Skip to main content

wajumbe wanawake wa Bunge Maalum waaswa kufanya kazi kwa ushirikiano

wanawakeNa Tiganya Vincent-Dodoma
Mwenyekiti wa Wabunge  Wanawake wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anna Abdallah  ametoa wito kwa  wajumbe wanawake wa Bunge Maalum la Katiba kufanya kazi kwa ushirikiano katika kuhakikisha kuwa wanaweka maslahi ya mwanamke mbele katika uandishi wa Katiba mpya na sio vinginevyo.
 
Mwenyekiti huyo ametoa kauli hiyo leo mjini Dodoma wakati anafungua semina ya siku moja  ya wajumbe wanawake wa Bunge Maalum la Katiba iliyoandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake nchini (TAMWA)  kwa lengo la kuwaelimisha juu ya kuwepo  na haja ya kuwepo na vipengele vinavyotetea haki za wanawake na watoto katika masuala mbalimbali.
 
Alisema kuwa wajumbe hao wanawanawake wanapaswa kuweka kando tofauti zao za kivyama, kiitikadi na kiimani na kuhakikisha kuwa haki za msingi zinaweka katika Katiba mpya itakayotunga ili kujenga usawa wa kijinisia katika masuala mbalimbali hapa nchini.
 
Anna Abdallah aliongeza kuwa ni vema wajumbe hao wakatumia fursa hiyo wliyoipata ya kuingia katika Bunge hilo maalum katika kuhakikisha kuwa vipengelea vinavyolinda haki za Wanawake na watoto na kupigania uwepo wa usawa wa asilimia hamisni kwa hamisi katika masuala mbalimbali.
 
Aidha aliongeza kuwa ni jukumu la wanawake wote walioko katika madaraka kuwatetea wanawake wengine ambao wako nje na hata kuwahamasisha kwa kuwapa moyo wa kuingia katika siasa na kuwania madaraka mbalimbali badala ya kuwakatisha tama.
 
Akitoa mada katika Semina hiyo Mkurugenzi Mttendaji wa TAMWA Valerie Msoka alisema kuwa ni vema wajumbe hao wakapigani wazi umri wa mtoto uwekwe wazi na pia umri wa kuweza kuoa na kuolewa.
 
Aliongeza kuwa mambo mengine ni pamoja na kuweka vipengele vinavyopinga ukatiili wa kijinsia kama vile kupinga ndoa za utotoni, ukeketaji , kulazimishwa biasha ya mapenzi na ubakaji.
 
Naye Makamu Chansela wa Chuo Kikuu cha Hubert Kairuki Profesa Esther Daniel alisema kuwa suala la uzazi salama ni muhimu likazingatiwa katika uandishi wa Katiba mpya ili kuzuia mimba za utotoni na vifo vinavyotokana na uzazi.

Comments

Popular posts from this blog

Tazama picha za utupu ya Mwimbaji wa nyimbo za injili

Hili nalo ni tukio la kushitua baada ya msanii wa nyimbo za injiri kuamua kuanika picha zake za utupu kunako mitandao ya kijamii tukio hili limetokea hivi karibuni Nchini Nigeria Baada ya mwimbaji wa nyimbo za injiri kuweka piha na video kwenye mtandao anajulikana kwa jina la Maheeda  I doubt if this Naija female singer called Maheeda could still be described as a gospel singer giving her acts in recent times, especially in the social media. Her latest show of shame is posting videos of herself in the n*de while taking her bath. Check out more of her craze below:

VIDEO YA NGONO YA WANAOSADIKIKA KUWA NI WANAFUNZI WA IFM YAVUJA

Watu wawili wanaosadikika ni wanachuo wa IFM wajirecord video wakifanya ngono ndani ya........... chumba ambacho kinaonesha kama ni cha hosteli, fungua na uone upuuzi uliofanyika humu ndani…. KUANGALIA VIDEO HII LAZIMA UWE NA UMRI WA ZAIDI YA MIAKA 18+ KUANGALI BOFYA HAPA

Tazama Pichaz 14 za Kilimanjaro Stars ilivyowasili uwanja wa ndege wa JKIA Dar baada ya kutolewa Challenge

Timu ya taifa ya  Tanzania  bara  Kilimanjaro Stars  imewasili  Dar Es Salaam  December 2 ikiwa ni siku mbili zimepita toka itolewe na timu ya taifa ya  Ethiopia  katika michuano ya mataifa ya  Afrika Mashariki  na kati maarufu kama  CECAFA Senior Challenge Cup 2015 .  Kilimanjaro Stars  itolewa na  Ethiopia  katika hatua ya robo fainali kwa mikwaju ya penati 4-3 baada ya dakika 90 kumalizika kwa sare ya goli 1-1. Naomba nikusogeze pichaz 15 za timu ya taifa ya  Tanzania  Bara  Kilimanjaro Stars  ikiwasili uwanja wa ndege Dar Es Salaam. Himid Mao baada ya kuwasili Nahodha wa Kilimanjaro Stars John Bocco baada ya kutua Dar akielekea katika basi. John Bocco na kocha mkuu na msaidizi wake wakizungumza jambo Shomari Kapombe ndani ya basi la timu ya Taifa Hassan Kessy akipanda basi la Stars Mshauri wa Kilimanjaro Stars na kocha wa Taifa Stars Charles Boniface Mkwasa aki...