Skip to main content

UJUMBE WA TANZANIA WAFANYA MAZUNGUMZO NA BENKI YA DUNIA


Ujumbe wa Tanzania wakutana na Benki ya Dunia mjini Washington DC na kufanya majadiliano juu ya usimammizi wa uchumi wa Tanzania. Akizungumza katika mahojiano hayo, Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Servacius Likwelile alisema kuwa kikubwa  kilichojadiliwa katika majadiliano hayo ni masuala ya ajira kwa vijana na wanawake.
‘Katika suala zima la ajira tumeangalia ni namna gani tunaweza kuzalisha ajira zaidi na ni sekta zipi ambazo ni muhimu, na ambazo tunaweza kuziangalia. Suala la kilimo ndio hasa limeonekana kuwa na tija zaidi kwa sababu kilimo kinachukua watu wengi sana kwa Tanzania.’ Alisema Likwelile.
Katika mazungumzo hayo ujumbe kutoka Tanzania uliweza kujadiliana na Benki ya Dunia kuhusiana na miundombinu hasa barabara, masuala mazima ya upatikanaji wa umeme pamoja na masuala ya bandari.
Katika mazungumzo hayo walijikita zaidi katika sekta zisizo rasmi  ambapo ndiko kuna watu wengi na wamekubaliana kuwa wataangalia ni namna gani tija inaweza kuimarishwa na masuala mazima ya ajira, elimu na ujuzi wa watu kuweza kufanya kazi.
Katika kuhitimisha majadiliano hayo Dkt. Likwelile alisema kuwa Benki ya Dunia wanakamilisha ripoti kwa kushirikiana na tume ya mipango ili baadae tuwe na vitu ambavyo vitasaidia katika sera zetu na suala zima la ajira na uchumi mzima unaweza kuangaliwa.
Mikutano hii ya mwaka bado inaendelea hapa mjini Washington DC.

Imetolewa na:

Ingiahedi Mduma

Msemaji Mkuu

Wizara ya Fedha

Washington D.C

Comments

Popular posts from this blog

VIDEO YA NGONO YA WANAOSADIKIKA KUWA NI WANAFUNZI WA IFM YAVUJA

Watu wawili wanaosadikika ni wanachuo wa IFM wajirecord video wakifanya ngono ndani ya........... chumba ambacho kinaonesha kama ni cha hosteli, fungua na uone upuuzi uliofanyika humu ndani…. KUANGALIA VIDEO HII LAZIMA UWE NA UMRI WA ZAIDI YA MIAKA 18+ KUANGALI BOFYA HAPA

Tazama picha za utupu ya Mwimbaji wa nyimbo za injili

Hili nalo ni tukio la kushitua baada ya msanii wa nyimbo za injiri kuamua kuanika picha zake za utupu kunako mitandao ya kijamii tukio hili limetokea hivi karibuni Nchini Nigeria Baada ya mwimbaji wa nyimbo za injiri kuweka piha na video kwenye mtandao anajulikana kwa jina la Maheeda  I doubt if this Naija female singer called Maheeda could still be described as a gospel singer giving her acts in recent times, especially in the social media. Her latest show of shame is posting videos of herself in the n*de while taking her bath. Check out more of her craze below:

Tazama Pichaz 14 za Kilimanjaro Stars ilivyowasili uwanja wa ndege wa JKIA Dar baada ya kutolewa Challenge

Timu ya taifa ya  Tanzania  bara  Kilimanjaro Stars  imewasili  Dar Es Salaam  December 2 ikiwa ni siku mbili zimepita toka itolewe na timu ya taifa ya  Ethiopia  katika michuano ya mataifa ya  Afrika Mashariki  na kati maarufu kama  CECAFA Senior Challenge Cup 2015 .  Kilimanjaro Stars  itolewa na  Ethiopia  katika hatua ya robo fainali kwa mikwaju ya penati 4-3 baada ya dakika 90 kumalizika kwa sare ya goli 1-1. Naomba nikusogeze pichaz 15 za timu ya taifa ya  Tanzania  Bara  Kilimanjaro Stars  ikiwasili uwanja wa ndege Dar Es Salaam. Himid Mao baada ya kuwasili Nahodha wa Kilimanjaro Stars John Bocco baada ya kutua Dar akielekea katika basi. John Bocco na kocha mkuu na msaidizi wake wakizungumza jambo Shomari Kapombe ndani ya basi la timu ya Taifa Hassan Kessy akipanda basi la Stars Mshauri wa Kilimanjaro Stars na kocha wa Taifa Stars Charles Boniface Mkwasa aki...