Skip to main content

HIVI NDIVYO UJENZI HOLELA UNAVYOENDELEA SHINYANGA

Leo naibu mstahaki meya manispaa ya Shinyanga David Nkulila amefanya ziara mjini Shinyanga kuangalia sura ya mji huo kubwa zaidi ikiwa ni kuangalia ujenzi wa majengo mbalimbali kama yanazingatia sheria ya mwaka 2001 inayotaka kujengwa kwa maghorofa tu katikati ya mji na si vinginevyo.Pichani ni jengo lililoko mkabala na Bakurutu linalotiliwa  wasiwasi kuwa limejengwa bila kufuata utaratibu ambapo wataalam kutoka ofisi ya mipango mji wameahidi kulifanyia uchunguzi baada ya leo kulikagua na kubaini kuwa mipaka ya jengo hilo haionekani

Kushoto ni naibu meya wa manispaa ya Shinyanga David Nkulila akilinyoshea mkono jengo hilo na kuongeza kuwa kuna taarifa kuwa halijajengwa kwa kufuata taratibu zinazotakiwa,katikati ni mhandisi wa halmashauri ya manispaa ya Shinyanga  Simon Ngagani akifuatiwa na kaimu mkuu wa idara ya mipango mji,ardhi na maliasili manispaa ya Shinyanga bwana Uria Lunda 

 Hata hivyo Mhandisi wa halmashauri ya manispaa ya Shinyanga  Simon Ngagani alisema yapo baadhi ya majengo mjini Shinyanga yamejengwa kwa kukiuka sheria huku akidai kuwa kuna baadhi ya wananchi wanajenga usiku ili wasibainike kuwa wanajenga kinyume cha sheria.Wengine wanaweka uzio na usipoangalia unaweza kufikiri wanajenga ghorofa kumbe la hasha!!

Hili jengo ni mali ya la Edgar Kasembo lililopo mtaa wa Buzuka ambapo naibu meya David Nkulila amemwagiza mhandisi wa manispaa ya Shinyanga kusimamia zoezi la kubomolewa kwani hakuna taarifa za ujenzi wa jengo hilo lililozungushiwa uzio kana kwamba kuna ghorofa linajengwa ndani hata mhandisi hana taarifa juu ya ujenzi huo

Naibu meya akionesha jengo hilo ambalo linadaiwa kujengwa kinyume cha sheria huku mwenye mali akidaiwa kuwa yuko nje ya nchi.Pamoja na mambo mengine Nkulila alisema kuendelea kujengwa kwa majengo kinyume cha sheria kunatokana na kuwepo kwa mianya ya rushwa miongoni mwa watendaji wa serikali

Hili jengo linatakiwa kubomolewa mara moja,limezungushiwa uzio utafikiri kuna ghorofa linajengwa

Naibu meya huyo aliwataka wananchi kufuata sheria na taratibu zilizowekwa ili kuepuka lawama zisizokuwa za lazima pale wanapoamuliwa kubomoa nyumba zao.

Hapa ni katika mtaa wa Kaunda mjini Shinyanga.Pichani ni jengo lililojengwa kinyume cha sheria.Mhandisi wa manispaa amesema hajui linajengwa saa ngapi.Jengo linabomolewa vipande vipande na kujengwa wakati majengo yasiyo maghorofa hayaruhusiwi katikati ya mji

Msafara wa naibu meya wa manispaa ya Shinyanga ukishuhudia jengo linalojengwa kinyemela,na haijulikani linajengwa mchana ama usiku.Jengo  hilo liko katika sura ya kuwa jengo kwa ajili ya biashara.

Comments

Popular posts from this blog

VIDEO YA NGONO YA WANAOSADIKIKA KUWA NI WANAFUNZI WA IFM YAVUJA

Watu wawili wanaosadikika ni wanachuo wa IFM wajirecord video wakifanya ngono ndani ya........... chumba ambacho kinaonesha kama ni cha hosteli, fungua na uone upuuzi uliofanyika humu ndani…. KUANGALIA VIDEO HII LAZIMA UWE NA UMRI WA ZAIDI YA MIAKA 18+ KUANGALI BOFYA HAPA

Tazama picha za utupu ya Mwimbaji wa nyimbo za injili

Hili nalo ni tukio la kushitua baada ya msanii wa nyimbo za injiri kuamua kuanika picha zake za utupu kunako mitandao ya kijamii tukio hili limetokea hivi karibuni Nchini Nigeria Baada ya mwimbaji wa nyimbo za injiri kuweka piha na video kwenye mtandao anajulikana kwa jina la Maheeda  I doubt if this Naija female singer called Maheeda could still be described as a gospel singer giving her acts in recent times, especially in the social media. Her latest show of shame is posting videos of herself in the n*de while taking her bath. Check out more of her craze below:

Tazama Pichaz 14 za Kilimanjaro Stars ilivyowasili uwanja wa ndege wa JKIA Dar baada ya kutolewa Challenge

Timu ya taifa ya  Tanzania  bara  Kilimanjaro Stars  imewasili  Dar Es Salaam  December 2 ikiwa ni siku mbili zimepita toka itolewe na timu ya taifa ya  Ethiopia  katika michuano ya mataifa ya  Afrika Mashariki  na kati maarufu kama  CECAFA Senior Challenge Cup 2015 .  Kilimanjaro Stars  itolewa na  Ethiopia  katika hatua ya robo fainali kwa mikwaju ya penati 4-3 baada ya dakika 90 kumalizika kwa sare ya goli 1-1. Naomba nikusogeze pichaz 15 za timu ya taifa ya  Tanzania  Bara  Kilimanjaro Stars  ikiwasili uwanja wa ndege Dar Es Salaam. Himid Mao baada ya kuwasili Nahodha wa Kilimanjaro Stars John Bocco baada ya kutua Dar akielekea katika basi. John Bocco na kocha mkuu na msaidizi wake wakizungumza jambo Shomari Kapombe ndani ya basi la timu ya Taifa Hassan Kessy akipanda basi la Stars Mshauri wa Kilimanjaro Stars na kocha wa Taifa Stars Charles Boniface Mkwasa aki...