Skip to main content

Posts

Showing posts from September 15, 2013

Tazama picha za utupu ya Mwimbaji wa nyimbo za injili

Hili nalo ni tukio la kushitua baada ya msanii wa nyimbo za injiri kuamua kuanika picha zake za utupu kunako mitandao ya kijamii tukio hili limetokea hivi karibuni Nchini Nigeria Baada ya mwimbaji wa nyimbo za injiri kuweka piha na video kwenye mtandao anajulikana kwa jina la Maheeda  I doubt if this Naija female singer called Maheeda could still be described as a gospel singer giving her acts in recent times, especially in the social media. Her latest show of shame is posting videos of herself in the n*de while taking her bath. Check out more of her craze below:

'Al shabaab imekiri kushambulia Kenya'

Duka la kifahari lililoshambuliwa la Westgate katika mtaa wa Westlands Nairobi Kundi la wanamgambo wa kiisilamu la Al shabaab nchini Somalia limedai kutekeleza mauaji ya watu zaidi ya thelathini nchini Kenya kwa mujibu wa taarifa za vyombo vya habari nchini Kenya ( Citizen TV) na pia kupitia kwa ukurasa wake wa Twitter. Shirika la habari la Reuters pia limesema kuwa Al Shabaab linasema kwamba Kenya ilipuuza mara kwa mara vitisho vya kundi hilo kuishambulia. Taarifa zinazohusiana Taarifa kutoka Ikulu ya Rais Kenya zinasema kuwa mshukiwa mmoja amekamatwa. Mshukiwa huyo amejeruhiwa na anapokea matibabu hospitalini. Wanamgambo wa Al Shabaab wanasema kuwa Kenya haikuchukulia kwa uzito onyo walilotoa kwa taifa hilo kwa hatua ya kuwapeleka wanajeshi wake nchini humo kupambana dhidi yao. Kundi hilo limesema limekuwa likitoa

HIVI NDIVYO NILIVYOKUTANA NA MPENZI WANGU KWA MARA YA KWANZA

MNAMO miaka mitatu iliyopita, nikiwa nimemaliza shahada yangu ya kwanza ya ualimu. Nilibahatika kukutana na msichana ambaye sijui nimwelezee vipi ili utambue kuwa alinivutia. Tabia zake tangu aliponipisha kiti niketi ndani ya daladala baada tu ya kutambua kuwa mimi ni mrefu sana hivyo naumia sana kuinama katika daladala ile. Msichana wa mjini kumpisha kiti kijana mwenzake ndani ya daladala? Ilin istaajabisha. Ningekosa ustaarabu iwapo nisingetoa shukrani kwa mwanadada yule, na hapo ukaribu wetu ukaanzia. Akanipa namba yake ya simu bila kusita. Akanieleza kuwa anakaa Gongo La mboto nami nikamweleza kuwa ni mwenyeji wa Dar lakini nipo Mombasa kikazi na nd’o kwanza nimepata ajira. Bahati nzuri aliwahi kufika Mombasa pia, hilo jambo likatuweka karibu zaidi. Hata nilipofika nyumbani na kuwasimulia watu wakanieleza kuwa huenda ni bahati yangu na huyo ni mke ameletwa katika namna ya maajabu. Mawazo ya marafiki yakanisukumu kumpigia simu!!! Kitu cha kwanza nikamuul

Kumbe Operesheni Kimbunga Haikuondoa Wakimbizi Nchini

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Operesheni Kimbunga haikuondoa Wakimbizi nchini kama ilivyoripotiwa na baaadhi ya Vombo vya Habari vya hapa nchini na vya nje. Ifahamike kuwa zoezi hili limehusisha Shirika la Kuwahudumia Wakimbizi Duniani (UNHCR) ili kuhakikisha kuwa wakimbizi hawahusishwi katika zoezi la kuondoshwa nchini. Kwa mujibu wa tafsiri iliyotolewa na Mkataba wa Kimataifa wa mwaka 1951 kuhusu hadhi ya Wakimbizi, Mkimbizi ni mtu anayekimbia nchi yake kwa hofu ya maisha yake kuwa hatarini kwa sababu za  kikabila, dini, utaifa, uanachama wa chama cha kijamii au kisiasa na kufuata hifadhi katika nchi nyingine.  Mkimbizi anapokimbilia katika nchini nyingine kuomba hifadhi ana haki ya kupewa hifadhi na kuhakikishiwa usalama wake. Pia ana haki ya kupokelewa na kutorudishwa katika nchi ambayo ameikimbia. Hivyo , kutokana na Mkataba

HIVI NDIVYO RAIS KIKWETE ALIVYOTUNUKIWA SHAHADA YA UZAMIVU YA CHUO KIKUU CHA GUELPH JIMBONI ONTARIO, CANADA

Sehemu ya umati ulioshuhudia  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa  kutunukiwa Shahada   ya Uzamivu ya  Chuo Kikuu cha Guelph  jimboni Ontario  Ijumaa Septemba 20, 2013 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akitunukiwa Shahada ya Uzamivu na Provost na Makamu wa Rais wa    Chuo Kikuu cha Guelph  jimboni Ontario,  Dkt Maureen Mancuso   , Ijumaa Septemba 20, 2013 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akishangiliwa katika  Chuo Kikuu Guelph  baada ya kutunukiwa Shahada   ya Uzamivu ya  Chuo Kikuu cha Guelph  jimboni Ontario  Ijumaa Septemba 20, 2013  Ijumaa Septemba 20, 2013. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia  Chuo Kikuu Guelph  baada ya kutunukiwa Shahada   ya Uzamivu ya  Chuo Kikuu cha Guelph  jimboni Ontario  Ijumaa Septemba 20, 2013 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete aki

TIZAMA PICHA NA MATUKIO MBALIMBALI YA WAZIRI MKUU MHE. MIZENGO PINDA AKIWA ZIARANI KARATU

Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akizungumza katika Mkutano uliohutubiwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda katika uzinduzi  wa Maktaba ya Shule ya Sekondari ya Banjika wilayani Karatu Septemba 20, 2013.  Katikati ni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Mendeleo ya makzi, Profesa Anna Tibaijuka. (Picha naOfisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo yaMkazi, Profesa Anna Tibaijuka  wakitembelea maktaba yaShule ya Sekondari ya Banjika  ya wilayani Karatu ambayo ilizinduliwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Septemba 20, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiweka jiwe la Msingi la Tangi la Maji  katika Kijiji cha Gykrum Arusha wilayni Karatu Septemba 20, 2013. Wapili kushoto ni mkewe Tunu na kushoto ni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya  Makazi, Profesa Anna Tibaijuka. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  na Mkewe Tunu  (kushoto) wakipata maelezo  Kutoka kwa Mkurugenzi wa Mamlaka ya

Wamiliki wa vyombo vya habari waaswa kuwapa fursa ya safari waandishi wa habari

Viongozi hao wakiwa wakielekea kwenye ukumbi kwa ajili ya kushiriki hafla ya kumuaga aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bw. Seth Kamuhanda (katikati). Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Bi. Siaba Nkinga na kushoto ni Naibu wake Profesa Elisante Ole Gabriel. Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Profesa Elisante Ole Gabriel akitoa maelezo mafupi kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi wa hafla hiyo Bw. Seth Kamuhanda iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Aliyekuwa Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bw. Seth Kamuhanda akihutubia wakati wa hafla ya kuagwa kwake iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam. Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Bi. Siaba Nkinga akimkabidhi zawadi aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Bw. Seth Kamuhanda. Aliyekuwa Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bw. Seth Kamuhanda (aliyesimama katikati) akiifurahia zawadi aliyo

HAPPINESS WATIMANYWA – KUELEKEA REDDS MISS TANZANIA 2013!!

Kama ni mfuatiliaji mzuri wa kipindi cha Skonga, utamkumbuka Happiness Watimanywa, msichana pekee kutoka Tanzania aliyeweka historia ya kuongoza nchi zaidi ya 150 za mtandao wa IGCSE katika somo la Uhasibu kwenye mitihani ya kidato cha nne mwaka 2010. Happy (19) ni mzaliwa wa familia ya kawaida sana ya Mr Louis Roussos ya Morogoro. Wadogo zake Angel na Romeo sasa wanasoma St. Constantine shule iliyomtoa Happy. Pia, Happiness Watimanywa amewahi kusoma Laureatte International School ya Dar-es-salaam, ambapo akiwa hapo, alikutana na mwalimu wa michezo Mr Tchalewa Ndeki ambaye alimfungulia mipaka mingi Happy. Akiwa Laureatte, Happy aliwahi kwenda China na South Korea akiwa na wanafunzi wenzake katika matamasha mbali mbali ya elimu na michezo. Baada ya kumaliza kidato cha nne, Happy alifanikiwa kujiunga na Chuo Kikuu cha Strathclyde cha UK ambapo anasomea digrii ya Biashara. Kipindi ambacho Happy yupo kwenye likizo ndefu, alipata wakati mgumu wa kutokuwa

TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA KWA VYOMBO VYA HABARI

“PRESS RELEASE” TAREHE 21. 09. 2013. WILAYA YA RUNGWE – AJALI YA GARI KUMGONGA MTEMBEA KWA MIGUU NA KUSABABISHA KIFO. MNAMO TAREHE 20.09.2013 MAJIRA YA SAA 12:00HRS HUKO KATIKA KIJIJI CHA NDAGA WILAYA YA RUNGWE MKOA WA MBEYA. GARI T.565 AINA YA TOYOTA COASTER  LIKIENDESHWA NA  DEREVA SHABAN S/O IDDI, MIAKA 32, MKINGA, MKAZI WA TUKUYU  LILIMGONGA MTEMBEA KWA MIGUU MTOTO  KALEBO S/O EZEKIA,  MIAKA 5, KYUSA,  MKAZI WA KIJIJI CHA  NDAGA NA KUSABABISHA KIFO PAPO HAPO.  CHANZO MWENDO KASI. MWILI WA MAREHEMU UMEFANYIWA UCHUNGUZI NA KUKABIDHIWA NDUGU KWA MAZISHI. DEREVA AMEKAMATWA, TARATIBU ZA KUMFIKISHA MAHAKAMANI ZINAFANYWA. KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA  KAMISHNA MSAIDIZI WA POLISI DIWANI ATHUMANI  ANAENDELEA KUTOA WITO KWA MADEREVA KUWA MAKINI WANAPOENDESHA VYOMBO VYA MOTO KWA KUZINGATIA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI ILI KUEPUSHA AJALI ZINAZOWEZA KUEPUKIKA.  WILAYA YA CHUNYA – KUPATIKANA NA POMBE HARAMU YA MOSHI [GONGO] MNAMO TAREHE 20.09.2013 MAJIRA YA

MEXIME: WANAOSEMA UWANJA WA SOKOINE MBAYA, WANATAKA TUKACHEZE KWENYE MAGODORO YA VITANDANI?

                                                           Mecky Mexime, Kocha Mtibwa Sugar WAKATI muda unazidi kuyoyoma kuelekea mchezo mkali wa ligi kuu soka Tanzania bara hapa jijini Mbeya baina ya wenyeji wa uwanja wa sokoine, “Wajelajela”, Tanzania Prisons dhidi ya wakali wa mashamba  ya miwa ya Manungu Turiani Mkoani Morogoro, Mtibwa Sugar, kocha wa klabu ya Mtibwa, Mecky Mexime ametoa kali ya mwaka baada ya kuwaponda vikali wanaosema uwanja huu ni mbovu. Akizungumza jijini hapa, Mexime amesema wanaosema uwanja wa Sokoine na mbaya hawana maana yoyote katika soka la Tanzania, kwani umekaguliwa na TFF na umekubalika, zaidi hata hao wanaosema uwanja haufai, hawana hata wa mazoezi. “Mbona viwanja vyetu tunavijua sana, hawa wanaosema uwanja huu ni mbovu, mbona wanafanyia mazoezi viwanja vibovu  zaidi. Waache siasa katika soka pale wanaposhindwa, wacheze mpira na kuacha visingizio visivyokuwa ba maana”. Alisema Mexime. Zaidi Mexime amewaacha hoi mashab

HIVI NDIVYO MWANAUME ANATAKIWA KUPEWA MARAHA YA NDOA

Hii ni kwa wanawake walio kwenye ndoa Jamani mwanaume anapoamua kukuoa ni kwamba amekupenda na ameridhika na wewe na anakupa dhamana ya familia yake. Sasa wewe kipindi cha mwanzo wa ndoa mapenzi motomoto baada ya muda kidogo tu basi mapenzi yote yanayeyuka hata vile vitu ulivyokuwa unafanya mwanzoni ambavyo ndo vilimpelekea yeye kukupenda huvifanyi tena, tena wengi wanakuwa na vi buri na wabishi sana sasa unategemea nini? Unadhani ataacha kukesha kwenye mabaa au ataacha kutafuta nyumba ndogo? Wakati mwingine wewe mwenyewe unasababisha ndoa kuwa chungu, mpe vile vitu vyote ulivyokuwa unampa mwanzo tena ikiwezekana ongeza mahaba, Ili hata mwanaume akisema katoka nje ujue ni umalaya wake tu. Kuna wengine yani hata ushiriki wao wa tendo la ndoa ni wa manati na wakishiriki ni kama mambwa yani mwanamke kalala mwanaume karudi zake huko kampandia juu kaingiza mashine kafanya kamaliza kaenda kuoga na mwanamke anaenda kuoga wanalala just like that! no romance! no what....

CHEGGE, SHETTA WAKIONA AIRPORT

WAKATI mwanasoka Joseph Kaniki ‘Golota’, bondia Karim Matumla na msanii Agnes Gerald wakifikishwa mahakamani juzi (Jumatano) katika nchi mbili tofauti barani Afrika, wana Bongo Fleva maarufu nchini, Chegge Chigunda na Hassan Bilal ‘Shetta’, Jumanne iliyopita walikiona cha moto baada ya kuhisiwa kubeba ‘poda’ na hivyo kufanyiwa upekuzi mkali katika Uwanja wa Ndege wa Zanzibar. Habari zilizopatikana juzikati zinasema, Chegge na Shetta walisafiri salama kwa boti kutoka Dar es Salaam kwenda Zanzibar wakiwa safarini kuelekea Mombasa walikoalikwa kwa ajili ya shoo. “Wale askari wa uwanjani baada ya kuwaona wasanii hao waliwatilia shaka kwa nini wapandie ndege Zanzibar badala ya Dar es Salaam, wakahisi wamebeba mzigo, basi walifanyiwa upekuzi mkali, mizigo yao ilitolewa kila kitu, kwa kweli walihenya ile mbaya. Shetta. “Lakini kitu cha kushangaza ni kwamba waliopekuliwa namna hiyo ni wao tu, watu wengine walisachiwa kidogo na kuachiwa wapite. Pamoja na kwamba ni vita nzu