Skip to main content

Posts

Showing posts from May 5, 2013

KALAPINA AELEZEA SABABU ZA KUMCHAPA CHIDI BENZ JUKWAANI

Kalapina kulia akiwa na fan wake Baada ya muasisi wa harakati za hip hop Tanzania Kalapina kumchapa Rapper Chidi Benz katika jukwaa la maisha club alfajiri ya kuamkia leo, Kalapina ameelezea sababu za kutoa dozi hiyo kwa msanii mwenzake, namnukuu " ukweli ni mambo fedheha, mdogo wetu chidi benzi cocaine au heroin / unga anaovuta unampeleka pabaya, tena mimi kama kaka yake namshauri aachane na matumizi ya madawa kulevya, kwa sababu mwisho wake utakua m'baya, mimi nilikua back stage na ikafika zamu yangu kupanda jukwaani nikawa naskia sauti mtu anatamba jukwaani kwa dakika saba ama nane, alikua ananichelewesha kupanda, na ananiharibia show yangu, huyu mtu si adui, nikatoa amri mara tatu kama F.F.U aka kaidi ndipo nikamfata na kumpa dozi, siku akaanguka chini na mimi nikaendelea na show yangu, hakuna hata mtu mmoja atakaye kubali kuharibiwa kazi, hata rais Kikwete ukimharibia utaishia jela."   Nash Mc a.

HII HAPA MISTARI YA WIMBO MPYA YA KALLA JEREMIAH

  hABARI INAANZA NDO HABARI YA MWISHO HABARI GANI? HABARI KWA MISTARI YA WIMBO HABARI TOKA R CHUGA NDO KIPONDO CHA FIMBO HILI NI JANGA WE MPUNGA MI NI PANGA LA SHINGO ACHA HIZO MINGO ZIONGEZE MANDINGO MIMI NI BABA WE KAHABA MWENYE PENZI LA BINGO NATOKEA MWANZA ANAYEKALISHWA NI TEMBO MSHALE WA RAMBO UNATUA JUU YA MAMA WA KAMBO. hii ni mistari yangu katika ngoma tuliyofanya na machizi kibao wa arusha na video tumesha shoot so kaaa mkao wa kula.

HIKI NDICHO ALICHOKISEMA ZITTO KUTOKANA NA MLIPUKO WA BOMU ARUSHA

Februari 20, 2013 niliandika kwenye gazeti la RaiaMwema suala fulani, kufuatia matukio ya kulaaniwa ya #Arusha Leo. Pia kufuatia mijadala inayoendelea kuhusu #Udini nimeona vema nirejee sehemu ya Makala ile; "Viongozi wamekuwa wakitoa kauli za kugawa wananchi. Kiongozi wa CCM kwa mfano anaposema CUF ni chama cha Waislam, anawaambiwa waislam nendeni huko ndio chama chenu. Kiongozi wa CCM anaposema CHADEMA ni chama cha kikristo, anawaambia wakristo nendeni huko ndio chama chenu. Mwanachama wa CHADEMA anapotoa taarifa kuonyesha kuwa CCM inapendelea waislamu, anadhihirisha kuwa kweli chama chake hakipendi waislamu. Viongozi wa kisiasa wanatoa kauli majukwaani bila kuzipima na kugawa wananchi. Baadhi ya taasisi za kidini zimekuwa zikutumiwa na vyama vya siasa kusambaza chuki hizi kwenye jamii. Mimi ni Mtanzania. Taifa ambalo limejengwa kwenye misingi ya usawa na haki. Misingi ya Umoja na mshikamano. Tunu zetu ni hizo na sio dini zetu. Viongozi wanapoendelea kulea upu

Chid Benz : "Neema wa Mitego acha kunitukana kwenye Facebook" HABARI KAMILI HIIHAPA

Ki design kama lile beef la Chid Benz na Ney wa mitego halijaisha maana Chid Aliandika kwenye Account yake ya Facebook akidai kutukanwa na Ney wa mitego na haya ndio maneno aliyasema....