Skip to main content

Posts

Showing posts from September 29, 2013

HAYA NDO MAKOSA MAKUU MATANO AMBAYO WANAWAKE WENGI WANAYAFANYA WAKATI WA KUFANYA MAPENZI...

              Habari zenu Ladies and Gents leo nitaongolea makosa makuu 5 ambayo mwanamke anayafanya wakati wa kula TUNDA na mpenzi wake.Makosa yenyewe ni kama ifuatavyo, 1.UCHAFU WA MWILI (HYGIENE ISSUES) Hakuna kitu kinachokera wakati wa kupeana Raha na Utamu kama Mwanamke anayenuka(anaestink),umepeleka mdomo wako kwenye lips zake umnyonye denda unakutana na mdomo wake unaonuka,umepeleka mdomo wako kwenye matiti(boobs) yake uyanyonye unakutana na kikwapa(armpit) chake kinachonuka,haya basi ukaona basi isiwe kesi acha nimnyonye au nimlambe uke,unapeleka mdomo wako huko chini unakutana na harufu kali kama vile kuna panya zaidi ya mia wamekufa wakaoza ndani ya uke wake,mpaka ikifika hapo utakuwa ushamboa mwanaume,ataingiza tu mashine yake amalize hamu zake aondoke,halafu kila siku unalalamika hujawahi kufika kileleni(orgasm),nani atakufikisha kileleni na wakati UNANUKA? UNACHOTAKIWA KUFANYA  Kama ulikuwa una mazoea ya kuoga mara moja kwa siku,itabidi uwe unaoga hata mara mbili au tatu,u

HII NDIYO NJIA YA HARAKA YA KUMFIKISHA MPENZI WAKO KILELENI

                 Karibuni katika somo jingine ndugu wapenzi wa blog hii na wale wa page yetu ya facebook. kumekuwa na maombi kama huwezi kumfikisha mwanamke kileleni basi unausika katika hili somo!!!!Wengi wakitaka kujua ni namna gani ya kumfikisha mwanamke kileleni kwa kuzani hawana nguvu za kuhimiri kufanya tendo kwa muda mrefu bila kufikiri kuwa kumuandaa mwanamke kabla ya tendo kunaweza kukusaidia katika kumridhisha. Wanaume wengi huwa hawana maandalizi mazuri kwa wanawake wao kabla ya tendo la ndoa yanayoweza kuwasaidia kama kichochezi cha kuwafikisha kileleni mapema. Basi njia hizi zinaweza kuwa msaada mkubwa endapo zitatumika ipasavyo na hata yule ambaye ulikuwa umridhishi baada ya somo hili utaweza kumlidhisha ipasavyo kwa kumfanyia yafuatayo. 1.mpe maneno matamu okimtomasa kwa ulimi sikio lake kimahaba zaidi  2. pitisha ulimi wako shingoni kifuani, tumboni, mapajani ni ikibidi zama chumvini walau kwa dakika kumi hivi 3. tumia ulim wako ipasavyo kutomasa kitovu chake 4. mn

HAYA NDIYO MAGARI YA KIFAHARI NA YAGHARAMA AMBAZO SAMUEL ETOO ANAZIMILIKI

 Magari Kama haya Hapo Chini anamiliki star huyu wa soka. Ni kitu anachopenda sana kuwa nacho kwenye maisha yake. A Collection Of Expensive Cars. Magari yote hapo chini yana thamani ya pauni milioni 4. Eto'o ana Bugatti Veyron kama hio hapo juu Hio Aston Martin One-77 Inauzwa Pauni Milioni 1.25 Eto'o anamiliki hii Maybach Xenatec Coupe inayouzwa Pauni 750,000 Eto'o pia anamiliki hii Aston Martin V12 Zagato inayouzwa Pauni 450000

Tazama picha mpya za baby Madaha kwenye gari yake mpya aliyopewa huko Kenya.

Picha za mwanamuziki na muigizaji wa Filamu nchini Baby Madaha akiwa nchini Kenya na gari yake aina ya audi aliyopewa na Record Label ya Candy n’ Candy huko Kenya baada ya kusaini mkataba na kampuni hiyo.

Angalia picha za mapozi tofauti za gaidi wa kike SAMANTHA nyingine apiga akiwa nusu uch**

Nchi ya kenya imeingia kwenye misukosuko hivi majuzi na kuwapotea ndugu zetu wana Afrika mashariki takribani 75 na waliohuska katika tukio hilo ni kikundi cha kigaidi cha Alishababu na huyu ndie kiongozi wa kikundi hicho akiwa katika mapozi tofauti   Picha hizi zimesambaa katika mitandao tofauti shaddy classic tunafuatilia kama kweli ni picha za uhakika za samantha

ANGALIA JINSI SHILOLE ALIVYOFANYA MAMBO YA CHUMBANI JUKWAANI

  Shilole bado amekuwa akimulikwa na kamera hasa anapokuwa katika majukwaa kwa usitadi wake na aina ya kucheza angalia piza zaidi hapa

TANZANIA KUWA MWENYEJI MKUTANO MKUU WA MWAKA WA VYOMBO VYA UTANGAZAJI NCHI ZA SADC

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Bw. Clement Mshana(kushoto) akieleza kwa waandishi wa habari (hawapo Pichani) kuhusu mkutano Mkuu wa mwaka wa Vyombo vya Utangazaji vya nchi Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika(SADC) unaotarajiwa kufunguliwa rasmi tarehe 21 october 2013 Jijini Arusha, ambapo mgeni rasmi atakuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete. Kulia ni Mratibu wa Kanda wa Shirika hilo Bw. Joe Rugarabamu. Picha na Hassan Silayo-MAELEZO SHIRIKA LA UTANGAZAJI TANZANIA (TBC) TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI MKUTANO MKUU WA MWAKA WA VYOMBO VYA UTANGAZAJI VYA NCHI ZA JUMUIA YA MAENDELEO KUSINI MWA AFRIKA (SADC) Chama cha Vyombo vya Utangazaji vya nchi zilizo Kusini mwa Afrika, kila mwaka hufanya Mkutano Mkuu (Annual General Meeting) katika nchi mojawapo mwanachama. Chama hiki kijulikanacho kama ‘SOUTHERN AFRICAN BROADCASTING ASSOCIATION’, kwa kifupi SABA, mwaka huu kimeipa heshima Tanzania kuwa mwenyeji wa Mkutano Mku

WEMA, DIAMOND WARUDIANA

Nasibu Abdul ‘Diamond’. Habari zinasema wawili hao walikutana Dubai hivi karibuni  kabla Diamond hajaenda Malaysia na Wema akiwa njiani kuelekea Hong Kong, China ambapo walikula bata kwa sana. Ikazidi kuelezwa kuwa wameamua kuwa kwenye uhusiano wa siri na lengo la kufanya hivyo ni kuhakikisha mpenzi wa sasa wa msanii huyo wa Bongo Fleva, Penniel Mungilwa ‘Penny’ hajui kitu chochote. TAARIFA ILIVYO Kwa muda wa siku nne, ndani ya mitandao ya kijamii hasa kwenye Instagram, maneno yenye kuashiria kuwa wawili hao wapo pamoja tena yamekuwa yakichukua nafasi. Baada ya kusambaa kwa habari hizo, Penny naye alitupia picha yake akiwa kitandani na Diamond na kuandika kuwa waachwe kama walivyo. Ndani ya mtandao wa Instagram yakazuka makundi mawili, upande wa mawifi wa Penny, akiwemo Halima Kimwana na kundi lingine la mawifi wa upande wa Wema. Kundi la Wema waliandika kuwa mwanamke anayependwa na ndugu wa mume siku zote mwanamme huwa hampendi hivyo Wema ni mpenzi sahihi wa Diamond kwa vile hape

HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA WAKATI WA VURUGU ZA MBAGALA LEO

Askari kanzu katika jitihada za kuwatawanya waandamanaji. Mojawapo ya matairi yaliyochomwa na wananchi. Waananchi wakiandamana wakati wa vurugu hizo. Askari polisi wakiwa eneo la tukio. Kamanda wa Polisi mkoa wa Kipolisi Temeke,  Engelbert Kiondo  (wa tatu kulia) akiwa katika eneo la tukio. Kamanda Engelbert Kiondo (wa pili kulia) akipokea maelekezo kutoka kwa mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa Kizuiani, Mashaka Selemani (wa kwanza kushoto). Kamanda Kiondo akitoa maelekezo kwa baadhi ya askari wake. Wananchi wakiwa eneo alipogongwa mwanafunzi. Kikosi cha polisi jamii kikiwa eneo hilo. OCD wa Mbagala, Jonathan Shanna akiwasiliana na kikosi chake. LEO asubuhi majira ya saa nne na nusu kumetokea vurugu kali za wananchi eneo la Mbagala Kizuiani jijini Dar es Salaam. Vurugu hizo zilitokea baada ya mwanafunzi mmoja kupoteza maisha kwa kugongwa na lori lenye namba za usajili  T 632 BVY. Baada ya ajali hiyo, wananchi walifunga barabara kwa mawe na kuchoma matairi wakizuia m

SERIKALI YAPANIA KUPUNGUZA VIFO KWA MAMA WAJAWAZITO NA WATOTO

Afisa Mawasiliano Mwandamizi toka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya(NHIF) Bw. Luhende Singu(kushoto) akieleza kwa waandishi wa habari(hawapo Pichani) kuhuasu m-pango wa huduma za matibabu kwa mama wajawazito kw a Mikoa ya Mbeya na Tanga, wakati wa Mkutano uliofanyika ukumbi wa Idara ya Habari(MAELEZO) Leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Afisa habari Idara ya Habari(MAELEZO) Bw. Frank Mvungi. Afisa Msimamizi wa Mradi huo toka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya(NHIF) Dk. Daudi Bunyinyiga akifafanua kwa waandishi wa habari (hawapo Pichani) faida na malengo ya  mradi huo ni kusaidia wanawake wajawazito wanaotoka katika familia zisizo na uwezo watalipia shilingi elfu kumi (10,000) kwa mwaka ili kupunguza vifo vya kina mama wajawazito, wakati wa Mkutano uliofanyika ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Leo Jijini Dar es Salaam. Picha na Eliphace Marwa-MAELEZO NATIONAL HEALTH INSURANCE FUND                   Dedicated to providing quality health care to its beneficiaries ——————————————————