Skip to main content

HUU NDIO MTANDAO WA NGONO BONGO MOVIE , MWENYEKITI WAO AWAANIKA,.

 
Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ akifunguka.
Akiwa amezungukwa na jopo la wahariri wa Magazeti Pendwa ya Global Publishers, Bamaga-Mwenge, Dar hivi karibuni, kwa utulivu wa hali ya juu, Steve Nyerere alifunguka mengi.
 
Jennifer Kyaka ‘Odama’.
Katika intavyu hiyo, maswali yaliulizwa kwa mtindo wa kupokezana na umakini wa hali ya juu ambapo ‘komediani’ huyo aliweka bayana jinsi ambavyo wasanii wamekuwa wakibadilishana wapenzi kama siti za daladala huku ugomvi, majungu na unafiki vikichochewa na tabia hiyo.
Bila kuonesha woga wala wasiwasi, mwenyekiti huyo alikiri kuwa wasanii wengi wenye majina makubwa ndani na nje ya Bongo Muvi, ndiyo vinara na wafuasi wakubwa wa mtandao huo mchafu wa ngono.
Aliongeza kuwa, ilifika wakati klabu hiyo ikawa inatafsiriwa kama uwanja wa kugawana wapenzi kama mbegu za mahindi.
AWATAJA VINARA

Kwa sauti ya kuumiza masikio, Steve aliwataja kwa majina baadhi ya wasanii hao (ukitaka kuwajua, njoo ofisini tukutajie).
MIGONGANO
Alisema kuwa wapo ambao kwa namna moja au nyingine wamesababisha migogoro na migongano mikubwa ndani ya klabu hiyo kufuatia vitendo hivyo vya kuchangia wapenzi kama wafanyavyo wanyama ndani ya mbuga za Serengeti, Mikumi na nyinginezo.
“Ni kweli kabisa vitendo vya ngono, kubadilishana na kuchangia wapenzi vimekithiri Bongo Muvi.
 
Wema Sepetu.
“Utakuta msanii huyu wa kiume anatoka kimapenzi na msanii yule wa kike, lakini wasanii wengine nao bado watataka kumchukua mmoja wao. Au msanii yuko katika uhusiano na msanii mwenzake, lakini anaanzisha uhusiano na mwingine bila kujali kuwa huyo naye ana mwingine na anamjua.
“Mzunguko unakuwa mkubwa na wanaoongoza kwa ufuska huo ni hawa wasanii ambao wanaonekana mastaa.
 
Miriam Jolwa 'Kabula'
MFANO
“Kwa mfano, wasanii kama (akawataja majina) walikuwa na ‘cheni’ hii ya wapenzi, ...(akamtaja jina) alikuwa na uhusiano na ...(akimtaja shori mkali wa sinema za Kibongo), wakati huohuo,... (akamtaja staa mwingine jina) ana uhusino na msanii ambaye alikuwa kuwa na.... (akawataja kwa majina), sasa unaona jinsi ambavyo mzunguko unakuwa wa hatari zaidi,” alisema Steve Nyerere.
 
Blandina Chagula ' Johari'
AMELALA NA WANGAPI?
Bila kutegemea, msanii huyo aliulizwa na kutakiwa ataje wasanii ambao aliwahi ‘kudondoka nao kunako sita kwa sita’ ambapo alishikilia msimamo kuwa hajawahi kwa sababu ambazo alizitaja kwa hisia kali.
 
Vicent Kigosi ' Ray'.
Jamaa huyo aliweka angalizo kuwa si rahisi kwa mtu kuamini kuwa yeye hajawahi kucheza mchezo wa ‘baba na mama’ na msanii yeyote ndani ya kundi hilo.
KIBAO CHAMGEUKIA

Baada ya kuachana na upande wa wasanii, kibao kilimgeukia yeye ambapo wahariri walianza kumtandika maswali magumu na makali yaliyomlenga yeye tu kama ifuatavyo:
Swali: Vipi skendo ya wewe kuwakuwadia wasanii wa kike kwa vigogo?
Steve: (akikunja ndita) hapana jamani, hayo ni maneno tu, mwanzoni watu wengi walidhani hivyo, lakini mimi niliwavuta vigogo ndani ya klabu kwa lengo la hisani na udhamini, namshukuru Mungu baadaye walinielewa, lakini vigogo wote walijitoa kwa sababu ya maneno kama hayo.
Swali: Bifu lako na Ray (Vincent Kigosi) na JB (Jacob Steven) lilikuwaje?
Steve: Ni mambo ya kazi tu, si unajua binadamu tuna mapungufu, tulijikuta katika tofauti za kibinadamu, lakini kwa sasa mambo yako sawa.
Swali: Vipi madai ya kwamba una ‘ngoma’?
Steve: (akitabasamu) jamani, mimi nimepitia misukosuko mingi, lakini nimeendelea kushikilia nafasi yangu ya usanii. Ni kweli walizusha lakini ukweli ukabaki kuwa niko salama.
“Lakini si jambo geni kwa mtu kuzushiwa ugonjwa huo, hata ninyi (wahiriri) mnaweza kusingiziwa mambo mengi na maadui wenu kwa hiyo ni uzushi, niko fiti na tayari kwa mapambano.”
Swali: Eti wewe ni mtu wa ushirikina sana?
Steve: Duh! Si kweli jamani, nimezaliwa na kukulia kwenye familia ya Kikristo, namwamini Mungu kuliko kitu kingine chochote, siwezi kufanya hivyo.
Swali: Ilidaiwa ulimuua mwanao kwa kumtoa kafara, hili likoje?
Steve: (utulivu kidogo, anakuna kichwa) hakuna kitu kama hicho, kama nilivyosema hapo awali mimi ni Mkristo, mambo ya riziki hupangwa na Mungu, sasa nimtoe mwanangu kafara kweli? Siwezi jamani, siyo kweli.
 
 Jacob Steven"JB'

Yobnesh Yusuph 'Batuli'.

KUTOKA RISASI

Wasanii ni kioo cha jamii, ni vyema kama wataishi maisha ya kuigwa na jamii huku wakijikita zaidi katika uboreshaji wa kazi zao na kuitangaza sanaa yetu kimataifa zaidi- Mhariri.

SOURCE : GPL 

Comments

Popular posts from this blog

Huyu Mzee Ndio Aliyetia Aibu Kwenye Bar Hii yenye Makahaba wanaocheza Nusu Uchi

 vijimambo kwenye bar zetu  

HAYA NDO MANENO YA KUMPANDISHA hisia MPENZI WAKO UMPENDAE!!!!!

                                       Inawezekana wengi wetu tukawa tunayatumia bila kujua kwamba tumekusidia kuyatumia. Haya ni maneno au kauli ambazo mume/mke anaweza mwambia mwenza wake kama ishara ya kumpandisha "nyege" kabla ya kuanza  kufanya mapenzi. Wawili hawa wanaweza wakawa sehemu tofauti tofauti, mfano mume yupo kazini lakini anakaribia kurudi nyumbani, mke ukaanza "kumcharura" mumeo kwa kauli mbali mbali aidha kupitia sms au kwa kumpigia simu, ingawa kupitia sms ndo inasisimua zaidi! Hapa najua naongea na watu wazima, sina haja ya kuandika zaidi maneno yenyewe lakini kila mmoja ni mjuzi wa tabia na vitu ambavyo mwenza wake anavihusudu hasa mkiwa kitandani, mfano" Baby ukirudi leo nataka unipindishe pale katika dressing table kama ulivyonifanyia jana, na leo nimevaa lile gauni ulipendalo na zile bikini mpya, dont be late my love" Maneno haya kwa anayejua mapenzi na anampenda mkewe ni lazima huko alipo "Jogoo" awike kidog

HUYU NDIYE ALIIYELAZIMISHWA KUFANYA MAPENZI NA MBWA PAMOJA NA FARASI KWA AJILI YA PESA.

When the Internet first came to the continent of  African society,most people were  very pleased with it because it reduces stress of communication with love around the world,it also serve as productive purposes like communication.It served many people for chatting, sending mails and even business. As the time passed by many ladies discovered that they could use the internet to find a chat friend or a life partner.Some girls have greatly benefited just by using the internet to find their dream marriages or relationhsips. Others have fallen into traps in the West and wish they would never have known what the internet was.This is the case of one Cameroonian,Elvire Axelle Tchamakoua. Continue....... SEE HOW IT ALL HAPPEN.... Axelle is pr00stit-te who is pimped to various men by her main man Jean Claude(French Businessman).She did not mind serving her customers from the front or from behind.The use of condoms during her encouters was the allowed as it b