Skip to main content

Posts

Showing posts from June 23, 2013

HIZI HAPA VIDEO YA WEMA SEPETU AKIWAPOROMOSHEA MATUSI MAZITO WAFANYAKAZI WAKE WA NDANI

STAA wa filamu za Kibongo asiyekaukiwa vimbwanga, Wema Isaac Sepetu amezua bonge la timbwili kwa wafanyakazi wake wa ndani wa kiume na kike akiwemo mlinzi.   Tukio hilo lililonaswa na vifaa vyetu vya kisasa vya kunasia matukio ya mnato na video, lilijiri juzikati nyumbani kwa.......

HIZI HAPA PICHA BINTI ALIYEJIFUNGULIA BARABARANI MKOANI MOROGORO

BINTI mmoja aitwaye Josephine Michael mkazi wa Kijiji cha Kiegea nje kidogo ya Manispaa ya Morogoro, Jumatano iliyopita alijifungua barabarani wakati akikimbizwa hospitalini kwa kutumia usafiri wa

MAMBO YANAYOVUNJA MAHUSIANO YA KIMAPENZI AU NDOA.

1. Kutokuwa na mawasiliano ya karibu na mwenzi wako. 2. Kutojali maumivu ya mwenzi wako. 3. Ubishi usiokuwa na maana. 4. Kupenda kujihesabia haki. 5. Kutokubali makosa. 6. Kutokuwa na roho ya msamaha. 7. Kutokuwa muwazi kwa mwenzi wako. 8. Usaliti wa mapenzi.

MWANA FA FT AY&J MARTINS-BILA KUKUNJA GOTI

NGONO KINYUME NA MAUMBILE ZAONGEZEKA TANZANIA ....WENGI WAO WANAFANYA KUONDOA MIKOSI

Taasisi ya Kupambana na Ukimwi Nchini (Tacaids) imesema tafiti mbalimbali zinaonyesha kuwa vitendo vya ngono kinyume na maumbile vinazidi

DIAMOND PLATNUMS KUPERFORM JUKWAA MOJA NA WAKALI WA NIGERIA NCHINI KENYA MWEZI UJAO

Ni ukweli ulio wazi kuwa star wa ‘Kesho’ Diamond Platnumz ‘anaweza’ kuwa msanii wa Tanzania anayefanya show nyingi zaidi kwa