Skip to main content

Posts

Showing posts from July 12, 2015

HATIMAYE CHAMA CHA WANANCHI CUF KIMETOA MSIMAMO WAO JUU YA MGOMBEA WA UKAWA

Chama cha wananchi CUF leo asubuhi kupitia viongozi wake  kimetoa ufafanuzi wakati kikiongea na waandishi wa habari juu ya taarifa zinazoendelea kutapakaa nakutoa  ufafanuzi  wa  mambo yafuatayo 1.CUF wamedhibitisha kuwa hawajajitoa UKAWA. 2.Kuhusu kutohudhuria kikao cha UKAWA jana wamedhibistisha kuwa hawakuhudhuria  kwasababu hawakupewa taarifa za kikao mapema hivyo wakashindwa kuhudhulia. 3.Kuhusu UKAWA kuchagua mgombea wa urais wamesema hawamtambui aliyechaguliwa na watakaa wote tarehe 25 mwezi huu kuamua nani atakuwa mgombea wa urais kupitia UKAWA.

Hii ndiyo Historia ya Samia Suluhu Hassan wa CCM

Historia ya Samia Suluhu Hassan wa CCM Chama tawala nchini Tanzania CCM ambayo imekuwa katika kongamano la kitaifa mjini Dodoma ilimchagua bibi huyo mwenye umri wa miaka 54 mchache wa maneno na mwenye asili ya Zanzibar kushirikiana na dakta Magufuli. Lakini bi Samia Suluhu Hassanni Nani ? Bi Samia Suluhu Hassan ni mtanzania mwenye asili ya Zanzibar Kiongozi huyu pia amewahi kushikilia nyadhifa za uwaziri katika Serikali ya Muungano na ya Zanzibar akihudumu kama waziri katika afisi ya makamu wa rais Ni mwanamke wa Kwanza Mgombea Mwenza Tangazo hilo limewashangaza wengi kwani Bi Samia Suluhu hakuwa miongoni mwa wagombea wa kiti cha urais. Tamko la kuwa Bi Samia ni mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi imeweka historia kwa kuwa mgombea mwenza wa kwanza nchini humo ambaye ni mwanamke. Bi Samia alikamilisha masomo ya shule ya upili mwaka wa 1976 na akaajiriwa kama mchapishaji katika wizara ya mipango na maendeleo ya nchi kazi ambayo aliifanya huku akiendelea na masomo yake ha

HATIMAYE EDWARD LOWASA AANDIKA SENTESI NZITO YENYE UTATA MUDA HUU MTANDAONI KWAKE

Nawe una lipi la kumuambia Lowassa?! Toa maoni yako hapo chini!

TAZAMA VIDEO YA HAYATI MWALIMU J.K NYERERE AKIZUNGUMZIA KUKATWA KWA EDWARD LOWASA KATIKA UCHAGUZI WA MWAKA 1995