Skip to main content

Posts

Showing posts from January 10, 2016

soma Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Jumatano ya January 13

Rais Mstaafu Jakaya Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete Wampa pole Mama Maria Nyerere kwa msiba wa Marehemu Leticia Nyerere

Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiongea na Mama Maria Nyerere, mjane wa Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, walipo

Mwanafunzi wa Miaka 13 Aozeshwa kwa Ng’ombe 13

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Shinyanga, Mika Nyange Mtoto mwenye umri wa miaka 13 ana

Chadema Yatuma Salamu Za Rambirambi Kufuatia kifo cha Aliyekuwa Mbunge Wake Leticia Nyerere

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha aliyekuwa Mbunge wake wa Viti Maalum, Leticia Nyerere kili

Jecha wa ZEC Atoka Mafichoni.....Dk. Shein Asisitiza Uchaguzi Lazima Urudiwe Zanzibar

Hatimaye  Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha, jana ameonekana hadharani katika maadhimisho ya

soma Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatu ya Januari 11

AZAKI Yajitosa Mgogoro wa Zanzibar...Yataka Sherehe Za Mapinduzi Zitumike Kueleza Hatma Ya Kisiasa Zanzibar

 TAMKO LA ASASI ZA KIRAIA TANZANIA (AZAKI) KUHUSU HALI YA KISIASA VISIWANI ZANZIBAR 10/1/2016 ________________________________________ Sisi wana Asasi za

Spika wa Bunge Kutangaza Kamati Za Bunge Leo

Spika wa Bunge, Job Ndugai, anata

Wanawake Wavaa VIMINI Wacharazwa Bakora Hadharani Wilayani Sengerema, Mwanza

Viongozi wa Kitongoji cha Kasalazi, kilichoko katika Kijiji cha Kanyara, Kata ya Bulyaheke, wilayani Sengerema, Mkoa wa

Serikali Kugawa BURE Mbegu za Mazao Yanayohimili Ukame kwa Wananchi Wanao kabiliwa na Njaa

Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu, Idara ya Uratibu maafa imeanza mkakati wa menejimenti ya maafa ya ukame kwa kuwa

Elimu Bure Tanzania Inaanza Leo Kwa Shule Za Serikali......Kuhusu Shule Binafsi Serikali Imeamua Kujipa Muda wa Kutathmini

Watanzania leo wanaanza kufaidi elimu bure kufuatia kufunguliwa kwa shule za umma huku Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Prof. Joyce Ndalichako, aki

Kesi Ya Hynes Kiwia ( Chadema ) Kupinga Matokeo Ya Ubunge Jimbo La Ilemela Jijini Mwanza Yafutwa

Mahakama kuu kanda ya Mwanza leo imefuta rasmi kesi ya madai ya kupinga matokeo ya

Wizara ya Afya yatoa Taarifa ya Ugonjwa wa Kipindupindu Nchini.

 Na Skolastika Tweneshe-Maelezo Jiji la Dar es salaam limeripotiwa kutokuwa na

Tanzia: Leticia Nyerere Afariki Dunia

Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Leticia Nyerere amefariki dunia katika hospitali ya

Rais Mstaafu Jakaya Kikwete Akutana na Mbwana Samatta Dar na Kumpongeza kwa Kutwaa Tuzo ya Mchezaji Bora

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Jakaya Mrisho Kikwete ametembelewa ofisini kwake na mwanasoka bora Afrika kwa wachezaji wa ndani Mbwana Samata leo asubuhi  na

Maalim Seif Sharif Hamad Aongea Na Waandishi wa Habari.....Asema CUF Haiko Tayari Kurudia Uchaguzi Zanzibar

Hatimaye, Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad ametoa msimamo wake na

Rais Magufuli Amjulia Hali Waziri Mkuu Mstaafu Fredrick Sumaye Aliyelazwa Hospitali Ya Taifa Ya Muhimbili Januari 11,2015

Tangu juzi kumekuwa na ripoti mfululizo kwenye vyombo vya habari kuhusu kuumwa na kulazwa kwa

Hivi ndivyo Mbwana Samatta alivyopokewa Dar es salaam baada ya ushindi wa Afrika