Skip to main content

Elimu Bure Tanzania Inaanza Leo Kwa Shule Za Serikali......Kuhusu Shule Binafsi Serikali Imeamua Kujipa Muda wa Kutathmini


Watanzania leo wanaanza kufaidi elimu bure kufuatia kufunguliwa kwa shule za umma huku Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Prof. Joyce Ndalichako, akisema fedha zimeshafika kwa kila shule.

Aidha, Prof. Ndalichako amewataka wamiliki wa shule binafsi kujitathmini.

Itakumbukwa kuwa serikali ilipoanzisha Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Msingi na Sekonari mwaka 2000, lengo lilikuwa ni kutoa ruzuku ya Sh.10,000 kwa kila mwanafunzi wa shule ya msingi na Sh. 25,000 kwa kila mwanafunzi wa sekondari kwa mwaka.
 
Ruzuku hiyo inalenga kugharimia ununuzi wa vitabu vya kiada na ziada, vifaa vya kufundishia zikiwamo chaki, madaftari, kalamu za risasi na wino, karatasi za kufanyia mitihani, ukarabati miundombinu ya shule na shughui za utawala.

Juzi, Prof. Ndalichako alisema  kuwa fedha za ruzuku kwa wanafunzi shule za msingi na sekondari, zimeshapelekwa, lengo likiwa ni kuhakikisha leo wanafunzi wanaanza masomo.

“Fedha hizi zitakuwa zikitolewa kwa awamu, kwa hiyo zilizokwenda ni awamu ya kwanza tu,” Alisema Profesa Ndalichako

Prof. Ndalichako alisema ili kuhakikisha fedha zote zinazotolewa zinafika kwa walengwa, watashirikiana na Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), kuhakikisha zinawafikia walengwa.

Alisema moja ya njia ya kufikia lengo hilo ni kutoa fedha hizo kwa awamu na kuhimiza uaminifu kwa watu wote wanaohusika.
 
Ada Elekezi Kwa Shule Binafsi
Akizungumzia ada elekezi, alisema suala hilo ameona ni vyema lifanyiwe utafiti kwa kila shule kufafanua matumizi ya fedha wanazotoza na kuwa na baada ya kukubaliana ada elekezi, watakaokiuka watakabidhiwa kwa Mamlaka ya Mapato (TRA), ili watozwe kodi.

“Hili suala nimelikuta na nikaona ni vyema tufanye utafiti kidogo. Sasa hivi shule nyingi tayari zina viwango vya ada na vina tofauti kubwa tu. Kwa kuanzia, nimeona tuanze na ada zilizopo, tayari nimeshaelekeza na kazi imeanza kwa kutaka wamiliki wa shule watoe `justification’ (hoja za kuhalalisha)  ada wanazotoza,” alisema na kuongeza:

“Nimeona kuna umuhimu wa kushirikisha hawa watu na kuwasikiliza, ndiyo maana tukasema kwanza wao watupatie hayo maelezo. Mtu aseme labda anatoza Sh. milioni tano, atuambie ana walimu wangapi, mishahara yao Sh. ngapi?  Gharama za umeme ni Sh. ngapi?

"Akisema gharama za chakula na sisi tunazijua, tutaangalia hata kama anawapa watoto soseji, tutaangalia bei na kadhalika, tunachotaka kwanza tutafute uhalisia wa hizo ada.

“Najua kuna baadhi ya maeneo tutakosa uhalisia maana mwingine anatoza bei ya umeme labda kila mwanafunzi Sh. 20,000, kama  ana wanafunzi 500, jumla yake itakuwa Sh. ngapi? Tutamwambia atupe bili ya umeme tuthibitishe,” alisema Pro. Ndalichako.

Alisema wameamua kufanya hivyo kwa kuwa shule binafsi zina mazingira tofauti na hivyo ni vigumu kuwa na ada elekezi moja ambayo kweli inatekelezeka. 

“Ada elezi haiwezi kuwa sawa kwa sababu shule zina viwango tofauti na walimu aina tofauti. Hata maeneo zilipo, ni tofauti, pia kuna huduma tofauti zinazotolewa na shule hizi.

Kila shule ikitoa mchanganuo, tujua kilichopo, tukiwa na data (takwimu) itatusaidia kujua mengi na sisi kujipanga vizuri, hata vyakula wanavyotoa tutaviangalia na kuvihakiki, usije kutoza Sh.15,000  kwa chakula kwa siku halafu ukampa mtoto ugali na maharage,” alisema.

Alisema pamoja na mambo mengine, vitu hivyo vitathibitishwa na wakaguzi wa shule na pale inapobidi wazazi watashirikishwa ili kupata uhalisia.

“Tutachukua muda, lakini tutakuja na majibu ambayo Watanzania wote watakubali kwa sababu sasa hivi wapo ambao hawapo na sisi wizara, hatutaki kumwambia mtu anayetoa kompyuta, na vitu vingine muhimu kwa mwanafunzi aache.

"Lazima tushirikiane nao ili hata kwenye utekelezaji tufanikiwe, ambacho hatutaki ni shule kutumia sana wanafunzi kama sehemu ya kipato na tukiweka ada elekezi wale watakaotoza zaidi, tutawapeleka TRA wawatoze kodi kwa sababu hawa wanafanya biashara, wanazalisha,”alisema Prof. Ndalichako.

Comments

Popular posts from this blog

Huyu Mzee Ndio Aliyetia Aibu Kwenye Bar Hii yenye Makahaba wanaocheza Nusu Uchi

 vijimambo kwenye bar zetu  

HAYA NDO MANENO YA KUMPANDISHA hisia MPENZI WAKO UMPENDAE!!!!!

                                       Inawezekana wengi wetu tukawa tunayatumia bila kujua kwamba tumekusidia kuyatumia. Haya ni maneno au kauli ambazo mume/mke anaweza mwambia mwenza wake kama ishara ya kumpandisha "nyege" kabla ya kuanza  kufanya mapenzi. Wawili hawa wanaweza wakawa sehemu tofauti tofauti, mfano mume yupo kazini lakini anakaribia kurudi nyumbani, mke ukaanza "kumcharura" mumeo kwa kauli mbali mbali aidha kupitia sms au kwa kumpigia simu, ingawa kupitia sms ndo inasisimua zaidi! Hapa najua naongea na watu wazima, sina haja ya kuandika zaidi maneno yenyewe lakini kila mmoja ni mjuzi wa tabia na vitu ambavyo mwenza wake anavihusudu hasa mkiwa kitandani, mfano" Baby ukirudi leo nataka unipindishe pale katika dressing table kama ulivyonifanyia jana, na leo nimevaa lile gauni ulipendalo na zile bikini mpya, dont be late my love" Maneno haya kwa anayejua mapenzi na anampenda mkewe ni lazima huko alipo "Jogoo" awike kidog

HUYU NDIYE ALIIYELAZIMISHWA KUFANYA MAPENZI NA MBWA PAMOJA NA FARASI KWA AJILI YA PESA.

When the Internet first came to the continent of  African society,most people were  very pleased with it because it reduces stress of communication with love around the world,it also serve as productive purposes like communication.It served many people for chatting, sending mails and even business. As the time passed by many ladies discovered that they could use the internet to find a chat friend or a life partner.Some girls have greatly benefited just by using the internet to find their dream marriages or relationhsips. Others have fallen into traps in the West and wish they would never have known what the internet was.This is the case of one Cameroonian,Elvire Axelle Tchamakoua. Continue....... SEE HOW IT ALL HAPPEN.... Axelle is pr00stit-te who is pimped to various men by her main man Jean Claude(French Businessman).She did not mind serving her customers from the front or from behind.The use of condoms during her encouters was the allowed as it b