Israel imeanza kufanya mashambulizi ya angani
dhidi ya Gaza katika hatua yake ya kujibu
mashambulizi yaliyofanywa na wapiganaji wa
kipalestina dhidi ya Israel.
Mashambulizi haya yametokea baada ya
makubaliano ya siku tatu ya kusitisha vita
kuvunjika.
Serikali ya Israel imesema kuwa iliamuru jeshi
kujibu mashambulizi hayo kwa ukali.
Jeshi la Israel linasema linashambulia maeneo
yanayotumiwa na wapiganaji hao katia ukanda wa
Gaza.
Kuna taarifa za kutokea mlipuko mkubwa katika
ukanda wa Gaza na wakazi wa Palestina
wamekuwa wakiodnoka katika maeneo hayo.
Hamas ilikanusha madai ya kuongezwa muda wa
makubaliano ya kusitisha vita ikisema kuwa Israel
ilikataa kukubaliana kufanya mkutano kulingana na
matakwa yao kwa masharti ya Misri ikiwemo
kumaliza
Hili nalo ni tukio la kushitua baada ya msanii wa nyimbo za injiri kuamua kuanika picha zake za utupu kunako mitandao ya kijamii tukio hili limetokea hivi karibuni Nchini Nigeria Baada ya mwimbaji wa nyimbo za injiri kuweka piha na video kwenye mtandao anajulikana kwa jina la Maheeda I doubt if this Naija female singer called Maheeda could still be described as a gospel singer giving her acts in recent times, especially in the social media. Her latest show of shame is posting videos of herself in the n*de while taking her bath. Check out more of her craze below:
Comments
Post a Comment