HIVI NDIVYO BIBI YAKE NA MMILIKI WA MOSHONO MEDIA BLOG ALIVYOZIKWA; tazama picha pamoja na matukio yote
| mjukuu wa bibi akiwa ameshikilia msalaba na kuongoza msafara kuingia kanisani |
| Ndugu jamaa na marafiki wakiwa katika ibada ya mazishi iliyofanyika ktk kanisa la kimandolu |
| Baadhi ya wajukuu wakitoa heshima za mwisho kwa bibi yao |
| Msafara kuelekea moshono kwaajili ya kuumzika bibi |
| Msafara huo uliongozwa na pikipiki alimaarufu bodaboda |
| mchungaji aksoma neno kwaajili ya maziko |
| umati wa watu uliojitokeza kwaajili ya kumpumzisha bibi yetu |
| mwili wa bibi ukiwa kwenye jeneza tayari kuhifadhiwa kwenye nyumba yake ya milele. |
Jina kamili la marehemu bibi alikuwa anaitwa ANNA MING'ATU LAIZER, na alizaliwa mwaka 1898 na amefariki tarehe 23/11/2013.
Na amefariki akiwa na umri wa miaka 115(mia moja kumi na tano) alikuwa na watoto 10, wajukuu 40 na vituku 126.
Bwana ametwaa na bwana ametoa jina lake lizidi kubarikiwa amen.
Comments
Post a Comment