Skip to main content

KAMA SIMBA, YANGA HAWAZIKI TABIA HII, MIAKA NENDA RUDI..MAFANIKIO NDOTO ZA MCHANA!

_DSC0659 
Kocha mkuu wa Simba sc, Mcroatia, Zdravko Logarusic (wa kwanza kushoto)

HAKUNA uchawi  katika soka!. Kabumbu ni mipango na kupita njia sahihi ili kufikia kiwango cha juu.
Tanzania ni miongoni mwa nchi `tia maji tia maji` kwenye mipango ya soka. Viongozi na mashabiki wanataka kupita njia ya mkato `short cut` ili kupata mafanikio.
Moja ya kosa kubwa wafanyalo watu wengi ni kulifananisha soka letu na mataifa yaliyoendelea (barani Ulaya na Amerika). Utasikia mbona hata Chelsea, Man United, Barcelona wanafukuza makocha?, wanaacha wachezaji?.
Kumbe klabu hizi zina mipango na zimekamatwa na wafanyabiashara ambao wamewekeza pesa zao. Hakuna mfanya biashara atayevulimilia hasara. Mtu anainunua klabu kwa mabilioni ya fedha, mfano Roman Abramovich wa Chelsea. Hawezi kuona kocha anavurunda na kumuacha, lazima achukue hatua kwasababu anataka faida.
Kocha-wa-Timu-ya-Club-ya-Yanga-Maxio-Maximo 
Pia klabu za Ulaya, mara nyingi kazi ya kocha ni kutengeneza timu kiuchezaji, (ufundi na mbinu za mpira).  kwa asilimia kubwa, wachezaji wanaowakuta wanakuwa tayari wameandaliwa vizuri au ananunua wachezaji waliopikwa tayari. Kwa maana ya kwamba,  wana misingi ya mpira, kazi yake inabaki kuunganisha timu kwa kutumia wachezaji walio tayari kufanya kazi.
Kama kazi yako ni kuufundisha mpira na kuunganisha wachezaji katika falsafa yako, yaani wachezaji wote ni wazuri, inashindikanaje kufukuzwa unaposhindwa kuwapa mbinu sahihi za mpira?. Ndio maana makocha wengi Ulaya wanawajibishwa kwa kushindwa kuipa mbinu za uhakika timu yake

Comments

Popular posts from this blog

VIDEO YA NGONO YA WANAOSADIKIKA KUWA NI WANAFUNZI WA IFM YAVUJA

Watu wawili wanaosadikika ni wanachuo wa IFM wajirecord video wakifanya ngono ndani ya........... chumba ambacho kinaonesha kama ni cha hosteli, fungua na uone upuuzi uliofanyika humu ndani…. KUANGALIA VIDEO HII LAZIMA UWE NA UMRI WA ZAIDI YA MIAKA 18+ KUANGALI BOFYA HAPA

Tazama picha za utupu ya Mwimbaji wa nyimbo za injili

Hili nalo ni tukio la kushitua baada ya msanii wa nyimbo za injiri kuamua kuanika picha zake za utupu kunako mitandao ya kijamii tukio hili limetokea hivi karibuni Nchini Nigeria Baada ya mwimbaji wa nyimbo za injiri kuweka piha na video kwenye mtandao anajulikana kwa jina la Maheeda  I doubt if this Naija female singer called Maheeda could still be described as a gospel singer giving her acts in recent times, especially in the social media. Her latest show of shame is posting videos of herself in the n*de while taking her bath. Check out more of her craze below:

Tazama Pichaz 14 za Kilimanjaro Stars ilivyowasili uwanja wa ndege wa JKIA Dar baada ya kutolewa Challenge

Timu ya taifa ya  Tanzania  bara  Kilimanjaro Stars  imewasili  Dar Es Salaam  December 2 ikiwa ni siku mbili zimepita toka itolewe na timu ya taifa ya  Ethiopia  katika michuano ya mataifa ya  Afrika Mashariki  na kati maarufu kama  CECAFA Senior Challenge Cup 2015 .  Kilimanjaro Stars  itolewa na  Ethiopia  katika hatua ya robo fainali kwa mikwaju ya penati 4-3 baada ya dakika 90 kumalizika kwa sare ya goli 1-1. Naomba nikusogeze pichaz 15 za timu ya taifa ya  Tanzania  Bara  Kilimanjaro Stars  ikiwasili uwanja wa ndege Dar Es Salaam. Himid Mao baada ya kuwasili Nahodha wa Kilimanjaro Stars John Bocco baada ya kutua Dar akielekea katika basi. John Bocco na kocha mkuu na msaidizi wake wakizungumza jambo Shomari Kapombe ndani ya basi la timu ya Taifa Hassan Kessy akipanda basi la Stars Mshauri wa Kilimanjaro Stars na kocha wa Taifa Stars Charles Boniface Mkwasa aki...