Skip to main content

Posts

Showing posts from August 25, 2013

Mauaji ya kutisha mkoani Simiyu

                                            Wakazi wa Simiyu wakiwa katika moja ya mikutano yao Simiyu. Siyo kundi la Sungusungu, Polisi Jamii au askari wa makundi ya kiharakati au kisiasa unaoweza kufahamu. Hakuna ofisi wala vikao wanavyokaa kusikiliza mashtaka kabla ya uamuzi, mbaya zaidi hakuna anayejitambulisha kama mfuasi wa baraza hilo, lakini linatoa hukumu na kutekeleza mauaji ya kutisha. Taarifa zinaonyesha kuwa kwa mwaka jana pekee, wastani wa watu watatu walikuwa wakiuawa kila wiki na kikundi hicho cha watu kinachofahamika kama Baraza la Kimila katika Mkoa wa Simiyu, wakiwamo wanawake na watoto. Wanachama wa kikundi hicho maarufu..

DIAMOND NA LINAH WANASWA WAKITOMASANA HADHARANI

Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ amenaswa na msanii mwenzake, Esterlina Sanga ‘Linah’ wakiwa kwenye mapozi ya kimahaba ambayo yametafsiriwa vibaya.   Katika tukio hilo lililojiri juzikati kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora ndani ya Tamasha la Serengeti Fiesta, Diamond alishuhudiwa akiwa amempakata Linah ndani ya basi huku mikono ya jamaa huyo ikishika maeneo nyeti.   Mara baada ya kutimba uwanjani hapo wakitokea hotelini tayari kwa kufanya shoo, Diamond na Linah walibaki kwenye

HIZI HAPA PICHA ZA UZINDUZI WA "FOOLISH AGE" YA LULU MICHAEL

AUNT EZEKIEL APIGWA CHUPA USIKU AKIWA CLUB

MWIGIZAJI wa  sinema za kibongo, Aunt Ezekiel Grayson ‘Gwantwa’ amenusurika kupasuliwa paji la uso kwa chupa baada ya kupigwa mkononi...   Usiku wa kuamkia Jumatatu, nje ya Ukumbi wa Billicanas, mwanamke aliyejulikana kwa jina moja la Yvonne alimpiga Aunt kwa chupa tupu ya bia na kumpasua mkono wa kushoto. Watu walioshuhudia tukio hilo wamedai  kuwa,...,..

HIZI HAPA PICHA 3 ZA RAY C AKIWA GYM AKIRUTUBISHA KIUNO CHAKE

Zaidi ya sauti yake na uwezo mkubwa wa kuimba nyimbo zinazoshikika kiurahisi, umaarufu wake mwingine mkubwa toka enzi hizo ni kiuno bila mfupa kwa jinsi alivyokua akicheza nacho.Huu  ni uwezo uliofanya mpaka maneno ya kiuno bila mfupa yakapata umaarufu kupitia yeye.   Siku kadhaa  baada ya kutangaza kurudi kwenye muziki kama zamani, Ray C akiwa ametoka kwenye matibabu ya.....

MADIWANI WALIOTIMULIWA BUKOBA WARUDSHWA

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa imejadili na kutolea maamuzi pamoja na mambo mengine suala la Madiwani wanane waliotangazwa kufukuzwa uanachama na Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Kagera. Katika maamuzi yake, Kamati Kuu imebatilisha uamuzi uliofanywa na Halmashauri Kuu CCM ya Mkoa wa Kagera Agosti 13, 2013 wa kuwafukuza uanachama Madiwani hao. Hivyo Madiwani hao wanane ni wanachama halali wa CCM. Kamati Kuu imetoa uamuzi huo, baada ya........

MTOTO WA MIAKA 8 AOLEWA NA MWANAUME WA MIAKA 38...POLISI WAINGILIA KATI.

Mwanaume aliyetajwa kwa jina moja la Samson (38), mkazi wa Kijiji cha Mindukeni, Tarafa ya Tarawanda katika Wilaya ya Bagamoyo, Pwani amefanya maajabu ya milenia baada ya kudaiwa kuoa mtoto mwenye umri wa miaka nane . Habari za kiuchunguzi zilisema kuwa mwanaume huyo ambaye tayari alishaoa mke wa kwanza, alidaiwa kumtorosha mtoto huyo nyumbani kwao, Iringa. Ilidaiwa kuwa Samson alifanya tukio hilo kwa............

WEMA SEPETU ADAIWA KUJIHUSISHA NA BIASHARA YA MADAWA YA KULEVYA

Skendo ya mastaa mbalimbali Bongo kutajwa katika biashara na usafirishaji wa madawa ya kulevya ‘unga’ linazidi kuchukua sura mpya ambapo tayari majina ya wasanii wawili wakubwa, Wema Isaac Sepetu na Nasibu Abdul ‘Diamond Platinumz’ yametajwa huku kinachowaponza kikijulikana. Habari zinadai kuwa mastaa hao wameanza kujutia tambo zao za kutangaza utajiri walionao hivyo kuibua maswali kuwa ..........