Skip to main content

Posts

Showing posts from June 30, 2013

MACHANGUDOA WAULAANI UJIO WA OBAMA....WANADAI HAUKUWA NA PESA IKILINGANISHWA NA ULE WA BUSH

Katika hali ilisiyokuwa ya kawaida,  machangudoa wameulalamikia ujio wa Rais Barack Obama kwa kile kinachodaiwa  kuwa ...........

TAMASHA LA MATUMAINI 2013: MASHABIKI MIKOANI WAMIMINIKA DAR!

WAKAZI wa mikoa ya jirani tayari wameanza kumiminika jijini Dar kwa ajili ya kushuhudia Tamasha la Matumaini litakalofanyika Julai 7, mwaka huu katika Uwanja wa Taifa. Gumzo zaidi linalozungumzwa na mashabiki hao ambao wengi wao wamesema wanatokea Mikoa ya Morogoro, Tanga, Iringa na Dodoma ni kuwaona wabunge wa Simba na wale wa Yanga watakaposhuka dimbani kucheza soka huku baadhi yao wakishiriki katika mapambano ya..........

"GEREZANI KUMENIFANYA NIMJUE MUNGU VIZURI SANA"....HII NI INTERVIEW YA LULU MICHAEL

Kwa mara ya kwanza muigizaji wa filamu, Elizabeth Michael aka Lulu jana alifanya interview ya kwanza tangu atoke gerezani January mwaka huu.  Lulu aliye na.........

AJALI ZAENDELEA KUTUMALIZA WATANZANIA.....TUNAOMBA RADHI KWA PICHA

 Ajali hii ilitokea jana jioni  tarehe 02/07/2013, baada ya gari dogo lililokuwa linatokea maeneo ya Ubungo kwenda uelekeo wa Buguruni kumgonga mwenda kwa miguu aliyekuwa...............

JESHI LA MISRI LAMUONDOA MADARAKANI RAISI MOHAMMED MORSI

    jeshi nchini Misri limemuondoa madarakani Rais aliyechaguliwa kwa njia ya kidemokrasia nchini humo Mohamed Morsi na imemteuwa kiongozi wa muda wa nchi baada ya maandamano makubwa yanayoipinga serikali. Akihutubia kwa njia ya televisheni jumatano jioni, mkuu wa jeshi, Abdul Fatah Khalil Al-Sisi alisema katiba ya Misri imesitishwa kwa muda na mkuu wa mahakama ya katiba ameteuliwa kuwa kiongozi wa muda nchini humo.  Sisi alitangaza kwamba jeshi linaangalia watu wa Misri kufuatana na maandamano makubwa ya upinzani yakidai kuwa Rais Mohamed Morsi ajiuzulu. Kufuatia hotuba ya kwenye televisheni Bwana Morsi alitoa taarifa kupitia akaunti yake ya Twitter, akiita hatua ya jeshi ni “mapinduzi kamili” . Aliwasihi wa-misri wote kukataa hatua ya............

KAMA HAUKUPATA NAFASI YA KUONA OBAMA ALIVYOONYESHA KIPAJI CHAKE KUCHEZA PICHA HIZI HAPA

  Rais wa Marekani Barack Obama akipiga danadana za

FEZA KESSY AENDEKEZA TABIA YA KUPIGWA DENDA NDANI YA JUMBA LA BIG BROTHER

Mshiriki  wa  Botswana, Oneal   ameendeleea  kuyafaidi  mate  ya