Skip to main content

MAANDALIZI YA UTOAJI TUZO YA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 YAPAMBA MOTO


Ukumbi wa African Dreams uliopo Area D mkoani Dodoma litakapofanyika zoezi la utoaji tuzo ya Mwanamke Bora wa Mwaka 2013/2014 leo jioni.
Meneja Mkuu wa Global Publishers, Abdallah Mrisho (katikati) akiweka mambo sawa ndani ya ukumbi wa African Dreams. Kushoto Ofisa Masoko wa Global, Benjamin Mwanambuu na MC wa shughuli ya leo, George Urio (kulia).
Mandhari ya ukumbi wa African Dreams.
...Mandhari ya nje ya ukumbi huo.
...Maandalizi yakiendelea ndani ya ukumbi huo wa kisasa mjini Dodoma.
Kikosi kazi cha Global Publishers kilichoweka kambi mjini Dodoma kikiwa kazini. Kutoka kushoto ni Benjamin Mwanambuu, Clarence Mulisa, Jimmy Haroub na Innocent Mafuru.
Wataalam wakiendelea na shughuli za upambaji ndani ya ukumbi huo.
Barnaba (kushoto) na Patrick wakishow love ndani ya African Dreams.
Jimmy akiweka mambo sawa ndani ya ukumbi huo.
MAANDALIZI ya ukumbi litakapoendeshwa zoezi la utoaji Tuzo ya Mwanamke Bora wa Mwaka 2013/ 2014 yamepamba moto ndani ya ukumbi wa African Dreams uliopo Area D mjini Dodoma. Shughuli  hizo za utoaji tuzo zitaanza saa 1 jioni ambapo mgeni rasmi atakuwa Waziri Mkuu, Mhe. Mizengo Pinda.


Comments

Popular posts from this blog

VIDEO YA NGONO YA WANAOSADIKIKA KUWA NI WANAFUNZI WA IFM YAVUJA

Watu wawili wanaosadikika ni wanachuo wa IFM wajirecord video wakifanya ngono ndani ya........... chumba ambacho kinaonesha kama ni cha hosteli, fungua na uone upuuzi uliofanyika humu ndani…. KUANGALIA VIDEO HII LAZIMA UWE NA UMRI WA ZAIDI YA MIAKA 18+ KUANGALI BOFYA HAPA

Huyu Mzee Ndio Aliyetia Aibu Kwenye Bar Hii yenye Makahaba wanaocheza Nusu Uchi

 vijimambo kwenye bar zetu  

HUYU HAPA NDIYE MCHUNGAJI ADAI KUWAUA KANUMBA NA SHARO MILIONEA, AELEZEA JINSI ALIVYOFANYA....WAUMINI WAPIGWA NA BUTWAA..

Mwanaume aliyetambulishwa kwa jina la Mchungaji Mayanga amewashangaza waumini baada ya kudai kanisani kuwa yeye ndiye aliyewaua mastaa wawili Bongo, Hussein Ramadhan Mkiety ‘Sharo Milionea’ na Steven Kanumba ‘ The Great’ . Mchungaji Mayanga (mwenye kipaza sauti) akitoa ushuhuda. Tukio hilo lilitokea Jumapili iliyopita ya Oktoba 13, mwaka huu, huko Mzambarauni, Mbagala-Charambe jijini Dar katika Kanisa la Powerful Gospel Ministry lilipo chini ya Mchungaji Meshak Punkanya ambapo Mayanga alipewa nafasi ya kutoa ushuhuda. VIFO MILIONI 605  Mchungaji huyo alielezea kujuta kwake mbele ya kanisa kwa kudai kuwa kabla ya kuokoka alikuwa mchawi mkubwa aliyeishi kuzimu na kufanya kazi za mauaji sambamba na shetani mkuu (Lusifa) kwa kuwatumia vibaraka wake na majini. Mchungaji Mayanga alikiri kutekeleza vifo vya watu wapatao milioni 605 wakiwemo waigizaji hao. WAMO FIVE STARS, MTOTO WA DANDU Alisema kuwa kati ya watu aliowaua kwa njia za kishirikina wamo waimbaji wa Taarab wa Kun...