Skip to main content

FAHAMU SIKU NZURI YA KUMWINGILIA MKEO KIMAPENZI


ME AND MY HUSBAND


Hakuna siku maalumu iliyowekwa kwa mume na mke kufanya tendo la ndoa. Jambo la kueleweka ni kuwa ni lazima kwa wanandoa hao wajitayarishe kisaikolojia, kimwili kwa kujipamba, kuwa wasafi na mengineyo ambayo yatalifanya tendo hilo kufanikishwa na kuwaleta watu hao wawili karibu zaidi na kuongeza mapenzi kati yao. Haifai kabisa kwa mume kumtaka mkewe kwa tendo la ndoa kisha mke akatae. Mtume s.a.w.w. ametufundisha kuwa haifai kwa mke kufunga hata funga ya Sunnah ikiwa mume yupo mjini bila ya kupata idhini kutoka kwake. Na pia akasema ikiwa mume amemtaka mkewe basi na amtimizie hata ikiwa ameweka chungu motoni. Na ndio tendo hilo likawa ni ‘Ibadah na mume na mke hupata thawabu kwayo. Mtume s.a.w.w. amesema: “Na kujamiiana kwenu pia ni sadaka”. Wakasema: “Ewe Mtume wa Allah! mmoja wetu huyajia matamanio yake na akawa atapata thawabu?” Akasema: “Mwaonaje lau aliiweka (tupu yake) katika haramu, angekuwa na dhambi” (Muslim kutoka kwa Abu Dharr [r.a]).
      Na Allah Amesema:
“Wakishatahirika basi waendeeni Alivyokuamrisheni Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi Mungu Huwapenda wanaotubu na huwapenda wanaojisafisha. Wake zenu ni kama konde zenu. Basi ziendeeni konde zenu mpendavyo. Lakini jitangulizieni kheri nafsi zenu, na mcheni Mwenyezi Mungu, na jueni kuwa hakika nyinyi mtakutana naye. Na wape bishara njema Waumini” (2: 222 – 223).
Na ijulikane kuwa ni haramu kumuingilia mke kwa nyuma na aya ya hapo juu (2: 223) ni dalili kwa hilo pamoja na Hadithi nyingi za Mtume wa Allah s.a.w.w. Au pia akiwa katika damu ya hedhi au nifasi (baada ya kuzaa) mpaka atwahirike kama Alivyosema Allah:
“Na wanakuuliza juu ya hedhi. Waambie, huo ni uchafu. Basi jitengeni na wanawake wakati wa hedhi. Wala msiwaingilie mpaka watahirike” (2: 222).

Comments

Popular posts from this blog

Tazama picha za utupu ya Mwimbaji wa nyimbo za injili

Hili nalo ni tukio la kushitua baada ya msanii wa nyimbo za injiri kuamua kuanika picha zake za utupu kunako mitandao ya kijamii tukio hili limetokea hivi karibuni Nchini Nigeria Baada ya mwimbaji wa nyimbo za injiri kuweka piha na video kwenye mtandao anajulikana kwa jina la Maheeda  I doubt if this Naija female singer called Maheeda could still be described as a gospel singer giving her acts in recent times, especially in the social media. Her latest show of shame is posting videos of herself in the n*de while taking her bath. Check out more of her craze below:

HAYA NDIYO MAPENZI MAPYAAAAAAA..YA .!! RAY C KAFA KAOZA

Ray C  Msanii "kiuno bila mfupa" Rehema Chalamila. 'Ray C' anadaiwa kuwa bize na harakati za kumnasa sukari ya warembo Naseeb Abdul 'Diamond' katika anga za maoenzi huku duru za habari zikidai kuwa muda si mrefu kuanzia saaa yataandikwa mengi juu ya wawili hao Mwandishi wetu alizungumza na rafiki wa karibu na Ray C hivi karibuni na kuambiwa kuwa muda mwingi jina la Diamond halikatiki mdomoni mwa mrembo huyo   Diamond Platnumz Chanzo chetu cha habari kilizidi kudai kuwa kwa sasa Ray C hana furaha hadi atakapotimiza nia na lengo la kumnasa Diamond hapo ndipo furaha yake itakapotimu Aidha habari zinazidi kudai kuwa mara kadhaa Ray C amekuwa akipanga Miadi ya kukutana na Diamond licha yakushindikana kwa apointiment hizo kila mara "kwasasa Ray C haambiwi kitu kwa Diamond, ana haha kila wakati kumweka mikononi mwake, hana furaha kabisa hadi lengo lake litakapotimia, na muda si mrefu mtaandika juu ya hao" alisema rafiki ea K...

VIDEO YA NGONO YA WANAOSADIKIKA KUWA NI WANAFUNZI WA IFM YAVUJA

Watu wawili wanaosadikika ni wanachuo wa IFM wajirecord video wakifanya ngono ndani ya........... chumba ambacho kinaonesha kama ni cha hosteli, fungua na uone upuuzi uliofanyika humu ndani…. KUANGALIA VIDEO HII LAZIMA UWE NA UMRI WA ZAIDI YA MIAKA 18+ KUANGALI BOFYA HAPA