayo, hivyo kung’oka na kuingia ndani kisha kwetu, walianza kuingia katika ghala la polisi la kuhifadhia vifaa vya ofisi vya Jeshi la polisi, lakini inaonekana walikosa cha kuiba, huko walipanda darini na kutokea katika chumba kingine nako hawakuiba, lakini katika chumba cha vielelezo ambako walikuta begi lililokuwa na nguo za vielelezo pamoja na kompyuta ndogo mbili, Lap Top, ambazo walitoweka nazo,” alieleza Kamanda Mangu

Comments

Popular posts from this blog

Tazama picha za utupu ya Mwimbaji wa nyimbo za injili

Hili nalo ni tukio la kushitua baada ya msanii wa nyimbo za injiri kuamua kuanika picha zake za utupu kunako mitandao ya kijamii tukio hili limetokea hivi karibuni Nchini Nigeria Baada ya mwimbaji wa nyimbo za injiri kuweka piha na video kwenye mtandao anajulikana kwa jina la Maheeda  I doubt if this Naija female singer called Maheeda could still be described as a gospel singer giving her acts in recent times, especially in the social media. Her latest show of shame is posting videos of herself in the n*de while taking her bath. Check out more of her craze below:

HAYA NDIYO MAPENZI MAPYAAAAAAA..YA .!! RAY C KAFA KAOZA

Ray C  Msanii "kiuno bila mfupa" Rehema Chalamila. 'Ray C' anadaiwa kuwa bize na harakati za kumnasa sukari ya warembo Naseeb Abdul 'Diamond' katika anga za maoenzi huku duru za habari zikidai kuwa muda si mrefu kuanzia saaa yataandikwa mengi juu ya wawili hao Mwandishi wetu alizungumza na rafiki wa karibu na Ray C hivi karibuni na kuambiwa kuwa muda mwingi jina la Diamond halikatiki mdomoni mwa mrembo huyo   Diamond Platnumz Chanzo chetu cha habari kilizidi kudai kuwa kwa sasa Ray C hana furaha hadi atakapotimiza nia na lengo la kumnasa Diamond hapo ndipo furaha yake itakapotimu Aidha habari zinazidi kudai kuwa mara kadhaa Ray C amekuwa akipanga Miadi ya kukutana na Diamond licha yakushindikana kwa apointiment hizo kila mara "kwasasa Ray C haambiwi kitu kwa Diamond, ana haha kila wakati kumweka mikononi mwake, hana furaha kabisa hadi lengo lake litakapotimia, na muda si mrefu mtaandika juu ya hao" alisema rafiki ea K...

VIDEO YA NGONO YA WANAOSADIKIKA KUWA NI WANAFUNZI WA IFM YAVUJA

Watu wawili wanaosadikika ni wanachuo wa IFM wajirecord video wakifanya ngono ndani ya........... chumba ambacho kinaonesha kama ni cha hosteli, fungua na uone upuuzi uliofanyika humu ndani…. KUANGALIA VIDEO HII LAZIMA UWE NA UMRI WA ZAIDI YA MIAKA 18+ KUANGALI BOFYA HAPA