Habari tulizozipata hivi punde zinadai kwamba
mlipuko umetokea katika bar maarufu hapa jijini
Arusha inayojulikana kwa jina la Arusha Night Park
iliyopo maeneo ya mianzini.
sababu za mlipuko huo bado haziajajulikana na
juhudi za kupata taarifa kutoka kwa kamanda polisi
mkoa wa Arusha BW. Liberatus Sabas zinaendelea
ili kutoa taarifa kamili
Mlipuko huu ni wa tatu kutokea jijini Arusha wa
kwanza ni ule uliotokea katika kanisa la Mt. joseph
mfanyakazi Olasiti na kusababisha vifo vya watu
watatu na majeruhi kadhaa na tukio la pili lilitokea
katika mkutano wa chadema uliokuwa ukifanyika
katika viwanja vya soweto hapa jijini Arusha
ambapo pia ulisababisha vifo pamoja na majeruhi
PICHA na taarifa zaidi zitakujia muda sio mrefu.
Hili nalo ni tukio la kushitua baada ya msanii wa nyimbo za injiri kuamua kuanika picha zake za utupu kunako mitandao ya kijamii tukio hili limetokea hivi karibuni Nchini Nigeria Baada ya mwimbaji wa nyimbo za injiri kuweka piha na video kwenye mtandao anajulikana kwa jina la Maheeda I doubt if this Naija female singer called Maheeda could still be described as a gospel singer giving her acts in recent times, especially in the social media. Her latest show of shame is posting videos of herself in the n*de while taking her bath. Check out more of her craze below:
Comments
Post a Comment