Skip to main content

Posts

Showing posts from December 22, 2013

HAYA NDIO MAMBO AMBAYO WANAUME WANAKOSEA WAKATI WA KUTONGOZA MWANAMKE

1.PAPARA wanaume wengi tumekuwa na haraka sana tunapokuwa tukitaka kuaproach hali inayomfanya mwanamke akuwekee ugumu.mfano umekutana na dada mzuri mmesalimiana hapo hapo unamuomba namba yake.mjomba hata akikupa ujue utasumbuka sana kumpata coz atakufikiria sana juu ya uharaka wako. 2.KUJIFAKE wanaume wengi tumekuwa tukijipandisha au kujionyesha tofauti na hali zetu.ukiwa unaaproach jaribu kuwa real.huwezi kumwambia mdada unafanya kazi benki afu uko na techno 3.KUTOSOMA MOOD YA MWANAMKE unapomuaproach mwanamke lazma usome mood yake coz sometime unaweza kutoswa coz hujamsoma mwanamke.unamtongozaje mwanamke asubuhi?,, 4.KUMPONDA UR EX LOVER mwanamke anakuuliza kwanini uko single,unaanza kumponda ex wako kwa maneno ya kashfa hali kama hii inaweza kumtisha kisaikolojia umtongozae. 5.KULALAMIKA Unamtongoza mwanamke huku unalalamika juu ya mapenzi oooh mara sijawahi kupendwa.mjomba hapo unaonyesha udhaifu wako.UKITULIA NA KUMTONGOZA MWANAMKE BILA KUYATENDA HAYA MBNA UTAMPATA KI

HII NI KALI YA XMASS: AJIPIGA PICHA ZA X-MAS AKIWA UCHI WA MNYAMA NA KUZISAMBAZA MITANDAONI!

     For those who aren't tired or her core fans,see her latest nude  collection .. Looks like  she keeps releasing more each day ...In an interview with Galaxy Tv 2 days ago, she broke down in tears and said " "I’m not posting those nude pictures on  the internet  to teach people to start going naked, I posted them because I felt I am sexy and I love sexuality.I’m still spiritually inclined and I have some  gospel songs  which are not out yet. One of them is Papangolo.  

PARTY ZA KENYA NI BALAAA: KAMA HUJAWAHI ONA MTU AKICHEZA UCHI BOFYA HAPA UJIONEE MWENYEWE,YAANI NI LAANA TUPU!!!

 

TAZAMA JINSI MCHAWI ALIVYOANGUKA NA UNGO WAKE,WANANCHI WENYE HASIRA WAMPA KIPIGO HADI KUUA ,KABLA YA KIFO MAREHEMU ASEMA ALIKOSEA MASHARTI AKAANGUKA

Marehemu anayedaiwa kuanguka na ungo kisha kuuawa na wananchi Wananchi wakisulubu kijana huyo Wananchi waliojichukulia sheria mkononi, wenye hasira kali wamempiga hadi kumuua mtu mmoja mwanaume aliyesadikiwa kuwa ni mchawi baada ya kuanguka akiwa amepanda ungo maeneo ya Mbezi Luis jijini Dar es Salaam. Kijana huyo mkazi wa Mwanza anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 20 hadi 25, alianguka jana saa 12 asubuhi maeneo hayo baada ya kudai kuwa alikuwa kwenye safari zake za kishirikina. Kabla ya kufariki alisema “mimi nilikuwa na wenzangu sita,   wanaume watatu na wanawake watatu ambapo tulikuwa tunatoka Mwanza kuelekea kwenye mkutano wetu” “Lakini mimi kwa bahati mbaya nilikiuka masharti tuliyopewa na mkuu kwa kufungua macho ndipo ghafla nilianguka na kupata kadhia hii inayopelekea mauti yangu” Hata hivyo kutokana na vurugu zilizokuwapo eneo hilo la tukio, ambapo wananchi wa eneo hilo walikuwa wanataka kumuua, kijana huyo alishindwa hata kutaja jina lak

ASERNAL, CHELSEA HAKUNA MBABE USIKU HUU, WAIACHA LIVERPOOL NA SUAREZ WAKE IKIBARIZI KILELENI EPL!!

LIGI kuu soka nchini England (EPL) imeendelea usiku huu kwa mechi moja  kubwa kupigwa  baina ya washika bunduki wa London, klabu ya Asernal dhidi ya Chelsea. Kipute hicho kimepigwa katika dimba la Emirates na kushuhudia timu hizo zikitoka suluhu pacha ya bila kufungana (0-0). Mchezo wa leo ulikuwa muhimu kupata ushindi kwa kocha Aserne Wenger,  kwani amekutana zaidi ya mara 10 na Mourinho wote wakiwa makocha na kushindwa kupata matokeo ya ushindi. Asernal walicheza vizuri na kufika mara kadhaa katika eneo la hatari la Chelsea, lakini walishindwa kutikisha nyavu za wapinzani wao. Ulikuwa usiku mzuri kwa Mourinho, kikosi chake kilicheza vizuri sana na kuonesha uimara, lakini mipango yake ilikataa. Pia mechi hii ilikuwa muhimu kwa Asernal kwani walitakiwa kushinda ili kurejea kileleni mwa msimamo wa EPL baada ya Liverpool kushinda wikiendi na kushikilia usukani kwa kujikusanyia pointi 36. Kwa matokeo ya suluhu, Asernal wanabakia nafasi ya pili kwa kujikus

Majeshi Sudan Kusini yajipanga kupigana

  Wanajeshi wa Sudan Kusini                                                                           Majeshi ya Sudan Kusini yanajiandaa kupambana na waasi katika mji wa Bor, Rais Salva Kiir amesema. Rais Kiir ameliambia bunge la nchi hiyo kwamba majeshi yapo tayari na kuongeza kuwa mashambulizi yalichaleweshwa ili kuruhusu raia wa Marekani kuondolewa katika eneo hilo. Bor, ni eneo lililokuwa na mgogoro ambalo lipo ndani ya jimbo la Jonglei lililoangukia mikononi mwa waasi siku ya jumatano. Takribani wiki imepita tangu mapigano ya kikabila yaanze na kusababisha hofu kwa raia. Maafisa ya shirika la misaada wamelielezea eneo hilo kuwa na matukio ya umwakigaji damu pamoja na mauaji. Mapema Majeshi ya Sudan Kusini yamethibitisha kuwa Bentiu, mji wenye utajiri wa mafuta katika jimbo la Unity limeangukia mikononi mwa wapiganaji wanaoungwa mkono na Makamu wa Rais aliyestaafu Riek Machar. Rais Kiir , kutoka kabila kubwa nchini humo la Dinka, mwezi julai ali

Shilingi bilioni 43 `Mabilioni ya JK`zarejeshwa

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Uwezeshaji, Dk. Mary Nagu, akizungumza na waandishi wa habari juu ya mafanikio ya serikali ya awamu ya nne jijini Dar es Salaam jana. Shilingi bilioni 43 kati ya bilioni 50.03 za mpango wa uwezeshaji wananchi kiuchumi na kuongeza ajira, maarufu kama “Mabilioni ya JK” zimerejeshwa kutoka kwa wajasiriamali 74,701 waliokopeshwa na serikali kwa awamu mbili tofauti katika mikoa yote nchini. Fedha hizo zilitolewa kwa utaratibu wa serikali kutoa dhamana ya mikopo kwenye benki za CRDB, NMB, Community na Benki ya Posta. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji), Dk. Mary Nagu, alisema hayo katika mkutano kati yake na waandishi wa habari kuhusu mafanikio ya serikali ya awamu ya nne katika maeneo yanayohusu Idara ya Maendeleo ya Sekta binafsi, Uwekezaji na Uwezeshaji, jijini Dar es Salaam jana. Alisema wananchi waliokopeshwa fedha hizo wamepiga hatua kubwa kiuchumi na kwamba, serikali inaende

Wasafiri wengi wakwama Ubungo kwenda mikoani

    Mamia ya abiria wamekwama kusafiri katika Kituo Kikuu cha Mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani cha Ubungo (UBT) jijini Dar es Salaam, kufuatia kupanda kwa nauli na uchache wa magari uliopo hivi sasa. Hali hiyo ilioneka jana saa 4:00 asubuhi baada ya NIPASHE kutembelelea kituo hicho na kushuhudia idadi kubwa ya wasafiri wanaokwenda mikoani wakiwa wamekwama huku wengine wakiamua kupiga kambi kituoni hapo wakiwa na watoto pamoja na mizigo. Wakizungumza na NIPASHE, baadhi ya abiria waliokumbwa na adha hiyo hususani wale wanaosafiri kuelekea mikoa ya Arusha, Kilimanjaro, Mwanza, Mara, Kagera na Kigoma, walisema mamlaka za udhibiti na usimamizi wa usafirishaji wa abiria zimeshindwa kazi kutokana na tatizo hilo kujitokeza kila ifikapo mwisho wa mwaka. Walisema kuwa mbali na kuwapo kwa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra), Chama Cha Kutetea Abiria (Chakua) pamoja na Chama cha Wamiliki wa Mabasi Nchini (Taboa), hakuna juhudi zinazoonekana ku

Hii ndio Barua mpya ya mfungwa Hong Kong akiwataja Wauzaji wakubwa wa Madawa ya kulevya Nchini na kutoa Onyo

Waraka huo wenye ulio na saini ya aliyejiita Jumaa, akiwa jela Hon Kong, tarehe 12 Desemba 2013 ni wa kurasa mbili zilizojaa maneno ya kujuta kwa kufanya kazi hiyo haramu, unaeleza mbinu mpya inayotumiwa na wafanyabiashara hao haramu kwa kuwatoa kafara Watanzania wanaokubali kuwa punda wa kubeba dawa hizo. Mwishowe unatoa onyo kwa kila Mtanzania anayejiingiza katika biashara hiyo na kutoa wito wa kusambaza taarifa hii ili kuwaonya watu wengine wasithubutu kujiingiza katika biashara hiyo haramu. Unaweza kuofya linki iliyopachikwa hapo juu kufungua na kusoma waraka huo.

HAYA NDO MANENO YA KUMPANDISHA hisia MPENZI WAKO UMPENDAE!!!!!

                                       Inawezekana wengi wetu tukawa tunayatumia bila kujua kwamba tumekusidia kuyatumia. Haya ni maneno au kauli ambazo mume/mke anaweza mwambia mwenza wake kama ishara ya kumpandisha "nyege" kabla ya kuanza  kufanya mapenzi. Wawili hawa wanaweza wakawa sehemu tofauti tofauti, mfano mume yupo kazini lakini anakaribia kurudi nyumbani, mke ukaanza "kumcharura" mumeo kwa kauli mbali mbali aidha kupitia sms au kwa kumpigia simu, ingawa kupitia sms ndo inasisimua zaidi! Hapa najua naongea na watu wazima, sina haja ya kuandika zaidi maneno yenyewe lakini kila mmoja ni mjuzi wa tabia na vitu ambavyo mwenza wake anavihusudu hasa mkiwa kitandani, mfano" Baby ukirudi leo nataka unipindishe pale katika dressing table kama ulivyonifanyia jana, na leo nimevaa lile gauni ulipendalo na zile bikini mpya, dont be late my love" Maneno haya kwa anayejua mapenzi na anampenda mkewe ni lazima huko alipo "Jogoo" awike kidog