Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati, Catherine
Samba-Panza, amemteua Muislamu kuwa waziri
mkuu mpya.
Mahamat Kamoun, ambaye alikuwa mshauri
maalumu wa Michel Djotodia, kiongozi wa kundi la
wapiganaji wa Seleka, ataongoza serikali ya mpito.
Waandishi wa habari wanasema hatua hiyo ni
jaribio la kuunda serikali ya pamoja baada ya
ghasia za kidini za zaidi ya mwaka mmoja.
Tangazo hilo lilitolewa kwenye redio ya taifa na
msemaji wa rais ambaye mwenyewe ni Mkristo.
Ghasia zilizuka baina ya Wakristo na Waislamu
baada ya wapiganaji wa Seleka, wengi wao
waliokuwa Waislamu, walipomtoa madarakani Rais
Francois Bozize mwaka jana.
Hili nalo ni tukio la kushitua baada ya msanii wa nyimbo za injiri kuamua kuanika picha zake za utupu kunako mitandao ya kijamii tukio hili limetokea hivi karibuni Nchini Nigeria Baada ya mwimbaji wa nyimbo za injiri kuweka piha na video kwenye mtandao anajulikana kwa jina la Maheeda I doubt if this Naija female singer called Maheeda could still be described as a gospel singer giving her acts in recent times, especially in the social media. Her latest show of shame is posting videos of herself in the n*de while taking her bath. Check out more of her craze below:
Comments
Post a Comment