Skip to main content

Posts

Showing posts from August 4, 2013

PAPII KOCHA AANGUA KILIO BAADA YA KUWAONA WEMA SEPETU NA KAJALA KATIKA GEREZA LA UKONGA

. Johnson Nguza ‘Papii Kocha’. n                                       Kajala Masanja na Wema Isaac Sepetu . MASTAA wawili wanaotamba katika filamu za Kibongo, Kajala Masanja na Wema Isaac Sepetu hivi karibuni walifunga safari hadi Gereza la Ukonga jijini Dar kwa ajili ya kumuona Johnson Nguza ‘Papii Kocha’ anayetum ikia kifungo cha maisha gerezani humo. Kwa mujibu wa chanzo chetu, mara baada ya mastaa hao kufika na kuonana na Papii Kocha ambaye anatumikia kifungo cha maisha sambamba na baba yake Nguza Viking ‘Babu Seya’ inadaiwa kuwa,,,,

MTAZAME MHADHIRI WA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM(UD)ALIYEFARIKI KWA KUPIGWA RISASI

Mhadhiri wa College of Engeneering katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, UDSM, Patrick Rweyongeza, ameuawa jana kwa .....

Haya ndio Maeneo maalum ya Kumshika Mwanaume...

 SWALI; Mimi ni binti mwenye umri wa miaka 28 na ni bikira tatizo  nimepata mchumba tumepima ukimwi na tuko kwenye process za ndoa. Tatizo mimi ni mwembamba yeye ni mnene na mboo yake ni kubwa na ndefu akitaka kuanza kuniingilia kwa ajili ya.........

HIZI HAPA DALILI 18 ZA MWANAMKE ANAETOKA NJE YA NDOA

Wataalamu wa maswala ya mahusiano wanaamini kwamba, mwanamke anapotoka nje ya ndoa yake, inakuwa rahisi sana kubainika au kufumaniwa kuliko ilivyo kwa mwanaume. Hii inatokana na ukweli kwamba, hisia zinakuwa na nafasi kubwa sana kwa mwanamke, kwani mwanamke huishi kwa.........

HIZI NDO SABABU KUU ZA WANAWAKE WENGI KUVAA NUSU UCHI

Wakati mwingne wanaume au watu tofauti hudhani kwamba, wanawake wanaovaa nusu uchi huwa wanafanya hivyo kwa sababu ya .........

HIZI NDIZO MBINU ZA KUMFIKISHA KILELENI MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KWA HARAKA

Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa...........

RAIS KIKWETE AWAPA WANYARWANDA SIKU 14 ZA KUONDOKA TANZANIA.....MAMIA WAANZA KUREJEA RWANDA

Mamia ya wahamiaji haramu kutoka nchini Rwanda wakiwa na ng’ombe zaidi 900 wameanza kuondoka nchini kurejea kwao kutokana na agizo la Rais Jakaya Kikwete kuwataka waondoke Tanzania kabla ya siku 14. Aidha, imeelezwa kuwa kumekuwapo ongezeko la askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) mkoani Kagera hasa wilayani Ngara hali inayozua hofu kwa baadhi ya wananchi, huku ikiongeza msukumo kwa wahamiaji haramu kuondoka. Akiwa katika ziara mkoani Kagera, Rais Kikwete alitoa agizo la..........

DR. SLAA AWAUNGA MKONO WAASI WA KONGO ....AMSHANGAA KIKWETE KWA KUMWINGILIA KAGAME

Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilbroad Slaa, amemkosoa Rais Jakaya Kikwete, kuhusu kauli  yake ya  kumshauri Rais wa Rwanda, Paul Kagame, kuzungumza na waasi wa serikali yake ... Dk. Slaa amesema haoni busara kwa Rais Kikwete kuwaambia viongozi wa Rwanda, akiwamo Rais Kagame, kuzungumza na wafuasi wa chama cha FDRL walioko Congo. Slaa  aliyasema hayo wakati akizungumza katika kongamano la vijana wa Chadema (BAVICHA) la uchumi na ajira lililofanyika........

ANGALI PICHA YA MAKAHABA AMBAO WANAENDELEA KUKICHAFUA CHUO KIKUU CHA DODOMA

Ongezeko  la  makahaba  mjini  Dodoma  limeendelea  kuwa  kero  kwa  chuo  kikuu  cha Dodoma  na  wanafunzi  wake  kwa  ujumla.... Kero  hiyo  imekuwa  ikisababishwa  na  baadhi  ya  makahaba  hao  kujifanya  wanafunzi  wa  chuo  hicho  kwa  lengo la kujiimarisha  kibiashara...  Takribani miezi mitatu  iliyopita, kahaba mmoja alinasawa  na polisi   mjini Dodoma akijiuza kwa  kujinadi  kuwa  yeye  ni........