Skip to main content

Posts

Showing posts from January 12, 2014

HUYU NDIYE MUIGIZAJI BRIAN DEACON ALIYEIGIZA KAMA "YESU" NA ANACHOKIFANYA KWA SASA KATIKA MAISHA.

  Brian Deacon ndio jina lake mwigizaji huyo ambaye ni mwingereza aliyezaliwa mnamo tarehe 13/02/1949 huko Oxford nchini Uingereza akiwa ni mtoto wa pili katika familia yao baba yake akiwa fundi makenika na mama yake akiwa ni nesi. Ndoa yake ya kwanza na Rula Lenska ilivunjika ambapo alizaa na mkewe huyo binti yao aitwaye Lara Deacon,ndoa yake ya pili alioana na mwanamama Natalie Bloch mnamo mwaka 1998 mpaka sasa wapo kwenye ndoa hiyo. Brian Deacon ndani ya filamu ya ''JESUS''   Aliigiza filamu ya Yesu ambayo pia ilimfanya aokoke mara baada ya kuitazama akiwa na miaka 30,baada ya kupita kwenye mchujo mkali wa waigizaji zaidi ya elfu moja ambao walifanyiwa mahojiano huku 260 wakijaribishwa kuigiza(screen test)kuona kwamba wanafaa akiwa ni mwingereza pekee kati ya waigizaji Waisrael walioingia kwenye usaili huo akiwa chini ya kampuni iitwayo New shakespears ambako alikuwa akifanya sanaa za majukwaani na uigizaji.    Brian Deacon miaka iliyofuatia baad

HIZI NDIZO SABABU ZILIZOSABABISHA PUB ya Aunty Ezekiel na Demonte kufungwa

  Pub ya mwanadada Aunty Ezekiel iliyopo maeneo ya mwananyamala inasemekana imefungwa kutokana na kukosa management ya uhakika na pia kinachodaiwa kushindwa kwa Aunty Ezekiel kuiendesha Pub hiyo. Kwa mujibu wa habari toka chanzo chetu kimoja cha habari kilichoshuhudia Pub hiyo ikiwa imefungwa kwa miezi kadhaa sasa zinasema kuwa chanzo kikubwa cha kufungwa kwa Pub hiyo ni gharama za vinywaji na wafanyakazi aliowaajiri zilikuwa juu  na ndipo aunty akaona bora afunge kwa muda. Tunamtafuta Aunty Ezekiel ili atueleze vizuri kuhusu kusimama kwa huduma katika Pub hiyo iliyokama jiji pindi ilipofunguliwa

AMINI USIAMINI HUU NDIO UKWEILI...!!! MSICHANA ANAPOKUTANA NA MVULANA KWA MARA YA KWANZA HUJIULIZA MASWALI HAYA.....

Ngoja nikwambie wasichana hukufikiriaje wakikuona siku ya kwanza. 1.Kwanza hutazama tembea yako, kisela au kiheshima ili wajue kama una kazi au la. 2.Kama nguo zako zimefubaa unatembea juani, kama hazijanyooshwa basi hata pasi kwako huna. 3.Kama viatu vina vumbi moja kwa moja gari huna. 4.Kama pesa hutoi kwenye waleti hujazoea kuwa na pesa tena yawezekana hata laki hujawahi kushika. 5.Kama hunukii vizuri basi wanawake huwajui vizuri, na hujui romance, hata hug hujawahi kupewa. 6.Kama hutunzi nywele zako hata zake hutazigharamia. 7.Ukiongea nae muda mrefu na maswali mengi, hata kama hujamtongoza, anajua umempenda. 8. Ukimshika au kumgusa popote kwenye maongezi basi unamtaka kimwili. 9.Kama mkanda wa suruali na viatu havimachi rangi, hujawa na mwanamke kwa muda mrefu. 10. Usipomtazama machoni, yawezekana muongo au hujiamini na unamuogopa.

HUYU NDIWE MPIGA CHABO MAARUFUU NCHINI AMBAYE AMEKAMATWA

Stori: Chande Abdallah na Denis Mtima, Mwanza NI aibu kubwa! Mpigachabo maarufu nchini, Andrea Masangu (29) amenaswa akiwa kwenye uvungu wa kitanda akiwapiga chabo wanandoa, Ijumaa Wikienda lina mkasa wote mkononi. Mpiga chabo akitolewa uvunguni baada ya kunaswa. Tukio hilo lilitokea Januari 10, mwaka huu, ndani ya Gesti ya Riverside, Stendi ya Nyegezi jijini hapa ambapo kijana huyo aliingia kwa kuruhusiwa na mhudumu wa gesti hiyo katika mtego makini uliotegwa na Oparesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers na mwishowe kujikuta akiumbuka. OFM WAPOKEA MASHTAKA Wiki moja nyuma, mtu mmoja alipiga simu kwa OFM jijini Dar akidai yeye ni msomaji wa Magazeti Pendwa ya Global. Akasema ameamua kupiga simu ili kumshtakia Andrea akidai amekuwa na tabia iliyoota sugu ya kupiga chabo wapenzi wanapokuwa gesti. Mpiga chabo akiwa uvunguni ili kutimiza azma yake. “Mimi naitwa…(akataja jina lake), napiga simu kutoka jijini Mwanza. Kuna bwana mmoja anaitwa Andrea, amekuwa na tabia ya k

HIVI NDIVYO RAIS JAKAYA KIKWETE ASHIRIKI SHEREHE ZA MIAKA 50 YA MAPINDUZI ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Ali Mohamed Shein akikagua gwaride la heshima wakati wa kilele cha sherehe za miaka 50 ya Mapoinduzi ya Zanzibar katika uwanja wa Amani Abeid Karume leo January 12, 2014 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Ali Mohamed Shein akikagua gwaride la heshima wakati wa kilele cha sherehe za miaka 50 ya Mapoinduzi ya Zanzibar katika uwanja wa Amani Abeid Karume leo January 12, 2014 Vijana wakiachia njiwa kama alama ya amani wakati wa kilele cha sherehe za miaka 50 ya Mapoinduzi ya Zanzibar katika uwanja wa Amani Abeid Karume leo January 12, 2014 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Ali Mohamed Shein wakimpongeza Rais Yoweri Kaguta Museveni aliyeongea machache wakati wa kilele cha sherehe za miaka 50 ya Mapoinduzi ya Zanzibar katika uwanja wa Amani Abeid Karume leo January 12, 2014 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza  Rais wa Zanzibar na Mwen

HIZI NDIZO MBINU ZA KUMFIKISHA KILELENI MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KWA HARAKA

Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea. Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya ndoa na wamezaa lakini hawajawahi kabisa kujua utamu wa tendo hilo alimaharufu kama “kufanya mapenzi”. Kwa kawaida wanawake wanafikia kilele (mwisho wa utamu wa ngono) kati ya dakika ishirini na saa moja, yaani kwa kifupi inawachukua muda mrefu sana hali inayopelekea mpenzi mvivu kuchoka na ufanyaji wake utakuwa wa “ovyo” hali itakayo kufanya wewe kuishiwa na hamu ya kuendelea. Pamoja na kuchelewa huko ambako kunatokana na utofauti wetu kati ya mwanaume na mwanamke lakini nakumbuka hapo nyuma nilikutana na wanawake 2 waliokuwa ndani ya

Maelfu ya watu nchini Israel wamejitokeza kutoa heshima za mwisho kwaAriel Sharon kabla ya mazishi yake hii leo.

Sharon atakumbukwa na wengi kama adui wa wapalestina Maelfu ya watu nchini Israel wamekuwa wakitoa heshima zao za mwisho kwa hayati Ariel Sharon kabla ya mazishi yake hii leo. Jeneza la Sharon liliwekwa nje ya majengo ya bunge mjini Jerusalem jana Jumapili huku waombolezaji wakimiminika kumtolea heshima za mwisho kabla ya maziko. Siasa Sharon alifariki akiwa na umri wa miaka 85 baada ya kuwa hali mahututi kwa miaka 8, akitumia mashine kupumua Atafanyiwa ibada maalum ya kitaifa leo kabla ya kuzikwa karibu na shamba lake eneo la Sderot. Waisreli pamoja na viongozi wa dunia, wametoa heshima zao za mwisho , lakini wale ambao wanaweza kusema hawajaguswa sana na kifo cha Sharon ni wapalestina. Mwili wa Sharon ulifikishwa katika bunge la taifa Jumapili ambapo watu waliruhusiwa kuutizama siku nzima. Maombi yalifanywa huku bendera zikipepea nusu mlingoti. Watu waliendelea kumiminika nje ya jengo hilo wengine wakiwasha mishumaa katika hatua ya kumuenzi Sh

HUU NDIO MTANDAO WA NGONO BONGO MOVIE , MWENYEKITI WAO AWAANIKA,.

  Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ akifunguka. Akiwa amezungukwa na jopo la wahariri wa Magazeti Pendwa ya Global Publishers, Bamaga-Mwenge, Dar hivi karibuni, kwa utulivu wa hali ya juu, Steve Nyerere alifunguka mengi.   Jennifer Kyaka ‘Odama’. Katika intavyu hiyo, maswali yaliulizwa kwa mtindo wa kupokezana na umakini wa hali ya juu ambapo ‘komediani’ huyo aliweka bayana jinsi ambavyo wasanii wamekuwa wakibadilishana wapenzi kama siti za daladala huku ugomvi, majungu na unafiki vikichochewa na tabia hiyo. Bila kuonesha woga wala wasiwasi, mwenyekiti huyo alikiri kuwa wasanii wengi wenye majina makubwa ndani na nje ya Bongo Muvi, ndiyo vinara na wafuasi wakubwa wa mtandao huo mchafu wa ngono. Aliongeza kuwa, ilifika wakati klabu hiyo ikawa inatafsiriwa kama uwanja wa kugawana wapenzi kama mbegu za mahindi. AWATAJA VINARA Kwa sauti ya kuumiza masikio, Steve aliwataja kwa majina baadhi ya wasanii hao (ukitaka kuwajua, njoo ofisini tukutajie). MIGONGANO Alisema kuwa wapo ambao kwa nam