Skip to main content

Posts

Showing posts from July 13, 2014

TAZAMA MAAJABU KATIKA KABURI LA MSANII RECHO HAULE ALIYEFARIKI NA MWANAE BAADA YA KUJIFUNGUA

Ikiwa inakaribia miezi miwili tangu kifo cha msanii wa filamu Bongo, Rachel Leo Haule, vitu vya kutisha vinavyoashiria mambo ya uchawi vimekutwa juu ya kaburi lake, Kinondoni jijini Dar. Tukio hilo la kustaajabisha, lilidaiwa kutokea Alhamisi iliyopita katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.Kwa mujibu wa chanzo chetu, ndugu wa marehemu mmoja ambaye hakujulikana jina walikuwa kwenye makaburi hayo wakifanya kumbukumbu mbalimbali ndipo walipokuta ‘madongoloji’ hayo juu ya kaburi la Recho. 

MATOKEO YA KIDATO CHA SITA HAYA HAPAA!

NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA ACSEE 2014 EXAMINATION RESULTS ENQUIRIES P0101 AZANIA CENTRE P0104 BWIRU BOYS CENTRE P0110 ILBORU CENTRE P0112 IYUNGA CENTRE P0116 KANTALAMBA CENTRE P0119 KIBAHA CENTRE P0123 KWIRO CENTRE P0129 MARA CENTRE P0132 MILAMBO CENTRE P0133 MINAKI CENTRE P0134 MOSHI CENTRE P0136 MUSOMA CENTRE P0140 MZUMBE CENTRE P0143 NJOMBE CENTRE P0144 NSUMBA CENTRE P0145 NYAKATO CENTRE P0147 PUGU CENTRE P0150 SAME CENTRE P0151 SENGEREMA CENTRE P0152 SHINYANGA CENTRE P0156 TANGA TECH. CENTRE P0158 TOSAMAGANGA CENTRE P0167 KIDUGALA SEMINARY CENTRE P0184 AGAPE LUTH JUNIOR SEMINARY CENTRE P0203 IRINGA GIRLS CENTRE P0209 KOROGWE CENTRE P0211 LOLEZA CENTRE P0218 RUGAMBWA CENTRE P0219 SONGEA GIRLS CENTRE P0220 TABORA GIRLS CENTRE P02