Skip to main content

Posts

Showing posts from March 31, 2013

Zaidi ya wachimba moram 12 wafukiwa na kifusi Moshono Arusha habari zaidii bofya hapa

Eneo la tukio lilipotokea ni ktk kata ya Moshono, karibu na Tanganyika Perkas jijini Arusha. Greda la jiji linafukua maiti na katika harakati hizo mmoja kishapatikana. Watu hao walikuwa wakipakia hayo malori mawili ndipo kifusi kikawafunika. Magari hayo mawili aina ya Scania na Fuso yamefukiwa pia. Na  ambulance ya jijij imefika kwa msaada zaidi.

HIZI HAPA HABARI ZILIZOANDIKWA NA MAGAZETI YA LEO!

LADY JAY DEE AIPIGA DONGO CLODS FM! HABARI ZAIDI BOFYA HAPA

                  East African popular musician Lady Jay Dee ameamua kuwapa modongo Clouds fm kupitia Twitter leo kutokana na wimbo wake mpya uliotoka hivi karibuni Joto hasira kutopigwa katika radio hiyo. Jay dee ameandika kuwa radio ya watu isiyopiga nyimbo za wasanii wa watu ila wasanii wao tu. Angalia tweet za Queen of Bongofleva huyo. “Radio ya watu isiopiga nyimbo za wasanii wa watu ila za wasanii wao tu, wasiopendwa na watu. #JotoHasira” ... ” Anaedai kuianzisha bongoflava aliapa kuiua bongo flava. Sasa hata wasioijua Hiphop nao wana beef na Bongo flava! Damn !!” Jay Dee pia anaonekana kujizatiti na kujiamini kuonyesha kuwa yupo kwa lolote yeye kama Komandoo Binti Machozi aliandika tena “Kill me if u can. Am on Fire, siogopi ng’oooooo Jipangeni, Ni kweli nimelamba sumu, lakini hainidhulu. Nakunywa maziwa daily, I will survive”   ·