Skip to main content

Posts

Showing posts from January 3, 2016

hivi ndivyo Mbwana Samatta alivyonyakua tuzo za Mabingwa Afrika

soma Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Alhamisi Ya Januari 7

"Mimi ndiye Rais Halali wa Zanzibar na Nisiposema Mimi Nitawatuma Wasaidizi wangu Kuwaeleza" - Dk Shein

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema yeye bado ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Ma

Jumuiya Za Kiislamu Zanzibar Zapinga Uchaguzi Kurudiwa......Zamlilia Rais Magufuli Aokoe Jahazi

TAMKO LA JUMUIYA YA MAIMAMU ZANZIBAR (JUMAZA) KWA KUSHIRIKIANA NA

Tazama show ya WEUSI Arusha usiku wa mwaka mpya !

Ni kitambo hatujamuona Lord Eyez kwenye stage na WEUSI wenzake, sasa hii imetokea nyumbani kwao Arusha usiku wa kuamkia mwaka mpya 2016 baada ya

Walichokiamua Wasanii kuhusu malipo ya nyimbo zao kwenye Tv na Redio..! (+Video)

Wizara ya habari, Vijana, Utamaduni na Michezo ilitangaza kuwa wasanii wa Tanzania kuanza kulipwa pindi nyimbo zao zina

Tazama video ya MwanaFA - Asanteni kwa Kuja (Official Video)

soma Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Jumatatu Ya Jaunuari 4

Waziri Mbarawa Atoa Siku Tatu Ukarabati Reli Ya Kati Iliyosombwa na Mafuriko

Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa amewataka watendaji wa Shirika la Reli nchini (TRL) na Kampuni Hodhi ya Mali za Reli (RAHCO) kuhakikisha sehemu ya

CCM Wamvaa LOWASSA......Wamtaka Ajitokeze Hadharani Ataje Majina Ya Wafanyabiashara Waliomfadhili Ambao Wananyanyaswa

CCM imesema kauli ya Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa kuwa wafadhili wa Chadema wananyanyaswa, ina lengo la kuichonganisha Serikali na

Ikulu Yamjibu Dk Makongoro Mahanga Aliyemtuhumu Rais Magufuli Kuunda Serikali Kubwa Tofauti Na Alivyoahidi

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue amesema ameshangazwa na kauli ya aliyekuwa Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk Makongo  Mahanga kuwa wingi wa makatibu wakuu unakinzana na dhana ya

Shule sita Nchini Kufundisha Kichina

WIZARA ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi imeteua shule sita za sekondari nchini kuingia katika mpango maalumu wa

Noti Bandia Zawaliza Wafanyabiashara Msimu wa Christmas

Misimu wa sikuu za Christmas na Mwaka Mpya ilikuwa na neema kwa wafanyabiashara wengi nchini lakini iliacha vilio vya utapeli kwa baadhi wa wafanyabiashara hususan maeneo ya

CCM Kuwashitaki Wakuu wa Shule 15 Kwa Ubadhirifu wa Fedha

JUMUIYA ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) inakusudia kuwafikisha wakuu wa shule zake 15 kwenye

Basi la Luwinzo Lagongana na Lori Asubuhi Hii.......Wawili wafariki Dunia Huku wengine Wakijeruhiwa

Basi la abiria la kampuni ya Luwinzo linalofanya safari za Dar es salaam - Njombe limegongana na lori asubuhi hii likitokea

Waziri Mkuu Afurahishwa na Hali ya Chakula Mkoani Ruvuma

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI WAZIRI MKUU AFURAHISHWA NA HALI YA CHAKULA MKOANI RUVUMA WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amefurahishwa na hali ya chakula mkoani Ruvuma, ikiwa kati ya mikoa inayotegemewa kwa