Skip to main content

Posts

Showing posts from March 8, 2015

KOCHA MARSH AFARIKI DUNIA

Aliyekuwa kocha msaidizi wa timu ya Taifa, Taifa Stars, Sylvestre Marsh enzi za uhai wake. Na Mwandishi Wetu ALIYEKUWA kocha msaidizi wa timu ya Taifa, Taifa Stars, Sylvestre Marsh, amefariki dunia asubuhi ya leo. Marsh alikuwa amelazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kuungua maradhi ya saratani ya koo kwa muda mrefu, awali alilazwa hapo akapata nafuu na kupelekwa kwao Mwanza, lakini wiki iliyopita alirudishwa tena na ndipo umauti ulipomkuta. Sylvestre Marsh enzi za uhai wake akiwa na Kim Poulsen. Marsh ambaye aliwahi kuipa mafanikio makubwa klabu ya Kagera Sugar, amewahi kufundisha soka kwa mafanikio makubwa sana hapa nchini kuanzia mwaka 2003, alipokuwa kocha msaidizi wa timu ya vijana, chini ya Abdallah Kibadeni. Mwaka 2006, alipandishwa timu ya wakubwa na kuwa kocha msaidizi chini ya Mbrazil Marcio Maximo na baadaye akawa chini ya Wadenish, Kim Poulsen na Jan Poulsen. Hata hivyo, tangu mwaka jana kocha hu

Mhe. Zitto akiongoza kikao baina ya Kamati ya PAC ya Bunge la Tanzania na PAC kutoka Bunge la Sudani Kusini. Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya PAC (Tanzania) wakifuatilia kikao 

SOMA KAULI NZITO YA UCHUNGU ALIYOANDIKA MHE.MWIGULU NCHEMBA KWA ZITO KABWE BAADA AYA KUFUKUZWA CHADEMA

IMENISIKITISHA,Nimesikia taarifa za kuenguliwa uanachama kwa Mh.Zitto Kabwe ndani ya Chama alichoanzia siasa,alichokitumikia kwa Jasho na mali,alichowekeza muda na akili yake kwa zaidi ya miaka 19. Zitto amekuwa/anaendelea kuwachachu ya mabadiliko kwa Vitendo kwa Taifa letu.Uwezo wa kisiasa wa Kabwe adhabu yake sio kumfukuza,Demokrasia ni lazima itumike. Nakusihi kijana Mwenzangu,Mwanasiasa Mwenzangu na Mchumi Mwenzangu kuwa,Taifa linakuhitaji sana wakati huu tunapopambana na ufanyaji kazi kwa mazoea na kuleta "MABADILIKO KWA VITENDO"Hivyo usikate tamaa watanzania watakuhesabia mema kwa yote unayoyafanya kwaajili ya Taifa letu..... ''Mwigulu L.Nchemba (Mb)'', Naibu katibu mkuu CCM bara, Naibu waziri wa Fedha,Mjumbe wa kamati kuu CCM na Sekretarieti ya chama cha mapinduzi.

KAMATI YA BUNGE YA PAC YAPATA UGENI KUTOKA BUNGE LA SUDANI KUSINI

Mhe. Zitto akiongoza kikao baina ya Kamati ya PAC ya Bunge la Tanzania na PAC kutoka Bunge la Sudani Kusini. Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya PAC (Tanzania) wakifuatilia kikao 

43 WAAPISHWA KUWA MANAIBU WASAJILI WA MAHAKAMA YA TANZANIA LEO JIJINI DAR ES SALAAM.

Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. Shaaban Ali Lila akimwapisha Mhe. Lenatus Ishengoma (kulia) kuwa Naibu Msajili wa Mahakama ya Tanzania leo jijini Dar es salaam. Wanaoshuhudia kiapo hicho ni Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Othman Chande (kushoto) na Mhe. John Kahyoza, Msajili Mahakama Kuu ya Tanzania. Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. Shaaban Ali Lila akimkabidhi Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwongozo wa utendaji kazi wa Mahakama Mhe. Zahara Abdallah Mlacha mara baada ya kumwapisha kuwa Naibu Msajili wa Mahakama ya Tanzania leo jijini Dar es salaam. Elizabeth Mkwizu  akisaini hati ya kiapo cha kuwa Naibu Msajili wa Mahakama mbele ya Jaji Kiongozi Mhe. Shaaban Ali Lila baada ya kuapishwa leo leo jijini Dar es salaam. Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. Shaaban Ali Lila akimwapisha Mhe. Hussein Shaban Mushi kuwa Naibu Msajili wa Mahakama ya Tanzania katika hafla fupi iliyofanyika viwanja vya Mahakama

Vijana wa Halmashauri ya Wilaya ya Iramba watakiwa kujiunga katika vikundi ili kujikwamua na Umaskini

Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe.Dr.Kone akiongea na ujumbe kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo walipomtembelea ofisini kwake, wa kwanza kulia ni Mkurugenzi Msaidizi kutoka Idara ya Maendeleo ya Vijana Dr.Steven Kissui na wa kwanza upande wa kushoto kutoka mbele ni Mkuu wa Kitengo cha Sheria Bi Ester Riwa. Mkurugenzi Msaidizi wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo kutoka Idara ya Mandeleo ya Vijana Dr. Steven Kissui aliyenyoosha mikono akielezea jambo kwa Mkurugenzi wa Wilaya ya Iramba kuhusu Mfuko wa Maendeleo ya Vijana.

MAMA SALMA KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA KWANZA WA KIMATAIFA WA “LUGINA AFRICAN MIDWIVES RESEARCH NETWORK

Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, Mama Salma Kikwete akisalimiana na Kaimu Muuguzi Mkuu wa serikali Dkt. Amalberga Kasangala mara baada ya kuwasili kwenye Hoteli ya Kunduchi Beach kufungua rasmi “The Scientific Conference for Lugina Africa Midwives Research Network-LAMRN” tarehe 11.3.2015. Aliyesimama kushoto kwa Mama Salma ni Ndugu Paul Makonda, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni akifuatiwa na Mwakilishi kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii. Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akifungua rasmi mkutano wa kwanza wa “Lugina Africa Midwives Research Network” uliofanyika katika Hoteli ya Kunduchi Beach hapa Dr es Salaam tarehe 11.3.2015. Baadhi ya washiriki waliohudhuria mkutano wa Kwanza wa “Lugina Africa Midwives Research Network” wakifuatilia kwa makini mada mbalimbali zilizokuwa zikitolewa kwenye mkutano huo. Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA, Mama Salma Kikwete pamoja na viongozi kwenye meza kuu wakifuatilia mada zi

UWF YATOA MSAADA OCEAN ROAD SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

Mwenyekiti wa Unity Women Foundation (UWF), Maryam Ajmy akiwa akikusanya misaada waliyokuwa wakitoa katika hospitali ya Ocean Road jijini Dar es Salaam kutoa msaada kwa wanawake ikiwa ni kuadhimisha siku ya wanawake duniani iliyofanyika hivi karibuni.   Mwenyekiti wa Unity Women Foundation (UWF), Maryam Ajmy akiwa na wanaumoja wenzake wakiingia hospitali ya Ocean Road jijini Dar es Salaam kutoa msaada kwa wanawake ikiwa ni kuadhimisha siku ya wanawake duniani iliyofanyika hivi karibuni. …………………………………….. Unity Women Foundation (UWF), umetoa msaada kwa wanawake wagonjwa katika hospitali ya Ocean Road jijini Dar es Salaam. Akizungumza na baada ya kutoa msaada katika Siku ya Wanawake Duniani iliyofanyika hivi karibuni, Mwenyekiti wa UWF, Mariam Shamo amesema wanawake wanatakiwa kujitoa kwa wanawake wenzao wenye matatizo kwa siku zote kutokana na kuwepo kwa wanawake wengine hawana msaada wa mtu yeyote. Mariam amesema wanawake siku ya wanawake itumike kwa kwa kuf

TAZAMA JINSI basi la Majinja Express LILIVYOPATA AJALI MUFINDI

Umati wa watu wakisubiri kutambua maiti za watu waliofariki katika ajali ya basi la Majinja Express katika chumba cha kuhifadhia maiti katika hospitali ya wilaya Mufindi. Baadhi ya ndugu waliopoteza ndugu zao katika ajali ya basi la Majinja Express wakilia kwa uchungu mara baada ya kujua kuwa moja wa ndugu zao wamefariki dunia. Mmoja wa majeruhi ambaye jina lake halijatambulika akiwa katika hospitali ya wilaya Mufindi kwa matibabu zaidi. Mmoja wa majeruhi ambaye hali yake mbaya akipakizwa katika gari la wagonjwa kupelekwa kwa matibabu zaidi hospitali ya rufaa ya mkoa wa Iringa kwa matibabu zaidi. Umati wa watu wakiwa katika eneo la tukio mara baada ya ajali kutokea eneo tukio ambapo ajali ya basi la Majinja limepoteza watu 42 katika ajali hiyo. (Picha na Denis Mlowe)

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU ABDULRAHMAN KINANA AITEKA CHEMBA MKOANI DODOMA

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi katika kata ya Itolwa mara baada ya kutembelea na kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo na kushiriki katika shughuli za ujenzi wa maendeleo  wilayani Chemba ikiwa ni  utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM. Pamoja na kuhimiza uhai wa chama hicho. Katibu Mkuu Kinana katika ziara hiyo anaongozana na Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM na viongozi mbalimbali wa wilaya na mkoa wa Dodoma, Kinana ataendelea  na ziara  kesho katika wilaya ya Kondoa Kabla ya kuendelea katika mikoa ya Arusha na Kilimanjaro.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-CHEMBA-DODOMA) Umati wa wananchi waliojitokeza katika mkutano huo ukimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana hayupo pichani wakati alipokuwa akizungumza na wananchi hao na kuwaasa kujitokeza kwa wingi kijiandikisha ili kupata nafasi ya kushiriki katika upigaji kura ya maoni Katiba inayopendekezwa.  Katibu Mkuu wa CCM Ndug