Skip to main content

Posts

Showing posts from July 7, 2013

ZITTO KABWE AWATAKA WANANCHI WAGOME KUILIPA KODI YA SIMU YA SH. 1000.....AMEDAI KUWA KODI HIYO ILIPITISHWA KINYEMELA

Sakata  la  kodi  ya  line  ya  simu  limeendelea  kuwakuna wanasiasa  wetu  ambao  wamekuwa  wakifunguka  kwa  nyakati  mbalimbali  kupitia mitandao  ya  kijamii.... Baada  ya  January  Makamba, Zitto  kabwe  naye  amefunguka  na  kudai  kuwa  kodi  hiyo  ni ................

"VYOMBO VYA HABARI HUWA VINAHONGWA NA WAPINZANI ILI VIWAANDIKE VIZURI".....SPIKA WA BUNGE

Spika wa Bunge, Anne Makinda, ameibuka na kauli yenye utata mkubwa akivituhumu vyombo vya habari kwamba vinahongwa na wabunge wa kambi ya upinzani ili viandike habari zao vizuri. Bila kufafanua ni kwa jinsi gani wabunge hao wanatoa hongo hiyo mbali tu ya kusema..........

BLANDINA AWATAKA WASANII WAACHE KUOLEWA KWA KUKURUPUKA

MWIGIZAJI wa kike Witness Lunyungu ‘Brandina’ aliyetamba sana na filamu ya The Game na kuwa  maarufu amewaasa wasanii wenzake wa filamu kutokimbilia kuolewa na wanaume wasiowapenda sana kwani ni rahisi kupoteza vipaji vyao sambamba na ajira ya uigizaji... Blandina  anadai  kwamba hata  yeye  alikumbwa na kadhia hiyo baada ya kuolewa na mumewe ambaye alimpiga ..........

NANDO NA FEZA KESSY WAENDELEA KUPEPERUSHA BENDERA YA TANZANIA NDANI YA BIG BROTHER......HAKUNA ALIYEINGIA KIKAANGONI

Wiki hii Watanzania na mashabiki wa shindano la Big Brother Africa hawana haja ya kuwa wasiwasi ya kuwaokoa washiriki wao kwakuwa Nando na Feza Kessy wako safe.  Kilichobaki ni kuvuta tu viti virefu na ...........

WATOTO WAWILI WALIOKUWA WAMEPELEKWA "JANDONI" WAMEFARIKI WA AJALI YA MOTO HUKO LINDI

 Lindi - Watoto wawili wamekufa na mmoja wao kunusurika mauti, baada ya kuungua kwa moto uliosababishwa na kibatari kilichounguza nyasi za kijumba walichokuwemo. Kaimu Kamanda wa Mkoa wa Lindi, Renata Mzinga amesema ajali hiyo ilitokea mwishoni mwa ...........

AGNESS MASOGANGE AKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA AFRIKA KUSINI

  HATIMAYE  wale Wanawake wawili walionaswa  na  madawa ya  kulevya  Afrika  kusini wametambuliwa kuwa  ni  mabinti  wa  KITANZANIA .. Mabinti  hao  wanadaiwa kuingiza shehena ya dawa za kulevya zenye thamani ya zaidi ya Sh. bilioni 6.8 nchini Afrika Kusini wakitokea Tanzania. Akizungumza na mwandishi wetu  jana, Kamanda wa Polisi Kitengo cha Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya, Geofrey Nzoa, alisema haijafahamika wanawake hao wanatoka mikoa gani. Kamanda Nzoa aliwataja wanawake hao kuwa ni Agnes Jerald (MASOGANGE)   ambaye alisema hajapiga hesabu ya umri.......

WEMA SEPETU ANASAKWA NA POLISI BAADA YA KUMTUKANA MENEJA WA HOTELI WAKATI POMBE IKIWA UTOSINI

DIVA wa filamu za Bongo ambaye pia ni Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu anasakwa na Jeshi la Polisi Kituo cha Kawe, Dar es Salaam kwa tuhuma za kufanya fujo hotelini, kumtukana matusi ya nguoni na kumpiga makofi meneja wa hoteli hiyo, Godluck Kuyumbu. Songombingo hilo lilijiri saa tano usiku wa Jumatano iliyopita kwenye hoteli hiyo  iliyopo Kawe Beach, jijini Dar. Akizungumza na mwandishi wetu , meneja huyo alisema ..........

HIZI NDIZO SABABU ZINAZOWAFANYAA MASTAA WA KIKE KUPIGA PICHA ZA UCHI

NCHI za wenzetu staa kupiga picha za utupu si kitu kigeni lakini Tanzania sheria na maadili ya Mtanzania hayaruhusu kufanya hivyo. Pamoja  na sheria  kutoruhusu, wasanii  wetu  hasa  wa  kike  wamekuwa  wakihaha  usiku  na  mchana  kuusaka  umaarufu  wa  kujulikana  kwa  jamii  kwa  njia  za  panya,.... Wengi  wao  wamepoteza  sifa  za  uwajibikaji  na  badala  yake  wamejikita  katika  Skendo  chafu  ili  jamii  iwajue... Hali  hii  imewafanya .......................

ANGALIA UMATI WA WATU WALIOJITOKEZA KATIKA TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI

HIZI NDIZO SABABU ZINAZOFANYA DIVA WA CLOUDS FM ASIMUACHE PREZZO..

Muda mfupi uliopita mtangazaji wa ‘Ala za Roho’ ya Clouds FM Diva Loveness Love ambaye sasa anatumia “divathebawse” katika akaunti yake ya Instagram, ameweka picha mpya akiwa na Rapcellency Jackson makini aka Prezzo kutoka Kenya waliyopiga jana (July 7). Picha hiyo ambayo inawaonesha wawili hao wakiwa...........

HIZI NDIZO SABABU TANO ZILIZOWAFANYA CHADEMA WAGOME KUSHIRIKI "KONGAMANO LA AMANI" LINALOANZA KESHO

Ndugu waandishi wa habari, Tumewaiteni hapa mchana huu kwa dharula, kutokana na kujitokeza kwa jambo moja muhimu sana katika mustakabali wa chama chetu na taifa kwa ujumla. Jambo lenyewe ni hili: Kwa muda wa