Skip to main content

Posts

Showing posts from October 13, 2013

HUYU HAPA NDIYE MCHUNGAJI ADAI KUWAUA KANUMBA NA SHARO MILIONEA, AELEZEA JINSI ALIVYOFANYA....WAUMINI WAPIGWA NA BUTWAA..

Mwanaume aliyetambulishwa kwa jina la Mchungaji Mayanga amewashangaza waumini baada ya kudai kanisani kuwa yeye ndiye aliyewaua mastaa wawili Bongo, Hussein Ramadhan Mkiety ‘Sharo Milionea’ na Steven Kanumba ‘ The Great’ . Mchungaji Mayanga (mwenye kipaza sauti) akitoa ushuhuda. Tukio hilo lilitokea Jumapili iliyopita ya Oktoba 13, mwaka huu, huko Mzambarauni, Mbagala-Charambe jijini Dar katika Kanisa la Powerful Gospel Ministry lilipo chini ya Mchungaji Meshak Punkanya ambapo Mayanga alipewa nafasi ya kutoa ushuhuda. VIFO MILIONI 605  Mchungaji huyo alielezea kujuta kwake mbele ya kanisa kwa kudai kuwa kabla ya kuokoka alikuwa mchawi mkubwa aliyeishi kuzimu na kufanya kazi za mauaji sambamba na shetani mkuu (Lusifa) kwa kuwatumia vibaraka wake na majini. Mchungaji Mayanga alikiri kutekeleza vifo vya watu wapatao milioni 605 wakiwemo waigizaji hao. WAMO FIVE STARS, MTOTO WA DANDU Alisema kuwa kati ya watu aliowaua kwa njia za kishirikina wamo waimbaji wa Taarab wa Kundi l

Hivi ndivyo ilivyokuwa katika Safari ya Mwisho ya Mazishi ya Mama yake ufoo Saro Machame

Mtoto wa mwandishi na mtangazaji wa kituo cha ITV,Ufoo Saro,Alvis Anthery akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza la marehemu Bibi yake Anastazia Saro aliyezuikwa jana katika makaburi ya kanisa la Urara wilayani Hai. Umati wa waombolezaji waliojitikeza katika kuaga mwili wa marehemu Anastazia Saro aliyezikwa katika makaburi ya kanisa la Urara wilayani Hai. Msemaji wa familia ya Saro,Allelio Swai akitoa maelezo ya familia wakati wa ibada ya kumuombea marehemu Anastazia Saro. Jeneza lililobeba mwili wa marehemu Anastazia Saro likiwekwa kaburini. Mkuu wa jimbo la Hai,Aminirabi Swai akiongoza ibada ya maziko katika makaburi ya kanisa hilo na kisha kuweka shada la maua katika kaburi la marehemu Anastazia Saro. mwakilishi wa serikali katika maziko ya marehemu Anastazia Saro ,mkuu wa wilaya ya Hai Novatus Makunga akiweka shada la Maua katika kaburi. Mtoto Alvis Anthery akiweka shada la maua katika kaburi la Bibi yake marehe

HAYA NDIO MAMBO MUHIMU AMBAYO MWANAMKE HUITAJI KUTOKA KWA MUWEME

NI matumaini yangu kuwa umzima na unaendelea vyema na majukumu yako ya kila siku kama kawaida. Wiki iliyopita utakumbuka niliishia kuzungumzia suala la busara. Nikasema mwanamke anaweza kuwa chanzo cha furaha kwa mumewe endapo atatumia busara kwa kiwango kinachotakiwa. Kwa kifupi wanaume wanahitaji sana busara ya mwanamke na kama mwanamke ukiweza kuwa na busara katika kumtatulia matatizo yake hata kwa kumpa mawazo yako na kumpa moyo, ataona umuhimu wako na wakati mwingine kukushirikisha kila afanyalo kabla ya kulifanya hasa baada ya kuona anaishi na mwanamke mwenye busara. 2. Kujali Imezoeleka kuwa mwanaume ni kichwa cha nyumba na yeye ndiye muwezeshaji wa kila kitu katika familia, hilo ni sawa na halina ubaya wowote, lakini kuna baadhi ya wanawake wanakosa busara ya kawaida kwa kufuja mali za mumewe kisa eti ameolewa. Mjali mumeo bwana, mume wako anahitaji ujali mali zake na pesa zake kwa ujumla. Kuna baadhi ya wanawake hutumia pesa hovyo kwa matumizi ya chakula na mahitaji meng

Hizi ndizo picha 9 za jinsi Watuhumiwa wa ugaidi msituni walivyopelekwa Mahakamani leo Mtwara pamoja na taarifa mpya

Polisi walijua kabisa msafara wao utakua umewabeba watuhumiwa waliokamatwa kwenye mafunzo ya kijeshi ambayo yalikua yanatolewa kupitia CD za Al Qaeda na Al Shabaab hivyo wakajiandaa kwa ukubwa huu Taarifa ambazo zimeifikia millardayo.com ni kwamba wale watuhumiwa wa ugaidi waliokamatwa wakifanya mazoezi msituni 88.4 Mtwara, walipelekwa Mahakamani asubuhi ya leo October 17 2013 lakini kutokana na baadhi ya taratibu za kimahakama ikashindikana kupandishwa kizimbani kwenye Mahakama ya Wilaya ya Mtwara hivyo wakarudishwa mahabusu mpaka hapo itakapoamuliwa ni siku gani wapelekwe tena Mahakamani. Mwanzoni walikua wamekamatwa 11 tu lakini taarifa nyingine zilizoifikia millardayo.com zinaamplfy kwamba idadi imeongezeka baada ya wengine wawili kukamatwa kulekule walikokamatiwa wengine ambapo hawa wawili hawakukutwa na silaha wala kingine chochote kama ilivyotokea kwa wale wa mwanzo ambao walikutwa na mapanga, silaha mbalimbali pamoja na CD za DVD ambazo zinamafunzo ya kijeshi ya A

Hivi ndivyo Show ya TV ya Wema Sepetu ilivyokuonekana on TV October 16 2013, ameshawahi kulogwa? vp Diamond? haongei na nani?

Show ya TV ‘In my shoes’ ya mwigizaji Wema Sepetu kutoka bongo movie imeanza kuonyeshwa Eatv October 16 2013 ambapo Episode hii ya kwanza imeanza kwa kumuonyesha Wema kwanza akieleza yeye ni nani, anafanya nini, ni mtu wa aina gani na mengine kama hayo ambapo yafuatayo hapa chini ni maswali aliyoulizwa na kuyatolea majibu. Swali: Wema ni nani? Jibu: Wema Sepetu is a girl, i can say a Lady mwenye umri wa miaka 24 kutoka familia ya Isack Abraham Sepetu, a darling, a libra.. a girl who is very ambicious, i love my self… Swali: Siku yako ya kwanza shuleni ilikuaje? Wema: Siku ya kwanza tumeenda nikakutana na msichana flani hivi anaitwa Shubira nakumbuka mpaka leo, alikua rafiki yangu wa kwanza tulikutana shuleni nilikua na miaka minne… tumekaa nikaanza kulia kwa sababu ilikua sehemu mpya, mazingira mapya baada ya hapo tukazoea. Shule ilikua vipi kipindi unasoma? Wema: Naweza kusema kipindi ambacho niko shule, Mwalimu wangu sijawahi kukaa hata siku moja kumfikiria mara m