Skip to main content

Posts

BREAKING NEWZZZ....HUYU JAMAA AKAMATWA NA MABILIONI YA PESA KWENYE BEGI MJINI DODOMA MDA HUU ...NI HATARIII

HUYU JAMAA MWENYE ASILI YA KIHINDI ANASWA NA HIZI PESA HAIJAFAHAMIKA BADO NI KWA AJILI YA KUFANYIA NINI...ENDELEA KUFWATILIA HAPA UPATE HABARI ZOTE

Kikosi cha Azam FC kimethibitisha kuwapokea hawa watatu toka nje ya TZ..

Golikipa  Nelson Lukong Bongaman , jamaa anatokea Congo ila ni Raia wa Cameroon. Ligi Kuu TZ bara inatarajiwa kuanza August 2015, Vikosi ya Timu za soka vimeendelea kujipanga na kuimarisha Vikosi vyao ili mambo yaende sawa msimu huu watoke na ushindi,  Azam FC  wamethibitisha kwamba safari hawako tayari kuukosa pia. Azam FC  jana ilithibitisha kuanza kuwapokea  wachezaji wa kigeni wanaotarajia kujiunga nao na kufanya majaribio na klabu hiyo, kwenye taarifa ya Klabu hiyo imeonesha jana usiku walitarajia kumpokea golikipa ambaye ni raia wa Cameroon,  Nelson Lukong Bongaman   ambaye alikuwa anachezea timu za Congo DRC. Jean Mugiraneza Babtiste Klabu hiyo ilitarajia pia kumpokea staa mwingine mida ya saa 2 asubuhi ambae ni raia wa Uingereza,  Ryan Burge . Nyota mwingine waliyemtaja kuwa watampokea ni mchezaji kutoka  Klabu ya APR  ya Rwanda,  Jean Mugiraneza Babtiste . Kikosi cha  Azam FC...

Black Ryno na albamu mpya, Nay Feat.Diamond imebuma? na Producer DX anamkubali nani?.

Black Ryno  amesema baada ya kumaliza masters yake  MZUMBE   sasa akili yake imekua na ataachia albamu yake muda si mrefu kwani sasa anajua nini anafanya ili kazi zake ziweze kuuzika na kumpatia faida zaidi…jamaa pia kasema atakua anauza kazi zake kupitia mitandao ya kijamii na kwenye  Supermarkets  kubwa ili zimfikie kila mmoja tofauti na zamani. Black Ryno Kingine kilichosikika leo kwenye 255 ni kumhusu  Nay wa Mitego  ambaye amefunguka na kusema hakuwa amepanga kutoa single yake ya  ‘Sina muda’  bali mashabiki ndio waliomlazimisha kwa sababu bado ‘ Mapenzi au Pesa’  ilikua ikifanya vizuri. Nay wa Mitego Amesema video zote zitatoka wakati wowote kuanza sasa. DX  kutoka  Noise Maker  kutoka Arusha amesema anamuelewa sana mtayarishaji chipukizi  Mesen Selector  kutokana na uwezo wake mkubwa..amekua akitayarisha nyimbo wakati huo huo ni mwanamuziki….ana ubunifu mkubwa kwenye kazi yake kwa sababu y...

Kumbe Kuna ugomvi kati ya Luteni Kalama na Inpector Haroun? sikilioza #Uheard (Audio)

Jana kupitia akaunti yake ya  @Instagram   mke wa  Luten Kalama  ametoboa mambo mengi kuhusiana na kundi la  Gangwe Mob   ambalo kwa sasa lina mgogoro mzito. Luteni Kalama mwenyewe amesema anashangaa kusikia  Inspekta Haroun   anasambaza maneno kwa watu kuwa yeye anazuiwa kufanya kazi na mke wake…ametoboa kuwa hata akipewa ela ya shoo anaenda mwenyewe na anampa ela ndogo tofauti na makubaliano yao..anasema ugomvi wao umedumu kwa  takribani miaka nane. Mke wake amesema aliwahi kwenda  Dar Live  akapigwa na mashabiki wakidai yeye ndio anaua kundi la Gangwe Mob kitu kinachotishia maisha yake..

Hii ndio klabu iliyomchukua Ramadhani Singano (Messi)

. Ikiwa imepita siku moja toka  Kamati ya Haki na Hadhi za Wachezaji ya TFF kuvunja mkataba wamchezaji Ramadhani Singano (Messi)  na iliyokuwa klabu yake Simba leo hii amesaini mkataba wa kuichezea klabu ya Azam Fc . Singano amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia klabu hiyo inayonolewa na muingereza Stewart Hall na ataungana na kikosi hicho muda wowote kutokea hivi sasa. . Ikumbukwe kuwa wiki kadhaa zilizopita kulikuwa na utata wa ki mkataba kati ya Singano na Simba kwa zile tofauti zilizotokea ndani ya mkataba ambazo nakala ya mkataba wa mchezaji inaonyesha kumalizika mwezi june 2015 wakati ule wa klabu ukionesha june 2016. Chanzo: Saleh Jembe blog

Haya ndiyo Magari 10 ya gharama ya mastaa wa soka Ulaya 2015…

Moja ya starehe za mastaa wengi wa soka duniani ni pamoja na kutembela magari ya kifahari..ukiachilia utajiri wa magari ya kifahari anayomiliki bondia mwenye utajiri mkubwa Floyd Mayweather ..wapo mastaa wa soka ambao nao wameingia kwenye list ya kutembelea magari ya kifahari zaidi. Hawa ni mastaa 10 wa soka Ulaya ambao mbali ya kuingiza mkwanja mrefu kupitia kazi yao ya soka pia wanatembelea magari ya kifahari…. Gari aina ya  Buggati Veyron  anayomiliki staa wa soka duniani Christiano Ronaldo..gharama yake ni dola 1,7000,000 Ronaldinho anamiliki gari aina ya  Buggati Veyron  yenye thamani ya dola 1,800,000 Eto’o ni mpenzi wa magari na amekua akimiliki magari mengi ya kifahari.. naye pia ni mmoja wa mastaa wanaomiliki gari aina ya Buggati Veyron Zlatan Ibrahimovic anamiliki gari aina ya  Porsche  ambayo ina thamani ya €768,000 Neymar Dos Santos ndiye mchezaji ghali zaidi Brazil: anamiliki gari aina ya  Audi R8 GT  lenye tha...

Ali Kiba kayajibu matano, ishu ya beef, ubalozi wake, Tuzo sita, yeye na Diamond..

Staa wa hits za ‘ Cheketua ‘  na ‘ Mwana’  ambazo zilimrudisha kwa nguvu kwenye muziki TZ,  Ali Kiba   alikuwa kwenye show ya XXL leo July 09 2015, kuna vitu vingi vinaendelea, leo kapata nafasi kuyajibu  haya matano. Ali Kiba   na  B12  kwenye XXL leo mchana. Hivi ndio alivyoupata mchongo wa kuwa Balozi wa Kampeni ya  WildAid  >>> “ Wanaangalia mtu ambaye anaeleweka, anayeweza kuwaambia watu wakaelewa jinsi ya kuzuia ujangili..  Lupita  ni mfano, tayari amekuwa staa mkubwa sana watu wengi wanamuangalia ” Ali Kiba   akisalimiana na  Lupita Nyong’o Haya ndio majibu yake kuhusu sababu za kuamua kufanya  daladala tour  >>> “ Nina imani kuna wanaonipenda na hawajawahi kuniona.. walipiga kura Tuzo za Watu, KTMA.. nilianzia Mnazi Mmoja mpaka Mtoni Mtongani, tukaenda Temeke, tukaja Ilala, Magomeni, Ubungo na Manzese mpaka Makumbusho  ” Maswali yalioulizwa zaidi na watu n...