Skip to main content

Posts

Showing posts from March 23, 2014

ROONEY, MATA WAMUOKOA MOYES

ROONEY, MATA WAMUOKOA MOYES Posted by GLOBAL on March 29, 2014 at 6:30pm 0 Comments 0 Likes Straika Wayne Rooneywa  Manchester United akishangilia goli lake la pili dhidi ya Aston Villa uliopigwa kwenye uwanja wa Uwanja wa Old Trafford, maskani kwa Man United.… Straika Wayne Rooneywa  Manchester United akishangilia goli lake la pili dhidi ya Aston Villa uliopigwa kwenye uwanja wa Uwanja wa Old Trafford, maskani kwa Man United. Ashley Westwood wa Aston Villa akishangilia bao lake katika dakika ya 13 kipindi cha kwanza. Ndege ikipita juu ya paa la uwanja wa Old Trafford kumpinga kocha wa Manchester United, David Moyes. Kocha wa Manchester United, David Moyes. MABAO mawili yaliyofungwa na straika Wayne Rooney katika ushindi wa  Manchester United wa mabao 4-1 dhidi ya Aston Villa,

WAZIRI MKUU MHE. PINDA ASHIRIKI MAZISHI YA RC TUPA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akiweka mchanga katika kaburi la aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara, John Tupa,  kwenye mazishi yaliyofanyika  nyumbani kwa marehemu, Kilosa Machi 29, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu Mizengo  Pinda akiweka shada la maua kwenye kaburi la aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara, John Tupa katika mazishi yaliyofanyika nyumbani kwa Marehemu, Kilosa, Machi 29, 2014. (Picha na Ofifi ya Waziri Mkuu)    Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akimfariji  Mzee Gabriel Tupa baba mzazi wa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara, John Tupa  katika mazishi yaliyofanyika nyumbanikwa marehemu  Kilosa achi 29, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

MAANDALIZI YA UTOAJI TUZO YA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 YAPAMBA MOTO

Ukumbi wa African Dreams uliopo Area D mkoani Dodoma litakapofanyika zoezi la utoaji tuzo ya Mwanamke Bora wa Mwaka 2013/2014 leo jioni. Meneja Mkuu wa Global Publishers, Abdallah Mrisho (katikati) akiweka mambo sawa ndani ya ukumbi wa African Dreams. Kushoto Ofisa Masoko wa Global, Benjamin Mwanambuu na MC wa shughuli ya leo, George Urio (kulia) . Mandhari ya ukumbi wa African Dreams . ...Mandhari ya nje ya ukumbi huo. ...Maandalizi yakiendelea ndani ya ukumbi huo wa kisasa mjini Dodoma. Kikosi kazi cha Global Publishers kilichoweka kambi mjini Dodoma kikiwa kazini. Kutoka kushoto ni Benjamin Mwanambuu, Clarence Mulisa, Jimmy Haroub na Innocent Mafuru. Wataalam wakiendelea na shughuli za upambaji ndani ya ukumbi huo. Barnaba (kushoto) na Patrick wakishow love ndani ya African Dreams. Jimmy akiweka mambo sawa ndani ya ukumbi huo. MAANDALIZI ya ukumbi litakapoendeshwa zoezi la utoaji Tuzo ya Mwanamke Bora wa Mwaka 2013/ 2014

TAZAMA PICHA YA TRENI ILIYOPINDUKA NA KUUA HUKO DODOMA

Wafanyakazi walioajiriwa na shirika la Reli Tanzania (TRL) wakitoa mchanga kwenye kichwa cha treni ya mizigo kilichopata ajali usiku wa kuamkia katika stesheni ya Gulwe, Wilaya ya Mpwampwa. Katika ajali hiyo watu wawili wamefariki dunia na wengine saba kujeruhiwa na kulazwa katika hospital ya Benjamin Mkapa Wilayani Mpwampwa. Sehemu ya mabehewa ya mafuta na ngano ambayo hayakusombwa na maji katika ajali iliyotokea usiku wa kuamkia leo katika stesheni ya Gulwe, hiyo imetokea saa 9.15 usiku. Treni hiyo ya Mizigo ilikuwa ikitokea Dar es Salaam na kuelekea Mkoani Kigoma na ilikuwa na mabehewa yaliyobeba ngano, sukari na mafuta. Njia ya Reli iliyoondolewa na maji katika stesheni ya Gulwe Wilaya ya Mpwampwa kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha maeneno mbambali nchini. Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dk. Shaaban Mwinjaka akitoka kwenye maji baada ya kuangalia kichwa cha treni kilichopata ajali na kusombwa na maji katika stesheni ya Gulwe, Wilaya ya Mpwampwa

HIVI NDIVYOO MAELFU WAJITOKEZA KUUAGA MWILI WA ALIYEKUWA MKUU WA MKOA WA MARA MAREHEMU JOHN GABRIEL TUPA‏

 MWILI WA ALIYEKUWA MKUU WA MKOA WA MARA JOHN GABRIEL TUPA UKITOLEWA KWENYE NDANI YA MAKAZI YAKE  WAOMBOLEZAJI WAKIWA NYUMBANI KWA ALIYEKUWA MKUU WA MKOA  KUTOKA KUSHOTO KAIMU KAMANDA WA POLISI MKOA WA MARA POUL KASABAGO,M NEC WA CCM CHRISTOPHER GACHUMA,M NEC WA BUNDA CCM...  KUTOKA KUSHOTO MWAKILISHI WA CHANEL TEN AUGUSTINE MGENDI,GEORGE MARATU WA ITV NA FLORENCE FOCAS WA MWANANCHI  MWENYEKITI WA BAKWATA MUSOMA MJINI AKIWA NA ASKOFU MSONGANZILA WA KANISA KATORIKI  RAIS WA KLABU ZA WAANDISHI WA HABARI TANZANIA KENETH SIMBEYA AKITOA SALAMU ZA RAMBIRAMBI  MTOTO WA MAREHEMU AITWAYE GABRIEL JOHN TUPA AKITOA SHUKURANI  MJANE WA BABA WA TAIFA MWALIMU NYERERE ALIKUWA MMOJA WA WAOMBOLEZAJI  ASKOFU MSONGANZILA AKIWEKA SAHIHI KWENYE KITABU CHA WAOMBOLEZAJI  AKIAGA MWILI  MMOJA WA WAANDISHI WA HABARI NGULI BIGAMBO JEJE AKIAGA MWILI  SEHEMU YA WAOMBOLEZAJI WAKIENDA KUAGA MWILI  MKURUGENZI WA KLABU ZA WAANDISH