Skip to main content

Ikulu Yamjibu Dk Makongoro Mahanga Aliyemtuhumu Rais Magufuli Kuunda Serikali Kubwa Tofauti Na Alivyoahidi


Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue amesema ameshangazwa na kauli ya aliyekuwa Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk Makongo  Mahanga kuwa wingi wa makatibu wakuu unakinzana na dhana ya kupunguza ukubwa wa Serikali alioahidi Rais John Magufuli.

Juzi mbunge huyo wa zamani wa jimbo la Segerea (CCM) alisema kuteua makatibu wakuu 27 ni sawa na kuwa na wizara 27 badala ya 15 kama inavyoelezwa.

Dk Mahanga alisema huko si kupunguza ukubwa wa Serikali bali ni kuongeza ukubwa wake na kwamba wizara ni ofisi ya katibu mkuu na si ofisi ya waziri.

Lakini, Balozi Sefue alipotafutwa kutoa ufafanuzi kuhusu madai ya Dk Mahanga, alisema kauli ya kiongozi huyo imemshangaza.

“Kwa mtu aliyekuwa naibu waziri kwa muda mrefu sana, inashangaza hajui kuwa makatibu wakuu si sehemu ya Baraza la Mawaziri,” alisema Sefue.

“Idadi yao si kipimo cha ukubwa au udogo wa Baraza la Mawaziri,”alisema Balozi Sefue.

Sefue aliongeza kuwa idadi ya makatibu wakuu na naibu wao waliokuwapo kwenye Serikali iliyopita na waliopo sasa ni tofauti, kwa kuwa wamepungua.

“Jumla ya makatibu wakuu na naibu makatibu wakuu wa Serikali iliyopita ilikuwa 54. Hivi sasa wako 49 tu,” alisema Sefue.

Ikumbukwe kuwa baada ya kupunguzwa kwa Baraza la Mawaziri kutoka mawaziri 55 wa baraza lililopita hadi mawaziri 34 wa baraza la sasa, hata nafasi za makatibu wa wizara zimepungua pia.

Rais alisema makatibu ambao hawajateuliwa, watapangiwa kazi nyingine.

Kauli ya Dk Mahanga, ambayo  aliituma kwenye ukurasa wake wa facebook, iliibua mjadala kwenye mitandao ya kijamii baada ya wananchi kugawanyika, baadhi wakimuunga mkono na wengine wakimkosoa.

Comments

Popular posts from this blog

VIDEO YA NGONO YA WANAOSADIKIKA KUWA NI WANAFUNZI WA IFM YAVUJA

Watu wawili wanaosadikika ni wanachuo wa IFM wajirecord video wakifanya ngono ndani ya........... chumba ambacho kinaonesha kama ni cha hosteli, fungua na uone upuuzi uliofanyika humu ndani…. KUANGALIA VIDEO HII LAZIMA UWE NA UMRI WA ZAIDI YA MIAKA 18+ KUANGALI BOFYA HAPA

Tazama picha za utupu ya Mwimbaji wa nyimbo za injili

Hili nalo ni tukio la kushitua baada ya msanii wa nyimbo za injiri kuamua kuanika picha zake za utupu kunako mitandao ya kijamii tukio hili limetokea hivi karibuni Nchini Nigeria Baada ya mwimbaji wa nyimbo za injiri kuweka piha na video kwenye mtandao anajulikana kwa jina la Maheeda  I doubt if this Naija female singer called Maheeda could still be described as a gospel singer giving her acts in recent times, especially in the social media. Her latest show of shame is posting videos of herself in the n*de while taking her bath. Check out more of her craze below:

Tazama Pichaz 14 za Kilimanjaro Stars ilivyowasili uwanja wa ndege wa JKIA Dar baada ya kutolewa Challenge

Timu ya taifa ya  Tanzania  bara  Kilimanjaro Stars  imewasili  Dar Es Salaam  December 2 ikiwa ni siku mbili zimepita toka itolewe na timu ya taifa ya  Ethiopia  katika michuano ya mataifa ya  Afrika Mashariki  na kati maarufu kama  CECAFA Senior Challenge Cup 2015 .  Kilimanjaro Stars  itolewa na  Ethiopia  katika hatua ya robo fainali kwa mikwaju ya penati 4-3 baada ya dakika 90 kumalizika kwa sare ya goli 1-1. Naomba nikusogeze pichaz 15 za timu ya taifa ya  Tanzania  Bara  Kilimanjaro Stars  ikiwasili uwanja wa ndege Dar Es Salaam. Himid Mao baada ya kuwasili Nahodha wa Kilimanjaro Stars John Bocco baada ya kutua Dar akielekea katika basi. John Bocco na kocha mkuu na msaidizi wake wakizungumza jambo Shomari Kapombe ndani ya basi la timu ya Taifa Hassan Kessy akipanda basi la Stars Mshauri wa Kilimanjaro Stars na kocha wa Taifa Stars Charles Boniface Mkwasa aki...