Vijana wa Halmashauri ya Wilaya ya Iramba watakiwa kujiunga katika vikundi ili kujikwamua na Umaskini
Mkuu wa Mkoa wa Singida
Mhe.Dr.Kone akiongea na ujumbe kutoka Wizara ya Habari, Vijana,
Utamaduni na Michezo walipomtembelea ofisini kwake, wa kwanza kulia ni
Mkurugenzi Msaidizi kutoka Idara ya Maendeleo ya Vijana Dr.Steven Kissui
na wa kwanza upande wa kushoto kutoka mbele ni Mkuu wa Kitengo cha
Sheria Bi Ester Riwa.
Mkurugenzi Msaidizi wa Wizara ya
Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo kutoka Idara ya Mandeleo ya Vijana
Dr. Steven Kissui aliyenyoosha mikono akielezea jambo kwa Mkurugenzi wa
Wilaya ya Iramba kuhusu Mfuko wa Maendeleo ya Vijana.
Comments
Post a Comment