Skip to main content

Posts

Showing posts from December 15, 2013

KWA WEMA WOOTE NILIOMFANYIA HUYU HOUSE GIRL, HII NDIO SHUKRANI YAKE ALIYONIPA

Ilikuwa miaka kadhaa iliyopita nilipoletewa msichana wa kazi maarufu kama house girl..ukimuangalia kwa sura alionekana mpole na mnyenyekevu.umri wake haukua mdog sana kwani alikuwa na miaka km 20 ivi wkt huo alipofika...alipokuja alionekana wazi kuwa ametoka kwenye familia duni sana kwani hata nguo aliyoivaa ilikuwa imechoka sana.. Nilimpokea vizuri nikamfundisha kazi za nyumbani, na kumuelekeza matumizi ya vitu mbali mbali vya nyumbani kwani hakujua hata jiko la gas linawashwa vipi..Nilimfundisha mapishi mbali mbali ambayo alikuwa hajui kupika.. Alikuja akiwa na begi dogo la marlboro lililokuwa na nguo chache za kuvaa, nilimpa nguo zangu nyingi ambazo zilinibana kwani baada ya mimi kujifungua mwili wangu uliongezeka mara dufu...nikamfundisha usafi wa kuoga asubuhi na jioni ili awe smart na aweze kukaa na watoto akiwa msafi... alikuwa msikivu na hakuwa mjeuri, niliishi naye kama ndugu yangu na hakika ungenikuta nae tunavyopiga stori usingedhani km ni house girl...kuna watu wal

FUNGA MWAKA 2013..HAWA NDIO MASTAA WALIO WAPIGWA MIMBA BILA NDOA

HII  ni funga mwaka! Mastaa wa Kibongo, Jennifer Kyaka ‘Odama’, Recho Haule, Belina Mgeni na Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ wamejikuta wakiumalizia mwaka 2013 wakiwa ‘vitumbo ndii’ licha ya kuwa bado hawajaolewa. Kwa mujibu wa chanzo chetu, wasanii hao wamebeba mimba hizo kwa nyakati tofauti na wamekuwa wakijificha kukwepa aibu ya kubeba ujauzito kabla ya kufunga ndoa.                                                                               Belina Mgeni.   “Wanaona aibu kubeba ujauzito kabla ya ndoa, wamekuwa wakijificha na mbaya zaidi hawataki kujionesha maana wengi wao hawajawatambulisha wachumba wao  kwa wazazi wao,” kilisema chanzo hicho kwa sharti la kutotaja jina lake. Baada ya kuzinyaka habari hizo, mapaparazi wetu waliingia mzigoni kusaka ukweli wa habari hiyo ambapo jitihada zilizaa matunda kwa kupatikana kwa picha za mastaa hao zikionesha tayari vitumbo ndii.                                                                   Jennifer Kyaka ‘Odama’. Baadhi yao, picha ziliones

HIZI NDIZO SABABU 10 ZA WANAWAKE KUCHELEWA KUOLEWA NA KUISHIA KUSAGANA NA PUNYETO..!!

Pamoja na kuwa kuna  wanawake  husita kuolewa, lakini jambo hili si kubwa sana kwa  wanawake  kama ilivyo kwa wanaume.  Kwa kiasi kikubwa katika suala la kutaka kuingia ndani ya ndoa,  wanawake  ni wengi ambao hutaka kufunga ndoa kuliko ilivyo kwa wanaume. Hilo tunaliona wazi tokana na shamra shamra awazo nazo mwanamke wakati wa maandalizi ya shughuli za Ndoa na Harusi.  Hata hivyo, kwa wale  wanawake  wachache ambao husuasua kuolewa hizi ni baadhi ya sababu zinazopelekea kusuasua huko. (Izingatiwe hii ni kwa  wanawake  ambao hawajawahi kuolewa kabisa)   Vigezo vilivyopitiliza viwango (hasa kwa muonekano)   Wanawake  wengi hasa wa umri mdogo (lakini unatosha kuolewa) hutumia muda mwingi katika kuchagua aina ya mwanaume ambaye angependa awe mume  wake . Wanawake  hawa hujiamini zaidi na kusimamia sifa zile ambazo huamini ni muhimu mwanaume wa kumuoa awe nazo.   Vigezo hivyo huwa hata kwa misingi ya muonekano wa mwanaume huyo – kuna wale ambao hutaka mwa