Skip to main content

Posts

Showing posts from February 9, 2014

TAZAMA PICHA YA AGNESS MASOGANGE NA LINEX WAKIWA KWENYE POZI LINANOTATANISHA

    Hii ni Picha ya Jana Usiku walivyokuwa wamejiachina ndani ya Gymkhana   Agness Masogange akiwa wa Kwanza Kuwasili Beach    Hapa akiwa na Linex Mjeda Mapenzi kama Kawa Kuona

Hii ndiyo sababu ya ROSE MUHANDO KUTIWA MBARONI!

Stori: Mwandishi Wetu STAA wa nyimbo za Injili Bongo, Rose Muhando yamemkuta ya kumkuta ambapo Ijumaa iliyopita alishikiliwa na Polisi wa Kituo cha Msimbazi jijini Dar es Salaam kwa madai ya kuingia mitini na shilingi milioni 6 alizolipwa kwa ajili ya kwenda kufanya shoo ya kiroho, Mombasa, Kenya Novemba 3, 2013 lakini hakutokea. Rose Muhando. Kwa mujibu wa chanzo chetu, Rose alidakwa jijini Dar es Salaam saa sita mchana huku mlalamikaji wake akiwa ni mtu aliyejulikana kwa jina la Nathan Wami. Nathan amewahi kuwa meneja wa kazi za Rose Muhando. Kwa sasa Rose anaratibiwa na Kampuni ya Sony. MADAI YA JALADA LA KESI Kwa mujibu wa chanzo, jalada la kesi hiyo lilifunguliwa Dodoma likisomeka; DOM/RB/1129/2014 KUJIPATIA MALI KWA NJIA YA UDANGANYIFU. Hata hivyo, ilidaiwa kuwa Rose aliachiwa kwa dhamana akitakiwa kurudi kituoni hapo Februari 8, 2014 huku mkononi akiwa ameshika kiasi hicho cha fedha kwa ajili ya kumlipa mlalamikaji huyo. WIKIENDA LATINGA POLISI MSIMBAZI Baada ya kuinyaka