Skip to main content

RIDHIWANI KIKWETE APIGA KAMPENI KATIKA KATA YA FUKAYOSE JIMBONI CHALINZE

1Mgombea ubunge wa jimbo la Chalinze Bw. Ridhiwani Kikwete akisalimiana na wananchi baada ya kuwasili katika ya Fukayose jimbo la Chalinze  wakati alipoendelea na mikutano ya kampeni kunania kiti cha ubunge jimbo laKani  hilo, Ridhiwani Kikwete amewaomba wananchi wa kata ya Fukayose kumuamini na kumpa kura za ndiyo siku ya jumapili Aprili 6 na yeye atawalipa maendeleo na watapata nafasi ya kupanga mipango ya maendelea kwa ajili ya mafanikio ya jimbo la Chalinze.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-CHALINZE) 2Mgombea ubunge wa jimbo la Chalinze Bw. Ridhiwani Kikwete akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Mkenge kata ya Fukayose jimbo la Chalinze leo 3Mwenyekiti wa kata ya Fukayose Orinjulie Machanga akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Mkenge wakati wa mkutano wa kampeni za mgombea ubunge wa jimbo la Chalinze Bw. Ridhiwani Kikwete 4Baadhi ya wanachama wa chama cha Mapinduzi wakiwa wameshikilia picha za mgombea ubunge wa jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM Bw. Ridhiwani Kikwete katika mkutano wa kampeni kijiji cha Mkenge. 5Mgombea ubunge wa jimbo la Chalinze Bw. Ridhiwani Kikwete akisalimiana na wananchi wa kijiji cha Mkenge mara baada ya kumalizika kwa mkutano wa kampeni kijijini hapo. 6Mgombea ubunge wa jimbo la Chalinze Bw. Ridhiwani Kikwete akihani msiba katika moja ya kijiji kwenye kata ya Fukayose. 7Msanii Dokii akitumbuiza katika mkutano wa kampeni uliofanyika kata ya Fukayose leo. 8Katibu wa CCM mkoa wa Kilimanjaro ambaye pia ni meneja wa kampeni wa mgombea ubunge wa jimbo la Chalinze kupitia CCM Bw. Ridhiwani Kikwete akiwahutubia wananchi katika kata ya Fukayose. 9Baadhi ya wananchi waliojitokeza katika mikutano hiyo. c 116Mgombea ubunge wa jimbo la Chalinze Bw. Ridhiwani Kikwete akizungumza na kuwapa pole wafiwa wakati alipohani msiba katika moja ya kijiji kwenye kata ya Fukayose. 12Msanii Hafsa Kazinja akitumbuiza katika moja ya mikutano hiyo ya kampeni iliyofanyika kwenye kata ya Fukayose. 13Askari wa usalama wa raia wakiwa wameimarisha ulinzi katika mkutano huo huku baadhi ya vijana wa kimasai wakifuatilia hotuba za viongozi mbalimbali katika mkutano huo. 14Mmoja wa wazee ambaye jina lake halikufahamika mara moja katika kijiji cha Mtakuja  akiwa ameshikilia kipeperushi chenye picha na maelezo ya mgombea ubunge wa jimbo la Chalinze kupitia CCM Bw. Ridhiwani Kikwete.

Comments

Popular posts from this blog

Tazama picha za utupu ya Mwimbaji wa nyimbo za injili

Hili nalo ni tukio la kushitua baada ya msanii wa nyimbo za injiri kuamua kuanika picha zake za utupu kunako mitandao ya kijamii tukio hili limetokea hivi karibuni Nchini Nigeria Baada ya mwimbaji wa nyimbo za injiri kuweka piha na video kwenye mtandao anajulikana kwa jina la Maheeda  I doubt if this Naija female singer called Maheeda could still be described as a gospel singer giving her acts in recent times, especially in the social media. Her latest show of shame is posting videos of herself in the n*de while taking her bath. Check out more of her craze below:

VIDEO YA NGONO YA WANAOSADIKIKA KUWA NI WANAFUNZI WA IFM YAVUJA

Watu wawili wanaosadikika ni wanachuo wa IFM wajirecord video wakifanya ngono ndani ya........... chumba ambacho kinaonesha kama ni cha hosteli, fungua na uone upuuzi uliofanyika humu ndani…. KUANGALIA VIDEO HII LAZIMA UWE NA UMRI WA ZAIDI YA MIAKA 18+ KUANGALI BOFYA HAPA

Tazama Pichaz 14 za Kilimanjaro Stars ilivyowasili uwanja wa ndege wa JKIA Dar baada ya kutolewa Challenge

Timu ya taifa ya  Tanzania  bara  Kilimanjaro Stars  imewasili  Dar Es Salaam  December 2 ikiwa ni siku mbili zimepita toka itolewe na timu ya taifa ya  Ethiopia  katika michuano ya mataifa ya  Afrika Mashariki  na kati maarufu kama  CECAFA Senior Challenge Cup 2015 .  Kilimanjaro Stars  itolewa na  Ethiopia  katika hatua ya robo fainali kwa mikwaju ya penati 4-3 baada ya dakika 90 kumalizika kwa sare ya goli 1-1. Naomba nikusogeze pichaz 15 za timu ya taifa ya  Tanzania  Bara  Kilimanjaro Stars  ikiwasili uwanja wa ndege Dar Es Salaam. Himid Mao baada ya kuwasili Nahodha wa Kilimanjaro Stars John Bocco baada ya kutua Dar akielekea katika basi. John Bocco na kocha mkuu na msaidizi wake wakizungumza jambo Shomari Kapombe ndani ya basi la timu ya Taifa Hassan Kessy akipanda basi la Stars Mshauri wa Kilimanjaro Stars na kocha wa Taifa Stars Charles Boniface Mkwasa aki...