Skip to main content

List ya washindi wa tuzo za Globe Soccer Awards 2015, Lionel Messi kashinda, hii ndio list kamili

Ikiwa ni siku kadhaa zimepita toka gazeti la Hispania la Marca litangaze list ya wachezaji kumi bora kwa mwaka 2015 ikiongozwa na.................
 Lionel Messi ikifuatiwana Neymar naCristiano Ronaldo kutajwa kuwa nafasi ya nane. December 27 Lionel Messi ametajwa kushinda tuzo ya mchezaji bora wa mwaka 2015 (Globe Soccer Awards) inayotolewa kila mwaka.
winners_home-1
List ya washindi wa tuzo za Gloge Soccer Awards 2015
Globe Soccer Awards 2015 zilizotolewa Dubai ni tuzo maalum kwa ajili ya wanasoka, viongozi bora wa klabu, wakala bora, kocha bora. Hizi ni tuzo ambazo zinatolewa kwa uandaaji au ushirikiano wa chama cha mawakala wa wachezaji soka barani Ulaya EFAA (European Association of Player’s Agents) na umoja wa vilabu vya soka barani Ulaya ECA (European Club Association). Hii ndio list ya washindi wa tuzo hizo kwa mwaka 2015.
  • Lionel Messi (Mchezaji bora wa mwaka)
  • FC Barcelona (Klabu bora kwa mwaka)
  • Jorges Mendes (Wakala bora wa mwaka)
  • Marc Wilmots (Kocha bora wa mwaka)
  • S.L BENFICA (Acadeny bora ya mwaka)
  • Ravshan Irmatov (Refa bora wa mwaka)
  • Josep Maria Bartomeu (Rais bora wa klabu)
  • Andrea Pirlo (Life time Archivement)
  • Frank Lampard (Life time Archivement)
Hii ni video ya Lionel Messi akitangazwa mshindi

Comments

Popular posts from this blog

VIDEO YA NGONO YA WANAOSADIKIKA KUWA NI WANAFUNZI WA IFM YAVUJA

Watu wawili wanaosadikika ni wanachuo wa IFM wajirecord video wakifanya ngono ndani ya........... chumba ambacho kinaonesha kama ni cha hosteli, fungua na uone upuuzi uliofanyika humu ndani…. KUANGALIA VIDEO HII LAZIMA UWE NA UMRI WA ZAIDI YA MIAKA 18+ KUANGALI BOFYA HAPA

Huyu Mzee Ndio Aliyetia Aibu Kwenye Bar Hii yenye Makahaba wanaocheza Nusu Uchi

 vijimambo kwenye bar zetu  

HUYU HAPA NDIYE MCHUNGAJI ADAI KUWAUA KANUMBA NA SHARO MILIONEA, AELEZEA JINSI ALIVYOFANYA....WAUMINI WAPIGWA NA BUTWAA..

Mwanaume aliyetambulishwa kwa jina la Mchungaji Mayanga amewashangaza waumini baada ya kudai kanisani kuwa yeye ndiye aliyewaua mastaa wawili Bongo, Hussein Ramadhan Mkiety ‘Sharo Milionea’ na Steven Kanumba ‘ The Great’ . Mchungaji Mayanga (mwenye kipaza sauti) akitoa ushuhuda. Tukio hilo lilitokea Jumapili iliyopita ya Oktoba 13, mwaka huu, huko Mzambarauni, Mbagala-Charambe jijini Dar katika Kanisa la Powerful Gospel Ministry lilipo chini ya Mchungaji Meshak Punkanya ambapo Mayanga alipewa nafasi ya kutoa ushuhuda. VIFO MILIONI 605  Mchungaji huyo alielezea kujuta kwake mbele ya kanisa kwa kudai kuwa kabla ya kuokoka alikuwa mchawi mkubwa aliyeishi kuzimu na kufanya kazi za mauaji sambamba na shetani mkuu (Lusifa) kwa kuwatumia vibaraka wake na majini. Mchungaji Mayanga alikiri kutekeleza vifo vya watu wapatao milioni 605 wakiwemo waigizaji hao. WAMO FIVE STARS, MTOTO WA DANDU Alisema kuwa kati ya watu aliowaua kwa njia za kishirikina wamo waimbaji wa Taarab wa Kun...