Skip to main content

Posts

Showing posts from October 6, 2013

MSANII WA KIKE AVUNJA REKODI YA KUMWAGA RAZI STEJINI YANI NYETI NJE NJE....! CHEKI HAPA

  Ni   msanii mwingine  wa  kinigeria  ambaye  kaamua  kujitafutia  umaruufu  kwa  staili  ya  kutovaa  nguo  za  ndani.... Kwa  mujibu  wa mitandao  ya  kinigeria, msanii  huyu  ambaye  ni  underground  anaripotiwa  kunywa  pombe  kupita  kiasi  kabla  ya  show  kuanza , hali  iliyomfanya  asijitambue  na  kuona  kila  kitu  ni   kizuri  mbele  ya  macho  yake.     Baada  ya  show  kuanza, mrembo  alipanda  jukwaani  kama  kawaida  huku  akiwa  na  kivazi  kinachoziba  makalio  yake  kwa  juu  tu.Ndani  hakuwa  na  kitu.Mziki  ulipokolea, kila  kitu  kilianikwa  hadharani.PICHA HIZI NI MAHUSUSI KWA WATU WAZIMA TU, MTU MWENYE UMRI CHINI YA MIAKA (18)NI MARUFUKU KUCHUNGULIA PICHA HIZI...!NADHANI TUMEELEWANA. KUZIONA BOFYA LINK HII HAPA>>> http://www.paparaziblog.blogspot.com/2013/10/laana-hii-msanii-aanika-nyeti-zake.html ALAFU KWA PICHA ZINGINE NYINGI ZA MSANII MWINGINE ALIOMWAGA RAZI LAIVU BOFYA LINK HII HAPA ULIKE PAGE BAADA YA HAPO 

Ronaldinho chanzo bifu la Barcelona

Ronaldinho BARCELONA, HISPANIA WAKATI Rais wa Barcelona, Sandro Rosell na kocha wa zamani wa timu hiyo, Mdachi Johan Cruyff, wakiwa hawatazamani usoni, suala la usajili wa Mbrazili Ronaldinho, linadaiwa kuwa chanzo kikuu cha uhasama wa wawili hao. Kwa mujibu wa Rosell, Cruyff alichukia kutokana na kusajiliwa kwa Ronaldinho tofauti na matakwa yake. Cruyff aliyewahi kuwa kocha wa Barcelona kati ya mwaka 1988 na 1996, amekuwa akirushiana maneno makali na Rosell na hivi karibuni alidai kwamba hatahudhuria mechi yoyote ya Camp Nou kwa kipindi ambacho Rosell ataendelea kuwa madarakani. Lakini, Rosell anaamini hasira za Cruyff zimetokana na yeye kupuuza ushauri wa kocha huyo katika usajili aliotaka ufanyike na wao kumsajili Ronaldinho kutoka PSG mwaka 2003. “Ilitokea kipindi kile ambacho nilikuwa Makamu Rais,” alisema Rosell. “Alitoa ushauri wa kusajili wachezaji watatu; (Pablo) Aimar, (David) Albelda na (Roberto) Ayala, lakini sisi tuliwasajili Ronaldi

Everton, Liverpool zitatesa msimu huu?

LONDON, ENGLAND KUNA mabadiliko makubwa katika klabu za Mashariki ya England  katika misimu miwili iliyopita. Klabu nne kubwa za majiji ya Liverpool na Manchester, zote zimebadilisha makocha katika kipindi cha miezi 15 iliyopita. Brendan Rodgers amekabidhiwa jukumu Liverpool, Roberto Martinez ametua Everton, huku David Moyes akienda Manchester United na Manuel Pellegrini yuko Manchester City. Wote wapo katika kipindi cha awali cha kuzoea maisha katika klabu hizo mpya. Tayari mwanzo wa msimu huu katika mbio za ubingwa, kumeanza kuonyesha mabadiliko kwa upande wa matokeo. England imeanza kushuhudia kuzaliwa upya kwa klabu za Jiji la Liverpool na kuondoka kwa utawala wa klabu za Manchester. Rodgers na Liverpool Rodgers aliwasili Liverpool akitokea Swansea City msimu uliopita. Ameifanya Liverpool kuwa timu inayocheza pasi nyingi na kukaa zaidi na mpira. Mpango wake unaonekana umefanya kazi nzuri hasa katika nusu ya pili ya msimu uliopita na mwanzoni mwa msim

Kibadeni amtimua Henry Joseph

Henry Joseph IUNGO wa Simba, Henry Joseph, ameondolewa katika kambi ya Simba huku Ramadhan Chombo ‘Redondo’ akirudishwa kikosi cha pili. Habari za uhakika ambazo Mwanaspoti imezipata, zinasema Henry ambaye amesajiliwa na Simba msimu huu huku akilipwa mshahara wa Sh1.5 milioni, alikorofishana na kocha wake, Abdallah Kibadeni, Jumatatu wiki hii katika mazoezi ya asubuhi yaliyofanyika katika  Uwanja wa Kinesi, Dar es Salaam. Henry anayemudu kucheza nafasi ya ulinzi na kiungo, alirudi nchini mwaka huu akitokea klabu ya Kongsvinger ya Norway iliyoshuka daraja.  Kurejea kwake kumetokana na kukataa mkataba mpya wa klabu hiyo wenye pesa kiduchu baada ya timu kuyumba kiuchumi. Jumatatu wiki hii, wakati Simba ikiwa katika mazoezi ya asubuhi kabla ya kuondoka jioni yake kwenda kambini Bamba Beach, Henry alifanya mazoezi ya kukimbia pekee yake na baadaye wachezaji wote walipofika uwanjani Kibadeni aliwataka wakimbie kwa pamoja, lakini Henry inadaiwa aligoma kwa madai kuwa ali

HUU NDIO USHAIDI UNAONYESHA KUWA WEMA NA DIAMOND WARUDIANA

Na Waandishi Wetu LICHA ya wenyewe kukanusha kwamba hawajarudiana, ushahidi kwamba masupastaa wa Bongo, Nasibu Abdul ‘Diamond’ na Wema Sepetu ni wapenzi tena umeanikwa, Risasi Jumamosi linao. Kwa sasa Wema yuko nchini China akivinjari, lakini habari zisizo na hata chembe ya shaka, zinasema Diamond naye ametua huko na kuungana na mchumba wake huyo wa zamani. WAONEKANA MITAANI Picha za mnato za wawili hao wakiwa kwenye mitaa mbalimbali jijini Beijing, China zimenaswa na kusambazwa kwenye mitandao makini hasa baada ya Diamond hivi karibuni kukanusha kupitia redio moja kwamba hajarudiana na Wema. Ndani ya picha hizo, Diamond anambusu Wema kila wakati bila kujali macho ya Wachina ambao kwao hawana mapenzi ya hadharani kama wazungu. WAONEKANA CHUMBANI Picha nyingine zinawaonesha wawili hao wakiwa chumbani katika mavazi ya kulalia huku wameshika simu kwa ajili ya kujipiga picha, kama kawa Diamond anambusu mlimbwende huyo huku naye akionekana kukolea. USHAHIDI KWA PENNY Katika Gazeti

HIZI NDIZO SABABU ZINAZOMFANYA SNURA KUKATA MAUNO!

STAA wa Majanga, Snura Antony Mushi ‘Snura’ amesema kamwe wanaume za watu wasimmendee katika shoo zake kwani hakati mauno ili kuwapata hasa wenye wake. Akipiga stori na paparazi wetu, Snura alisema kukata mauno kwenye shoo ndiyo silaha yake ya kuwateka mashabiki lakini anashangaa kuona wanaume za watu ndiyo wanaongoza kwa kutuma maombi ya kutongoza. “Sipendi kabisa kusikia masuala ya wanaume za watu, siko tayari kuvunja ndoa za watu. Pesa za kuhongwa sioni raha nazo hata kidogo napenda za kujitafutia za kwangu,” alisema Snura.

HIZI NDIZO SABABU ZITAKAZONIFANYA NIOLEWE TENA

MWIGIZAJI mahiri Bongo, Wastara Juma Issa Abeid ‘Wastara’ amesema suala la kuolewa tena halikwepeki licha ya kutokuwa na mawazo juu ya suala hilo kwa sasa. Akizungumza na paparazi wetu, Wastara ambaye ni nadra sana kukosea awapo mbele ya kamera, alisema yeye kama mwanamke aliyekamilika hadhani kama atakaa bila mwanaume lazima ataolewa tena. “Mimi ni mwanamke niliyekamilika, suala la kuolewa ni lazima, japo kwa sasa sifikirii kufanya hivyo, lakini sidhani kama nitaweza kukaa bila mwanaume, lakini pia usumbufu kutoka kwao unaendelea,” alisema Wastara

MAMA KIKWETE AKIZINDUA MRADI WA MAFUNZO YA GESI NA MAFUTA YA PETROLI VETA LINDI

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete  (aliyevaa kitenge)akiwapungia mkono  wanafuzi wa  Chuo cha  Mafunzo ya Elimu ya Ufundi  Stadi(VETA) , Lindi kabla ya kuzindua mradi wa mafunzo ya gesi na mafuta ya Petroli jana mkoani Lindi.Kulia ni  Mkurugenzi Mkuu wa VETA, Mhandisi Zebadiah  Moshi na  wa pili Kushoto  ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Ludovick   Mwananzila na kushoto wa kwanza ni Mkuu wa Wilaya ya Lindi, Dk. Nassoro  Hamidi.(Picha zote na Magreth Kinabo- Maelezo). Mke wa Rais Mama Salma Kikwete  (aliyevaa kitenge) akipata maelekezo kutoka kwa mwanafunzi wa Chuo cha  Mafunzo ya Elimu ya Ufundi  Stadi (VETA), Edwin  Nduguru(kushoto) jinsi deep stick inavyofanya kazi ya kupima kiwango cha oil kilichopo katika injini ya gari alipotembelea karakana ya ufundi wa magari wa chuo hicho jana. Wanaoshuhudia tukio hilo ni  Mkurugenzi Mkuu wa VETA, Mhandisi Zebadiah  Moshi (kulia) , Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Ludovick   Mwananzila (katikati) na Mkuu wa Wilaya ya Lindi, Dk. Nassoro  Hamidi (kushoto). Mke  wa R

ASASI YA IRAWS – T KUSAIDIANA NA SERIKALI KUPUNGUZA MSONGAMANO WA WAFUNGWA MAGEREZANI

Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Asasi ya IRaWs – T, Naibu Kamishna wa Magereza Mstaafu, Dkt. Salum Chambuso akifafanua jambo wakati wa Mafunzo Maalum ya namna ya kupambana na Changamoto ya Msongamano wa Wafungwa na Mahabusu Magerezani. Mafunzo hayo yametolewa na Asasi hiyo Oktoba 11, 2013 katika Ukumbi wa Makao Makuu ya Jeshi la Magereza. Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Nchini, John Casmir Minja akifuatilia kwa makini Mada Maalum iliyowasilishwa na Katibu Mtendaji wa Asasi ya Kiraia ya IRaWs – T inayojishughulisha na Urekebishaji wa Wafungwa, Naibu Kamishna wa Magereza Mstaafu, John Nyoka( hayupo pichani) leo Oktoba 11, 2013 katika Ukumbi wa Mikutano wa Makao Makuu ya Jeshi la Magereza, Dar es Salaam. Baadhi ya Washiriki wa Mafunzo ya namna ya kukabiliana na Msongamano wa Wafungwa na Mahabusu Magerezani wakifuatilia mjadala(Picha zote na Lucas Mboje wa Jeshi la Magereza). Mwenyekiti wa Asasi ya IRaWs – T, Kamishna Mkuu Mstaafu wa Magereza, Onel Malisa akichangia hoja katika Mafunz

UJUMBE WA TANZANIA WAFANYA MAZUNGUMZO NA BENKI YA DUNIA

Bw. Shahid Yusuf ambaye ni Consultant wa AFCE akichangia hoja katika mkutano wa ujumbe wa Tanzania na Benki ya Dunia.( Picha zote na Bi. Ingiahedi Mduma – Washington DC) Ujumbe wa Tanzania katika mkutano na Benki ya Dunia Bw. Paul Brenton Trade Practice Leader- AFTPM akitoa ufafanuzi pembeni yake ni Bw. Danny Leipziger – aliyekuwa Mkuu wa Idara ya kupunguza umasikini na kuinua uchumi. Kutoka kushoto Katibu Mkuu  Wizara ya Fedha Dkt. Servacius Likwelile, Mkurugenzi wa Utafiti na Sera za Uchumi wa BOT Dkt. Joseph Masawe na Naibu Gavana wa BOT Bi. Natu Mwamba wakitafakari kwa makini majadiliano hayo. Bw. Zenfack, katikati akifafanua jambo katika mkutano huo, kulia ni Bw. Philippe Dongier Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia Tanzania, Rwanda, Uganda na Burundi. Ujumbe wa Tanzania wakutana na Benki ya Dunia mjini Washington DC na kufanya majadiliano juu ya usimammizi wa uchumi wa Tanzania. Akizungumza katika mahojiano hayo, Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Servacius Likwelile alisema ku

PROF STAINER AZUNGUMZA NA RAIS DK.SHEIN.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na  Profesa Steiner Kvisland kutoka hospiltali ya Chuo Kikuu cha Haukeland, Norway, alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifuatana na  Profesa Steiner Kvisland kutoka hospiltali ya Chuo Kikuu cha Haukeland Norway, baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiagana na  Profesa Steiner Kvisland kutoka hospiltali ya Chuo Kikuu cha Haukeland, Norway,baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

CRDB BENKI YAADHIMISHI WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA JIJINI ARUSHA

Mkurugenzi wa Benki ya CRDB, Tawi la Arusha, Chiku Issa (kushoto) akiwaongoza wafanyakazi wa benki hiyo kuwakaribisha wateja wa benki hiyo. Wafanyakazi wa Benki ya CRDB, Tawi la Arusha, wakiwakaribisha wateja wa benki hiyo kwa kuwafungulia Champagne.   Wafanyakazi wa Benki ya CRDB tawi la Arusha wakiwakarisha wateja wa benki hiyo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya Huduma kwa Wateja iliyofanyika jijini Arusha Wafanyakazi wa Benki ya CRDB tawi la Arusha wakiwakarisha wateja wa benki hiyo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya Huduma kwa Wateja iliyofanyika jijini Arusha     Wafanyakazi wa Benki ya CRDB tawi la Arusha wakiwakarisha wateja wa benki hiyo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya Huduma kwa Wateja iliyofanyika jijini Arusha   Mkurugenzi wa Benki ya CRDB, Tawi la Arusha, Chiku Issa (kushoto) akiwaongoza wafanyakazi wenzake kuwapa Champagne wateja wa benki hiyo ikiwa ni maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja iliyofanyika jijini Arusha.  M