Skip to main content

Posts

Showing posts from January 18, 2015

Kifi cha Tino madhahabu yazua hofu Bongo move

Msanii huyo aliyetamba katika uigizaji akiwa na Dude katika kipindi maarufu cha Bongo Dar es Salaam, kwa muda wa miaka saba na baadaye kuingia kwenye filamu alikuwa akiugua ugonjwa wa moyo, kiasi cha kumfanya arejee nyumbani kwao kwa ajili ya matibabu, ambayo hata hivyo, yameshindwa kunusuru uhai wake. Kwa mujibu wa GPL, kifo hicho kimeibua hofu upya kwa wasanii wa Bongo Muvi, hasa ikikumbukwa kuwa mchunguji mmoja (jina tunalihifadhi) aliwahi kutabiri kuwa, wimbi hilo la vifo litaendelea tena mwaka huu kwa wasanii na watu wengine maarufu, wakiwemo wanasiasa hivyo kuwataka kumrudia Mungu. Wasanii kadhaa waliozungumza na  Gazeti la Ijumaa baada ya taarifa za msiba huo walionesha hofu ya kifo waliyonayo lakini wengi wakasema Kifo cha Tino ni mipango ya Mungu hivyo kila mmoja ajiandae tu. Msanii aliyewahi kufanya kazi kwa karibu na Tino, Kulwa Kikumba ‘Dude’ alisema: “ Dah! Ni kweli jamaa katutoka, kikubwa tumuombee na hilo la hofu ni vyema kila mmoja akawa nayo ili a