Skip to main content

Posts

Waraka wa Chadema utata mtupu

Add captionMkurugenzi wa Habari na Uenezi wa Chadema, John Mnyika ambaye amedai, “Waraka utakaotumika katika mashtaka yao siyo huo. Sisi tutautumia ule ambao uliwasilishwa katika Kamati Kuu ambao una mambo makubwa na mengi zaidi kuliko huo unaochapishwa sehemu mbalimbali, ikibidi tutautoa huo waraka halisi,” alisema Dar na Arusha. Utata mkubwa umeibuka kuhusu waraka halisi wa ‘Mkakati wa Mabadiliko 2013’ uliosababisha Zitto Kabwe kuvuliwa wadhifa wake wa Naibu Katibu Mkuu wa Chadema na kikao cha Kamati Kuu ya chama hicho kilichofanyika Novemba 20 - 22, mwaka huu. Baada ya juzi, Mkurugenzi wa Habari na Uenezi wa Chadema, John Mnyika kuwaeleza wanahabari kuwa waraka uliochapishwa katika magazeti na mitandao ya kijamii, siyo halisi, aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho Mkoa wa Arusha, Samson Mwigamba amejitokeza na kuutetea huku akidai kwamba huo unaodaiwa na uongozi kuwa ndiyo halisi umeghushiwa. Zitto ambaye pia ni Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), alivuliwa ...

TAZAMA PICHA 40 JINSI USIKU WA TEMA MATE TUWACHAPE YA MADEE ILIVYOFUNIKA MBAYA PALE CLUB BILICANAS

 

TAZAMA VIDEO YA JACK WOLPER AKIFUNGUKA KUHUSU SIRI ZAKE TANO

MOYO huhifadhi mengi mazito hasa ya kuumiza! Staa mkubwa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe amejikuta akimwaga machozi wakati akianika siri tano nzito kuhusu mapenzi katika mahojiano (exclusive interview) na Amani kwa takriban saa mbili.   Wolper akifunguka ndani ya Ofisi za Global Publishers, Bamaga-Mwenge jijini Dar. Katika ‘intavyu’ hiyo iliyofanyika Jumatatu iliyopita kwenye Ofisi za Global Publishers, Bamaga-Mwenge jijini Dar kuanzia saa 8:44 alasiri hadi saa 10:44 jioni, Wolper alifunguka vitu vingi. KISA/MKASA Akizungumza kwa masikitiko, uchungu na majuto, Wolper alisema hawezi kumsahau mwanaume huyo ambaye ni Abdallah Mtoro ‘Dallas’ kwa namna alivyomwingia kijanja na kutaka kumvunjia heshima aliyoijenga karibia miaka kumi nyuma.   Wolper akijibu maswali ya Global. ALIANZIA WAPI NA DALLAS? “Siku ya kwanza Dallas alinipigia simu na kuniambia aliniona Magomeni (Dar). Naikumbuka sana siku hiyo, ilikuwa baada ya mizunguko yangu, mwanzon...

HIVI NDIVYO BIBI YAKE NA MMILIKI WA MOSHONO MEDIA BLOG ALIVYOZIKWA; tazama picha pamoja na matukio yote

mjukuu wa bibi akiwa ameshikilia msalaba na kuongoza msafara kuingia kanisani Ndugu jamaa na marafiki wakiwa katika ibada ya mazishi iliyofanyika ktk kanisa la kimandolu     Baadhi ya wajukuu wakitoa heshima za mwisho kwa bibi yao Msafara kuelekea moshono kwaajili ya kuumzika bibi Msafara huo uliongozwa na pikipiki alimaarufu bodaboda mchungaji aksoma neno kwaajili ya maziko umati wa watu uliojitokeza kwaajili ya kumpumzisha bibi yetu mwili wa bibi ukiwa kwenye jeneza tayari kuhifadhiwa kwenye nyumba yake ya milele. Jina kamili la marehemu bibi alikuwa anaitwa ANNA MING'ATU LAIZER, na alizaliwa mwaka 1898 na amefariki tarehe 23/11/2013. Na amefariki akiwa na umri wa miaka 115(mia moja kumi na tano) alikuwa na watoto 10, wajukuu 40 na vituku 126. Bwana ametwaa na bwana ametoa jina lake lizidi kubarikiwa amen.

ATEMBEZWA UCHI MTAANI BAADA YA KUFUMANIWA NA MKE WA MTU CHUMBANI

Hussein Shaban akiwa amevuliwa nguo na kupewa kichapo baada ya fumanizi. Sakata hilo la aina yake lilitokea katika kitongoji cha Nyeishozi, Tegeta kwa kumuhusisha Hussein ambaye ni mfanyabiashara  na mke wa kigogo huyo ambaye jina lake tunalihifadhi kwa sasa. CHANZO CHA FUMANIZI, KUTOWEKA AMANI Akisimulia tukio zima mwanzo hadi mwisho, kiongozi huyo ambaye hakupenda jina lake liandikwe gazetini, alisema miezi miwili iliyopita alianza kuhisi ndani ya ndoa yake kuna jambo lanaloendelea kwa siri baada ya nyumba yake kupoteza amani, mke alibadilika tabia ghafla. Bwana Hussein akitembezwa mitaani. “Siku moja nilikuwa natafuta nyaraka za kazini ambazo nilikuwa nimeziweka kwenye begi la kubebea kompyuta mpakato (laptop), lakini sikuzikuta. “Niligundua vitu vyangu vingi havipo ndani kama vile mashati, suruali, redio ndogo na saa ya ukutani. Nilimuuliza mke wangu akanipa majibu rahisi. UCHUNGUZI WA KINA WAANZA “Nilianza uchunguzi, niliwahoji shambaboi wangu kuhusu tabia...