Chama cha wananchi CUF leo asubuhi kupitia viongozi wake kimetoa ufafanuzi wakati kikiongea na waandishi wa habari juu ya taarifa zinazoendelea kutapakaa nakutoa ufafanuzi wa mambo yafuatayo
1.CUF wamedhibitisha kuwa hawajajitoa UKAWA.
2.Kuhusu kutohudhuria kikao cha UKAWA jana wamedhibistisha kuwa hawakuhudhuria kwasababu hawakupewa taarifa za kikao mapema hivyo wakashindwa kuhudhulia.
3.Kuhusu UKAWA kuchagua mgombea wa urais wamesema hawamtambui aliyechaguliwa na watakaa wote tarehe 25 mwezi huu kuamua nani atakuwa mgombea wa urais kupitia UKAWA.
Hili nalo ni tukio la kushitua baada ya msanii wa nyimbo za injiri kuamua kuanika picha zake za utupu kunako mitandao ya kijamii tukio hili limetokea hivi karibuni Nchini Nigeria Baada ya mwimbaji wa nyimbo za injiri kuweka piha na video kwenye mtandao anajulikana kwa jina la Maheeda I doubt if this Naija female singer called Maheeda could still be described as a gospel singer giving her acts in recent times, especially in the social media. Her latest show of shame is posting videos of herself in the n*de while taking her bath. Check out more of her craze below:
Comments
Post a Comment