Skip to main content

Posts

Showing posts from December 27, 2015

soma Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Jumapili Ya Januari 3

Balozi Seif Ali Iddi atoa Taarifa Rasmi ya Maadhimisho ya Sherehe za Mikaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema kwamba Maadhimisho ya Sherehe za kutimia Miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964 yatafanyika kama kawaida na kupangwa kuanza rasmi

TRL Yasitisha Kwa Muda Safari Za Treni Ya Bara Kutokana Na Mafuriko Kati Ya Morogoro Na Dodoma

KAMPUNI YA RELI TANZANIA (TRL) TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI (PRESS RELEASE) Uongozi wa Kampuni ya Reli Tanzania TRL umetangaza kusitisha kwa muda kuanzia  Januari 01, 2016, huduma zake baada ya eneo la reli ya kati ya Kilosa mkoani Morogoro na Gulwe mkoani Dodoma tuta la

Bajeti ya Uchaguzi Wa Marudio Zanzibar Yatengwa.......Kinachosubiriwa ni ZEC Kutangaza Tarehe Ya Uchaguzi

Makamo wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amesema bajeti ya uchaguzi wa marudio imeshatengwa na wanachosubiri ni

Dkt. Kigwangala Amtembelea na Kumjulia hali Mwadhama Kardinali Pengo.

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Dkt. Hamis Kigwangala jana alimtembelea na kumjulia hali Askofu Mkuu wa............

Waziri Mkuu Majaliwa Kutikisa Mkoa wa Ruvuma Kwa Siku 3 Kuanzia Leo

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa leo ataanza ziara ya siku tatu mkoani Ruvuma, kuhimiza na kukagua shughuli mbalimbali za......

Tazama jinsi Basi lenye abiria 42 lilivyotumbukia mtoni

WATU sita wamekufa papo hapo na wengine 25 kujeruhiwa na kulazwa hospitalini kutokana na ajali mbili tofauti.  Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Leonard Paulo, alisema mjini hapa jana kuwa ajali ya..........

Ikulu Yaagiza Mtumishi Atakayefanya Kosa Aadhibiwe Hapohapo Alipo Badala Ya Kuhamishiwa Sehemu Nyingine ya Kazi

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue.   MAKATIBU Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu walioteuliwa na kuapishwa juzi wamekutana katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya...........

BONGE LA VIDEO, Tazama video mpya ya ME PRODUCTION waliofanya na Odeo ft Vocaliser - Ngakukunda

soma Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Ijumaa Ya Tarehe 1 Januari 2016

Taarifa Muhimu Kutoka Baraza La Mitihani Kuhusu Viwango Vya Ufaulu (Grade Ranges)

Baraza la Mitihani la Tanzania limekuwa likipigiwa simu na watu mbalimbali wakiomba ufafanuzi kuhusu taarifa zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kuwa

Profesa Ndalichako Atoa Siku 30 Kwa Katibu Mtendaji NACTE Kuvichunguza Vyuo Vyote Nchini Kujua Ubora Wake

Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako ametoa siku 30 kwa ............

Sheria Ya Kuzuia Kelele Yaanza Kutumika....Kufanya Sherehe Mtaani, Kupiga Mziki, Kufanya Ibada Kwa Kelele ni Milioni 10

BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), limeanza kung’ata kwa kutumia kanuni ili kudhibiti uchafuzi wa..........

Sasa ni Profesa Joyce Ndalichako na siyo "Dokta" tena

WIZARA ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi, imefafanua kuwa sifa ya kitaaluma ya waziri wa wizara hiyo ni..........

Rais mstaafu Kikwete, Waziri Lwenge wakagua mitambo ya maji Wami, Chalinze

Rais mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete (katikati), akizungumza na.......

Waziri Wa Afya, Mhe. Ummy Mwalimu Atembelea MSD...... Aahidi Kuwa Balozi Wao Na Kuwatatulia Changamoto Zinazowakabili Ikiwepo Deni Wanaloidai Serikali

Waziri wa Afya , Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu jana alitembelea Makao Makuu ya Bohari ya Dawa (MSD) na kuahidi kuwa balozi wa kuhakikisha deni la serikali linalipwa ili.........

NAPE: 60% ya Muziki utakaochezwa katika vyombo vya habari lazima uwe wa nyumbani

Wakati baadhi ya wasanii na wadau mbalimbali wa burudani nchini wakiendelea kuwa na hofu juu ya mfumo mpya unaovitaka vituo vya redio na runinga kuwalipa wasanii mirahaba inayotokana na kucheza kazi zao, serikali imesema............

71 Watiwa Mbaroni Kwa Tuhuma za Uhalifu

JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, limesema limewakamata watu 71, silaha nne na dawa za kulevya katika oparesheni ya..........

Serikali Kupeleka Sh. 18.77 Bilioni kila Mwezi shule za Sekondari na Msingi, kugharamia Elimu

SERIKALI imepanga kupeleka Sh. 18.77 bilioni kila mwezi katika shule za sekondari na msingi kwa ajili ya kugharamia elimu ili kutekeleza dhana ya..........

Kesi ya wafanyakazi wa TRA kusikilizwa Januari 13 Mwakani

UPELELEZI wa kesi ya uhujumu uchumi ulioisababishia serikali hasara ya Sh bilioni 12.7 inayomkabili aliyekuwa Kamishna wa....................

Watu 8 Wafikishwa Mahakamani kwa Tuhuma za Kuua Ng'ombe 151

WATU wanne wamefikishwa mahakamani kwa mashtaka ya kuua ng’ombe 151 wenye thamni ya Sh milioni 60.4, mali ya............

soma Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Alhamisi Ya Tarehe 31 Disemba

Taasisi za Dini Zatajwa Kuhusika na Utoroshaji wa Makontena Bandarini

Mashirika ya dini ni miongoni mwa taasisi zilizotakiwa kuwasilisha nyaraka kwa ajili ya kuhakiki kama yalilipa ushuru wa........................

Kubenea Akana Kumtukana Dc Makonda

Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea (44) amekana kumtukana Mkuu wa wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda tarehe 14 Desemba 2015 walipokutana katika Kiwanda cha Tooku Garments Co. Ltd. kilichopo eneo la External Mabibo kwa madhumuni ya..................

Lipumba Amtwika Zigo Dr Shein Mgogoro Zanzibar....Asema Mgogoro Utakwisha Iwapo Dr Shein Atakubali ZEC Iendelee Kutangaza Matokeo

Mwenyekiti wa zamani wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amesema Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein ndiye mtu pekee mwenye uwezo wa..............

Waziri wa Nishati na Madini Profesa Muhongo Aagiza Wala Rushwa Wakamatwe

WAZIRI wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo ameuagiza uongozi wa mkoa wa Kagera,Taasisi ya Kuzuia na Kupamba na Rushwa (Takukuru) na ...............

Sadaka ya Mkesha wa Mwaka Mpya kuweka umeme Tabora

Kanisa la ‘Tanzania Fellowship of Churches’ ambao ndio waandaaji wa mkesha mkubwa kitaifa wa mwaka mpya wa 2016 limeeleza kuwa fedha zitakazotokana na sadaka za................

Wizara Ya Kilimo, Mifugo Na Uvuvi Wakemea Tabia Ya Wananchi Kuadhibu Wanyama.

Wizara  ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, imekemea tabia ya kuadhibu wanyama kwenye maeneo ya migogoro baina ya............

Watumishi wa Afya Wanaomiliki hospitali, kliniki, maduka ya dawa kuchunguzwa

SERIKALI imetangaza kuwachunguza waganga na wauguzi, wanaomiliki hospitali, kliniki na maduka ya dawa baridi ili................

Kampuni Za Simu Zatozwa Faini Kwa Kuwapa AJIRA Raia Wa Kigeni Kinyume Cha Taratibu

Naibu Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu, anayeshughulikia Kazi, Ajira na Vijana, Anthony Mavunde amebaini kuwepo kwa wafanyakazi wa kigeni, walioletwa na kampuni za simu za mkononi kufanya kazi zinazoweza kufanywa na..................

Waziri Mkuu Atembelea Kambi za Wakimbizi Kigoma.....Awaonya Kutobeba Silaha Wanapoingia Nchini, Ataka walionazo wazisalimishe

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewaasa raia wanaokimbia nchi zao na kupata hifadhi Tanzania kutobeba silaha wanapoingia nchini kuja kuishi kwenye kambi za ...............

Lukuvu Aagiza Watumishi wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kufanya kazi hadi Usiku, Abaini Urasimu Mkubwa Wizarani

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amewaagiza watumishi wa wizara hiyo katika kitengo cha huduma kwa wateja, kufanya kazi hadi usiku ili kuhakikisha wanawahudumia kwa..............................

Polisi Ahukumiwa Kifungo cha Maisha Jela Kwa Kubaka na Kumlawiti Mtoto

MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam, imemhukumu askari polisi wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, G 9762 PC Daniel (24) kutumikia kifungo cha maisha jela, baada ya kupatikana na

Soma Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Jumatano Ya Tarehe 30 Disemba

Tazama Magari 11 ya mastaa wa Bongo Fleva/Bongo Movie 2015

Najua nina watu wangu mnaopenda kufahamu magari wanayomiliki mastaa mbalimbali wakiwemo Bongo Movie na................

Hivi ndivyo Lazaro Nyalandu alivyokabidhi rasmi ofisi kwa Waziri mpya wa Maliasili na Utalii

Dec 23 2015 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alimalizia kujaza nafasi za uteuzi wa Mawaziri na Naibu Waziri alizobakiza wakati akitangaza baraza la Mawaziri la..........

Msikilize live Mbwana Samatta juu ya safari yake ya soka kutokea African Lyon, Simba, TP Mazembe hadi KRC Genk ya Ubelgiji

Mshambuliaji wa kimataifa wa  Tanzania  ambaye anakipiga katika klabu ya  TP Mazembe ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo  Mbwana Ally Samatta , yupo kwenye headlines kwa sasa baada ya dili lake la kwenda..............

Diamond Platnumz - Utanipenda Behind The Scene

Tazama vipande vya sehemu ya video ya utanipenda wakati inatengenezwaa Diamond Platnumz-Utanipenda Behind The Scene

Baada ya kuuwawa kwa risasi kwa staa wa soka wa Honduras, staa mwingine tena kauwawa kwa risasi

Ikiwa ni zaidi ya wiki moja toka mchezaji wa timu ya taifa ya  Honduras   Arnold Peralta itangazwa kauwawa kwa risasi,...................

Profesa Muhongo Azidi Kuibana TANESCO

Shirika la Umeme Nchini (TANESCO) limeagizwa kuhakikisha hadi kufikia tarehe 3 Januari 2016 liwe...................

Serikali Yasema Tamko Lake La Tiba Mbadala na Asilia Liko Palepale

Serikali imesema kwamba tamko lake lilitolewa hivi karibuni kuhusu matangazo ya Tiba Asili na Tiba Mbadala liko palepale kwa kuwa lengo lake ni................

soma Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Jumanne Ya Disemba 29

Tazama Video ya Alikiba kwenye stage alivyouaga mwaka akisindikizwa na wakina Wema, Jokate

Matukio mengi ya burudani yamezidi kupata  headlines  mbalimbali hususani katika kipindi hiki cha ..............

List ya washindi wa tuzo za Globe Soccer Awards 2015, Lionel Messi kashinda, hii ndio list kamili

Ikiwa ni siku kadhaa zimepita toka gazeti la  Hispania  la  Marca  litangaze list ya wachezaji kumi bora kwa mwaka 2015 ikiongozwa na.................

Hivi ndivyo Mawaziri sita wa Rais Magufuli walivyokula viapo Ikulu Dec 28…..(+Audio & Pichaz)

Dec 28 2015  Baraza la  Mawaziri  la Serikali ya awamu ya tano limekamilika baada ya..............

SIKILIZA NA DOWNLOAD NGOMA HII KALI MWENYEWE UTAFURAHIA! (jina la wimbo ni habari kiroho safi, msanii ni Jaffary wa pili ft GM.M)

Baada ya Askofu Gwajima Kumkana Lowassa, Dkt. Slaa Amtaka Awaombe Radhi Maaskofu pamoja na Watanzania Kwa Kusema Uongo

Baada ya Askofu Gwajima kusema kuwa hakuwa akimuunga mkono Lowassa, Dkt. Slaa amemtaka.................

Kiama cha Wafanyakazi Waliosafiri Nje Ya Nchi chaja

Adhabu inawanyemelea watumishi wa serikali waliokaidi agizo la kutosafiri nje ya nchi bila kibali cha Rais John Magufuli na .................

soma Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Jumatatu Ya Disemba 28

CCM Yajipanga Kurudia Uchaguzi Zanzibar.......Yawataka Wanachama Wake Kujitokeza Kwa Wingi

KAMATI Maalumu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein imewataka wananchi na wanachama kujiweka tayari na hatimaye.................