Skip to main content

Posts

Showing posts from February 17, 2013

DIAMOND ATUMIA MILIONI 260 KUMJENGEA MAMA YAKE NYUMBA! KWA HABARI ZAIDI BOFYA HAPAA...

Diamond kamjengea mama yake nyumba ya shilingi milioni 260! cheki hapa   Karibu kila mtu anayeufuatilia muziki wa Bongo Flava anajua Diamond ndio msanii anayetafutwa zaidi kwaajili ya show kuliko msanii yeyote Tanzania but nani alifahamu kuwa amemjengea mama yake nyumba yenye thamani ya shilingi milioni 260? Lakini hivyo ndivyo alivyofanya msanii huyu kipenzi cha kinadada kwa mujibu wa kipindi cha Amplifaya cha Clouds FM kama alivyofunguka jana. Na kwa mujibu wa interview aliyoifanya hivi karibuni kwenye kipindi kingine cha XXL katika kituo hicho cha radio, hitmaker huyo wa Mawazo yuko booked hadi mwezi July. “Mtu anasema yeye anani l oga mimi nashuka mwezi mzima ntakuwa na show Europe, Jumamosi nina show Hyatt pale, Jumapili nina show Mombasa wiki inayofuata ninasafiri naenda nje nina show kama kumi yaani ukinibook mimi mpaka mwezi wa saba nimejaa wewe unaniambia mimi nimeshuka vipi,” alisema Diamond. Wow, now that’s what we call suffering f

HIVI NDIYO DAKIKA 90 YA MECHI KATI YA AZAM NA YANGA! HABARI ZAIDI BOFYA HAPA............

: AZAM FC 0 - 1 YANGA (DAKIKA 90 YA MCHEZO) Dk 90+5 FULL TIME! YANGA 1-0 AZAM. Dk 90+4 Kavumbagu anaangushwa ndani ya eneo la hatari lakini mwamuzi anapeta. Kavumbagu na Mwantika wanaumia baada ya tukio hilo. Dk 87 Cannavaro wa Yanga anaonyeshwa kadi ya njano. Dk 87 Azam imefanya mabadiliko, ametoka Bolou ameingia Jabir Azizi. Yanga 1-0 Azam. Dk 86, Seif Abdallah wa Azam anaonyeshwa kadi ya njano baada ya kumchezea vibaya Niyonzima. Dk 85 Beki wa Yanga, Kelvin Yondan anaumia na kutibiwa kwa muda baada ya kuchezewa vibaya na viungo wa Azam. Dk 82 Yanga inafanya mabadiliko, ametoka Kiiza ameingia Said Bahanunzi. Yanga 1-0 Azam. Dk 80 Mustapha anaonyeshwa kadi ya njano baada ya kutibiwa. Anaonekana alikuwa anapoteza muda.Dk 77 Kipa wa Yanga, Ali Mustapha anaumia baada ya kukanyagwa na Seif Abdallah. Mpira umesimama na Mustapha anatibiwa. Yanga 1-0 Azam. Dk 72 Azam imefanya mabadiliko, ametoka Mcha ameingia Seif Abdallah. Dk 71 Tchetche anakosa bao la wazi kwa shuti

WALIOMUUA PADRI SASA MATATANI, FBI WAKABIDHIWA KUFANYA UPELELEZI... HABARI ZAIDII PITIA HAPA..

Hatua hizi zinakuja baada ya Dk Nchimbi kutoa tamko la Serikali, Jumapili iliyopita, akidai kuwa mauaji ya Padri Mushi yalikuwa ya kigaidi hivyo Serikali itachukua hatua kali kuhakikisha waliohusika wanakamatwa MAOFISA wa Shirika la Upelelezi la Marekani (FBI), wamekubali kufanya upelelezi wa mauaji ya Padri Evaristus Mushi yaliyotokea Zanzibar Februari 17, mwaka huu. Kwa mujibu wa habari za kuaminika zilizopatikana jana maofisa hao wako nchini na tayari wamekutana na baadhi ya viongozi wa Serikali kwa ajili ya kuanza kazi hiyo. Chanzo chetu cha habari kimeeleza kuwa maofisa hao walikutana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi kwa ajili ya kuangalia ni namna gani watafanya shughuli zao katika upelelezi huo. Kutua kwa maofisa hao kumekuja baada ya kauli iliyotolewa na Rais Jakaya Kikwete katika salamu zake za rambirambi baada ya mauaji ya Padri Mushi kuwa ameliagiza Jeshi la Polisi kutumia nguvu zake zote pamoja na kushirikiana na vyombo vingine vya usalama

HOFU YAZIDI KUTANDA KATIKA UCHAGUZI MKUU WA KENYA HABARI ZAIDI PITIA HAPAA

ZIKIWA zimebakia siku nane kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu Kenya Tume ya uchaguzi imejiandaa kufanya zoezi la maandalizi ya uchaguzi kwa baadhi ya vituo vilivyopo nchini humo. Zoezi hilo linatarajiwa kufanyika katika kituo kimoja cha kupigia kura katika kila kata yenye jumla ya kata 1,450 kwa nchi nzima. “Vituo vitakuwa wazi kuanzia muda wa saa 06:00 hadi 05:00 suala hilo halitaaathiri chochote kuhusiana na matokeo ya Uchaguzi Mkuu ujao alisema Mutemi. Kwa mujibu wa tume hiyo ( IEBC) alisema kuwa wameamua kufanya hivyo ili kuongeza uelewa kwa wananchi kuhusiana na umuhimu wa uchaguzi huo kwa taifa zima . Kwa upande wake meneja mawasiliano katika tume hiyo Tabitha Mutemi alisema kuwa suala hilo litasaidia katika kupunguza kuharibika kwa kura wala kukataliwa kwa kura hizo katika kipindi cha uchaguzi. Wapigakura hao wataandikishwa pamoja na karatasi na vifaa vingine vya kupigia kura vitatumika ili kumwezesha kila mmoja kupata nafasi ya kuchagua kati ya nafasi sita. Nafasi hizo

WAANDISHI WA HABARI WANUSURIKA KUTWEKWA! NI WAPI NA KWANINI PITIA HAPAA...............

HALI ya usalama mkoani Mtwara bado tete baada ya jana Jeshi la Polisi kuwahamishia mkoani Lindi waandishi wa habari 150, waliokuwa katika mkutano wa siku tatu wa Kongamano la Nane la Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), uliofanyika Mtwara. Waandishi hao walitoroshwa na polisi jana saa 11:00 alfajiri kwenda mkoani Lindi ambapo pia polisi walifanikiwa kusitisha maandamano yaliyokuwa yameandaliwa na Chama cha Wananchi (CUF), kwa lengo la kutaka kupata tathmini ya mwendelezo wa miradi ya gesi na maji. Habari zinasema wananchi hao walitaka kuwateka waandishi wa habari kwa madai kuwa waliandika habari za kuzimwa kwa uasi wao kuhusu gesi na Waziri Mkuu Mizengo Pinda jambo wanalodai siyo kweli. Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Wilman Ndile alithibitisha kutokea kwa tukio hilo. Hata hivyo, alisema kuwa taarifa hizo zilikuwa ni tetesi tu, akiongeza kwamba katika Mkoa wa Lindi kulikuwa na taarifa kwamba yangefanyika maandamano makubwa, lakini hakuna kilichotokea. “Ulikuwa ni uvumi wa watu

MBUNGE WA ARUSHA MJINI AMESHIRIKI KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA ARUSHA SECONDARY. HABARII ZAIDI PITIA HAPA....

ARUSHA SECONDARY YAITAJI MAKTABA INAYOGHARIMU SH: MILIONI 4000       Kutoka kushoto ni Mtangazaji wa Channel Ten Kipindi cha Mimi na Tanzania Bi Hoyce Temu aliwahi kuwa kushiriki mashindano ya Miss Tanzania akiteta jambo na Katibu wa CHADEMA mkoa wa Arusha Bwana Amani Gulugwa katika maadhimisho ya miaka 50 tangu shule hiyo ianzishwe mwaka 1963 ,wawili hao waliwahi kusoma elimu yao ya sekondari katika shule hiyo kongwe, shughuli hiyo iliambatana na uchangishaji wa fedha za ujenzi wa maktaba ya kisasa itakayogharimu kiasi cha shilingi milioni 4000     Wapili kutoka kushoto ni Mbunge wa Arusha Mijini Bwana Godless Lema akisalimiana na Mwalimu mkuu wa shule ya Arusha Secondary ,Joseph Malamsha mara baada ya kusoma risala yake na kumkabidhi Mgeni rasmi wa kwanza kutoka kushoto ambaye ni Sifaeli Moleli katika maadhimisho ya miaka 50 tangu shule hiyo ianzishwe mwaka 1963 ,shughuli hiyo iliambatana na uchangishaji wa fedha za ujenzi wa maktaba

NYASI LEO ZA WAKA MOTO KATI YA AZAM FC DHIDI YA YANGA! KWA HABARI ZAIDI PITIA HAPA..........

AZAM FC VS YANGA: UMONY NA KIPRE BALOU WARUDI DIMBANI - KOCHA WA YANGA ASEMA ANATEGEMEA UPINZANI MKALI YANGA inashuka leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kumenyana na Azam FC katika mchezo wa kuwania taji la Ligi Kuu Tanzania Bara. Kocha wa Azam, Stewart Hall amesema kurejea kwa majeruhi Brain Omony na Kipre Balou kumempa faraja kubwa na kutamba kushinda mchezo huo na kukalia kiti cha usukani wa ligi. "Nafikiri Omony na Balou wana mchango mkubwa kwenye timu. Uwepo wao unaongeza chachu ya timu kufanya vizuri." anasema kocha huyo. Kwa upande wake kocha wa Yanga, Ernest Brandts amesema Azam ni moja kati ya timu bora kabisa kwenye ligi hivyo anatarajia kupata upinzani mkali. "Azam ni timu nzuri. Ina wachezaji wenye vipaji na uwezo wakucheza kwa maelewano makubwa." anasema kocha huyo. "Nilikuwa shuhuda wakicheza na JKT Ruvu nakushinda mabao 4-0. Nafikiri ni timu nzuri. Mchezo utakuwa mgumu. Siwezi kutabiri lolote." Timu hizo m

PISTORIUS ADUNDA URAIANI KWA MASHARTI MAGUMU!

Kesi ya dhamana ya Pistorius kuamuliwa Jaji nchini Afrika Kusini hii leo anatarajiwa kutoa uamuzi ikiwa Pistorius, anayetuhumiwa kwa mauaji ya mchumba wake, anaweza kuachiliwa kwa dhamana . Wahisani wamuaga Oscar Pistorius Pistorius alimuua mpenzi wake kimakosa Afisaa katika kesi ya Pistorius ni mshukiwa

SHULE TANO ZA FUNGIWA! JE UNATAKA KUFAAMU NI ZIPI NA NI WAPI?? PITIA HAPA UFAAMU......

SHULE 5 ZA FUNGIWA MKOANI MWANZA! Wanafunzi wakiwa Darasani Shule ya Sekondari ya Mount Zion ina jumla ya vyumba 7 vya madarasa ambavyo ilisajiliwa navyo kuhudumia wanafunzi 160 lakini sasa hivi wanafunzi wameongezeka na kufikia 515 ambapo madarasa mengine yana wanafunzi mpaka 119 na wengine wanakalia ndoo badala ya viti. Bwenini Ni ndani ya moja ya vyumba vya wasichana ambacho ndani yake kuna matandiko haya na masanduku 13 ikimaanisha ndiyo idadi ya wasichana wanaolala hapa. Mkuu wa Wilaya ya Ilemela akizungumza huku machozi yakimlenga kutokana na alichokiona shuleni hapo, aliagiza hatua za kisheria zichukuliwe dhidi ya Mkurugenzi wa shule hiyo ya Mount Zion Ilemela. <a href="http://www.bidvertiser.com">make money online</a> ta

WALISEMA HAOI SASA AMEOA! PITIA HAPA UONE PICHA ZA MSANII WA HIPHOP JCB AKIFUNGA NDOA NA MCHUMBA WAKE JORGENSEN

JCB afunga ndoa na girlfriend wake wa kitambo, Diana Jorgensen ambae kwa sasa wanamtoto mmoja pamoja, huko jijini Arusha Jcb akipitia makaratasi huku mke wake akicheza na pete na maua na mwanae

ANGALIA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2012 HAPA .....

ANGALIA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2012 HAPA ..... MATOKEO YA KIDATO CHA NNE HAYA HAPA !!!!!  NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA  CSEE 2012 EXAMINATION RESULTS ENQURIES LINK-01: MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE 2012  LINK-01: MATOKEO YA MTIHANI WA MAARIFA (QT) 2012  LINK-02: MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE 2012  LINK-03: MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE 2012  Bonyeza - >   HAPA  < - kuhamia ukurasa wenye matokeo...!! 

DR.DRAKE KUZUIWA NA MABAUNSA KUINGIA CLUB

      SABABU ZA DRAKE KUZUIWA NA MABAUNSA KUINGIA CLUB, SOMA HAPA                                                                                                                                                                                                                                                                                                                  . Mtandao wa TMZ umeripoti kwamba rapper Drake alizuiwa kuingia kwenye club moja ya usiku huko Hollywood Marekani weekend iliyopita. Sababu hasa ni kwamba hasimu wake, staa mwenzake ambae mwaka jana walirushiana chupa kwenye club moja ya usiku, mwimbaji Chris Brown tayari alikua ameshaingia ndani kwenye club hiyo hivyo mabaunsa walifanya kile walichoelekezwa cha kutoruhusu hizo sura mbili kuingia kwenye club hiyo kwa wakati mmoja. Rihanna, Drake na Chris Brown, hii picha ilipigwa kabla hawajagombana. Club nyingi sasa hivi zinahofia kuwaruhusu wawili hao kuwepo sehemu moja ili